Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let me ask you one thing, when estimating the height of a building given only floor to roof height, don’t you add the slab thickness of each floor? What about the height of the Mezzanine Floor and the ground floor? In my opinion I think they should also be added. So if you assume the floor height will be around 5M I think it’s a bit skewed.

I think that 300M is (Floor to ceiling height x 56)+(Slab thickness x 59)+(Mezzanine height)+(Ground floor height).
There's the story height height and floor to ceiling height. Story height is from the middle of one slab to the middle of the next. Floor to ceiling height is from the floor to the ceiling. Look at this design I'm currently doing. The blue lines (3m apart) denote story height. The 2.8m I have detailed is the floor to ceiling height. When you use story height, you do not have to add slab thickness.
1000445311.png
 
View attachment 3161447
Well explained, what about the ground and Mezzanine floors?
 
Well explained, what about the ground and Mezzanine floors?
Ground floor is basically the floor on the ground level. A mezzanine floor is a floor between two floors and is not counted as a main floor and typically has a lower ceiling level. It projects into the main floor like a balcony.
 
Kulikuwa na sababu za msingi za kukwepa gharama ambazo zilitakiwa kubebwa na Total,Kwa Sgr gharama za fidia zitabebwa na Serikali ya Kenya huoni huo utofauti?

Vita baridi haviwezi kuisha maana tunashindana Kwa sababu tuna offer bidhaa na Huduma zinazofanana so maisha yatakuwa ni ya kugawana keki.
sababu moja wapo ilikua kupunguza kodi na kukubali kununua share ya asilimia 15 ndio hzo hzo sababu zilitumika kama fitna ili mradi uje kwetu usiwe kama mtoto wa miaka miwili 😂😂😂😂

kama vita baridi haviwezi kuisha na huna silaha jiandae kushindwa just simple and clear, ile keki tulisema hawawezi kula kisa mseven ni mtanzania ndio wanakula sasa na sisi tupo tunasifiana ujinga 😂😂😂
 
Unajua usafiri cheapest duniani ni meli. Hizo kilometers from mwanza to Uganda kwa meli utasave hela nyingi kuliko ungepeleka train from Isaka to Uganda au from Malaba to Uganda..
nakubaliana na ww usafiri wa maji ni cheap what about time?? tunaeza maintain time ??? ikiww wao watapeleka train direct from mombasa to kampala kwa siku moja na nusu je sisi tunaeza tumia siku ngap?? je tutawajibika?? je tuko tayar ??
 
Usipotoshe ukweli hatujawahi kushindana kujenga sgr to bukoba and Uganda mipango hiyo haipo kwa sasa labda baadae. Ndio maana phase 2 ni Tabora kigoma Burundi DRC na si vinginevyo nactukitoka hapo tumaenda mtwara mbamba Bay before tuanze kufikiria kujenga kwenda Uganda. Na hata hivyo tutapima umuhimu wa kujenga sgr to Uganda through bukoba kwanza ama Tanga port to Musoma.
kaka mm sikurupuki twende taratibu utanielewa tu 😂😂😂 usinambie mipango haipo wakat tulikua tunaiweka hapa kua uganda kutakua na two options through mwanza to port bell na through bukoba to kampala

tupende zaidi kukubaliana na ukweli
 
Geza Ulole Tanzania Kuna sehemu tunafeli huko kwenye biashara, haiwezi Kampuni za ndege ziwe na direct flights Kundustan wakati Abiria over 60% ni wanakuja Tanzania.

Mtu aende Kundustan Kwa kipi hasa? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB_lQH3sY6m/?igsh=MTJocXM0cm9tbzNibg==View attachment 3161053View attachment 3161054

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

hii ndio maana halisi ya vita baridi kwa sasa tuendelee kusifiana tu, ni kweli kenya imeanguka lakini mark my words kenya inaamka tena
 
Kabsaa ndio maana alipoondolewa CEO Matindi nimeona sawa ila sina uhakika na replacement yake haina track record! Actually 50 PAX less than 40% walishuka Mombasa! Mwingine ni Kadogosa anapaswa kutolewa TRC pia!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
sababu moja wapo ilikua kupunguza kodi na kukubali kununua share ya asilimia 15 ndio hzo hzo sababu zilitumika kama fitna ili mradi uje kwetu usiwe kama mtoto wa miaka miwili 😂😂😂😂

kama vita baridi haviwezi kuisha na huna silaha jiandae kushindwa just simple and clear, ile keki tulisema hawawezi kula kisa mseven ni mtanzania ndio wanakula sasa na sisi tupo tunasifiana ujinga 😂😂😂

Umeamua tu kuwa pinga pinga kisa una mahaba na utawala uliopita.

Huwezi kulinganisha old fashioned chines class one railway na AREMA railway hata kidogo. Bado Tanzania ina nafasi kubwa zaidi ya kushindaa hii game.

Kwa rail yetu mzigo unaweza kutoka Dar port na kufika portbell mapema zaidi kuliko mzigo kutoka mombasa kufika malaba. Kwa sababu jointed rail ya kenya speed ndogo, pili inabeba mzigo kidogo na tatu ina high maintenance cost kuliko rail track za umeme. Na hapo bado hatujaangalia ishu ya freight cost.. Hiyo ya diesel inakuwa na gharama zaidi.

Kwa rail yetu kuwa na same standards kati ya Burundi, Rwanda na Congo ni obvious Uganda ata join tu kupitia either Congo au Rwanda... Na kwa efficiency lazima atarudi Central corridors kwa ajili ya ku save time na cost ambavyo ndio vitu muhimu kabisa vya kuangalia katika logistics.

Bado ni ushindi mkubwa kwa Tanzania pale Uganda napo walipo amua kujiunga na AREMA standards. Na jambo muhimu zaid, mzigo wote wa SGR Uganda utapita Tanzania. Ni faida mara dufu.

Let's move on.. What happened already happens.
 
Why not the only problem waterway across Lake Victoria inachukua muda mrefu! Ndio maana SGR Isaka-Mutukula section inapaswa kuungana na Kampala kupitia western Part inayotokea Rwanda na kumbuka uchumi wa Ugand una-orient itself na lake Albert region! A more strategic place to connect to!
Kampala to Rushmore ni 452 karibia Mara mbili ya Kampala to malaba bado gharama itakuwa kubwa sana na bado itatupasa kuingia gharama ya kuitoa reli isaka kwenda Rusumo Zaid ya km 300.
Kwangu naona hakujawa na mzigo wa kulipa madeni kutoka Uganda kama use mzigo wa cobalt kutoka kgm na Burundi na bado soko la Burundi halina upinzani toka kenya.
Sio kila dili lazima tupate Kuna mengine ya kuyaacha yasije tuingiza katika madeni makubwa
 
Tunataka kuwa kama Kenya sasa, mradi unakuwa mpya kwa mwezi mmoja tu, mwezi unaofuata ushazeeka.
😂😂😂😂😂😂😂 sasa mushaanza kunielewa nilichokua namaanisha, bro kwa sasa hakuna uwajibikaji hakuna ufatiliaji kila mmoja anajifanyia tu ilimradi liende, na hii SGR kama hakutakua na uwajibikaji wa kisawasawa mwaka mmoja ni mwingi sana
 
Umeamua tu kuwa pinga pinga kisa una mahaba na utawala uliopita.

Huwezi kulinganisha old fashioned chines class one railway na AREMA railway hata kidogo. Bado Tanzania ina nafasi kubwa zaidi ya kushindaa hii game.

Kwa rail yetu mzigo unaweza kutoka Dar port na kufika portbell mapema zaidi kuliko mzigo kutoka mombasa kufika malaba. Kwa sababu jointed rail ya kenya speed ndogo, pili inabeba mzigo kidogo na tatu ina high maintenance cost kuliko rail track za umeme. Na hapo bado hatujaangalia ishu ya freight cost.. Hiyo ya diesel inakuwa na gharama zaidi.

Kwa rail yetu kuwa na same standards kati ya Burundi, Rwanda na Congo ni obvious Uganda ata join tu kupitia either Congo au Rwanda... Na kwa efficiency lazima atarudi Central corridors kwa ajili ya ku save time na cost ambavyo ndio vitu muhimu kabisa vya kuangalia katika logistics.

Bado ni ushindi mkubwa kwa Tanzania pale Uganda napo walipo amua kujiunga na AREMA standards. Na jambo muhimu zaid, mzigo wote wa SGR Uganda utapita Tanzania. Ni faida mara dufu.

Let's move on.. What happened already happens.
Vijana wanapenda wanasiasa/viongozi kuliko nchi yao. 😂😂😂
 
Ground floor is basically the floor on the ground level. A mezzanine floor is a floor between two floors and is not counted as a main floor and typically has a lower ceiling level. It projects into the main floor like a balcony.
I’m talking about height, let’s say a height of 300M. Distribute it on a 56 floor building with a mezzanine floor. I usually see most buildings with ground floors taller/longer than the upper floors.
 
Back
Top Bottom