Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

legacy imezidiwa na ikiwa mtu amelala chini miaka mitatu bado munahangaika nae kuficha mazuri yake 😂😂😂😂

leo nchi imefika deni trillion 100 bado kuna tozo tunaambiwa ni kwa ajili ya same projects ambazo pesa zinakopwa tena alaf tuko hapa kushangilia kila kitu

nchii ilinyooka kama ruler sio hospitalini sio maofisini sio wizarani heshima kazini ilirudi au tumesahau leo, haya nenda kwenye hospital za serekali sasa hvi kama utahudumiwa bila rushwa 😂😂
Sema watu wanajisahau sana kaka juhudi na uthubutu wa jpm kamwe hautokaa kusaulika ata ukipitia comment kwenye hii miradi inayozinduliwa km Emu nyingi ni za kumsifia jpm huwezi kuona za mkwere wala mama ndio jinsi jpm anaishi kwenye mioyo ya watu
 
Flyover ya Tazara na Airport terminal 3 ni miradi iliyoanza chini ya Jk Magu kaja kumalizia tuu.
Huu upumbavu wa kusema flani ndio kafanya ama huyu hakufanya ni ujinga serikali ndio inatekeleza yote haya kwa mpango wa muda mfupi na muda mrefu hata aje nani madarakani vitu vitatelekezwa tuu na ni kazi ya opposition kuiamsha serikali usingizini ikilegalega.
Hivi umesahau jinsi Magu alivyomtuma Mfugale kwenda Japan kutafuta pesa za ujenzi na kumwambia asirudi mpaka awe na mkataba? Unafikiri ni kwa nini inaitwa Mfugale flyover?
 
At least every team in Kenya Premier League and The National league is going to have a home ground stadium. Many stadiums are coming up, including in Turkana Kwale, Marsabit etc.
View attachment 3145289View attachment 3145290View attachment 3145291View attachment 3145293View attachment 3145294View attachment 3145296View attachment 3145297View attachment 3145299View attachment 3145300
Weka picha ligi yenu mkicheza usiku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hamna mkuu ichoboy01 yupo humu mda mrefu, anakuzidi wewe kuwa humu, sema hujamuelewa, anapambana na huyo choko anayeitwa choicevariable, huyu ChoiceVariable haeleweki anataka nn, anaponda miradi yote ya Magufuli lkn kuna wakati anasifia, sasa unamchukuliaje mtu kama huyo? Yeye yupo humu kwa ajili ya kumponda Magufuli tu na sio kitu kingine.

Kwanza kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui huyo choicevariable alikuwa anaiponda Tanzania enzi zile za Magufuli, ningekuona haupo biased kama ungeanza na choicevariable na sio mzalendo ichoboy01
Mh!
 
Kama ni hivyo basi msiite uwanja wa Mkapa bali Kikwete maana ulifunguliwa wakati Kikwete rais.
Hapana Bado tunawapa credit walioanzisha ndio maana miradi anayomalizia Samia inaitwa miradi ya Magufuli.

Hoja ni kumalizia miradi ya Mwendazake na kuanzisha utitiri wa miradi mipya Kila sekta.

And she is doing all this without visingizio.

SSH ni mama wa Uchumi na Biashara 👇👇

View: https://x.com/FMzaramu/status/1854135539995115858?t=-Ps0SE_XCR8MLx6Xt-Zixg&s=19
 
Attachments

  • TikTok_7433697827139620102 (1).mp4
    3.6 MB
Hapana Bado tunawapa credit walioanzisha ndio maana miradi anayomalizia Samia inaitwa miradi ya Magufuli.

Hoja ni kumalizia miradi ya Mwendazake na kuanzisha utitiri wa miradi mipya Kila sekta.

And she is doing all this without visingizio.

SSH ni mama wa Uchumi na Biashara 👇👇

View: https://x.com/FMzaramu/status/1854135539995115858?t=-Ps0SE_XCR8MLx6Xt-Zixg&s=19

Umeona mahali nampinga Rais Samia kwa kuendeleza miradi? Tunachohoji ni kujisahaulisha yale aliyoyafanya Magu. Yaani woote kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa hadi Kikwete wanapata credit kwa miradi yao isipokuwa Magu. Huoni kuna tatizo hapo?
 
legacy imezidiwa na ikiwa mtu amelala chini miaka mitatu bado munahangaika nae kuficha mazuri yake 😂😂😂😂

leo nchi imefika deni trillion 100 bado kuna tozo tunaambiwa ni kwa ajili ya same projects ambazo pesa zinakopwa tena alaf tuko hapa kushangilia kila kitu

nchii ilinyooka kama ruler sio hospitalini sio maofisini sio wizarani heshima kazini ilirudi au tumesahau leo, haya nenda kwenye hospital za serekali sasa hvi kama utahudumiwa bila rushwa 😂😂
Mkuu Mimi nimecheka Sana, nadhani tubaki kimya, kuna watu wanafikiri unapoongeza bajeti ndio maendeleo bila kuzisimamia watu wanakula. Deni la 54 trillion , ukizifanyia audit hautaziona value yake kwenye miradi hiyo.
 
Hapana Bado tunawapa credit walioanzisha ndio maana miradi anayomalizia Samia inaitwa miradi ya Magufuli.

Hoja ni kumalizia miradi ya Mwendazake na kuanzisha utitiri wa miradi mipya Kila sekta.

And she is doing all this without visingizio.

SSH ni mama wa Uchumi na Biashara 👇👇

View: https://x.com/FMzaramu/status/1854135539995115858?t=-Ps0SE_XCR8MLx6Xt-Zixg&s=19

Ujinga ni MZigo, viwanda vya kisasa vyenye kumitt standard za kimataifa ndio vimeongea mauzo ya nyama nje.
 
Ujinga ni MZigo, viwanda vya kisasa vyenye kumitt standard za kimataifa ndio vimeongea mauzo ya nyama nje.
Viwanda hivyo hivyo ndivyo vimelegwa na sera nzuri za Samia.

Unadhani Kwa nini kabla ya hapo mauzo hayakuongezeka?
 
Back
Top Bottom