Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna ule mradi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati kujichotea mabilioni Kila siku Kwa mgongo wa kuweka pigment kwenye Mafuta,Samia alifutilia mbali huo upuuzi sema kawastahi tuu.Happ watapitia kimya kimya 🤣🤣 Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Hapo sijagusia malipo hewa ya hela za 10% za Halmashauri Hadi Mama aliagisa kusimamishwa huo utaratibu Hadi kanuni Mpya ziwekwe.
Tuache uzwazwa,magu na mama wote ni binadamu wana mazuri na mabaya yao,acheni ujinga
 
Kuna ule mradi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati kujichotea mabilioni Kila siku Kwa mgongo wa kuweka pigment kwenye Mafuta,Samia alifutilia mbali huo upuuzi sema kawastahi tuu.Happ watapitia kimya kimya 🤣🤣 Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Hapo sijagusia malipo hewa ya hela za 10% za Halmashauri Hadi Mama aliagisa kusimamishwa huo utaratibu Hadi kanuni Mpya ziwekwe.
Mmmh fuel pigment? Hakuna waziri bongo anaweza kupambana na SICPA. Ofcourse sio mradi bali ni utaratibu wa lazima kufanya fuel marking(adulteration)

FYI, bado fuel marking inafanyika tena issue ilikua hot sana wakati mama Samia anaingia nadhani(early 2021) wajanja walikua wanajua ndio time nzuri sababu uongozi mpya bado haujakaa sawa
Kilichotokea TBS walicheza faulo ambaypo baadae mahakamani iliwasumbua, kulikua na faulo kubwa walicheza na kuwapa tender Intertek na Aunthentix Inc. SICPA wakaja juu, japo yaliisha wanafanya kazi pamoja kwa sasa

NB: hii mada ngumu inahitaji uwe na uelewa kama navyokuambiaga
 
Ruaraka also known as Garden Estate, is a suburb located 13km from Nairobi CBD along the Thika Superhighway.

There is another suburb that is called RUAKA that sometimes people confuse with RUARAKA because they are both named after the same river. Next, I will bring photos of Ruaka.

Kasarani Stadium is visible in the background of one of the photos. The mall in the last 3 photos is GARDEN CITY MALL.

Watanzania itaichukua Dar slums miaka 60 kufika level za Nairobi.

Roasters9.png


Roasters.png
Roasters2.png
Roasters3.png
Roasters4.png
Roasters5.png
Roasters6.png
Roasters7.png
Roasters8.png
Roasters9.png

Roasters11.jpg
Roasters12.jpg

Roasters10.png
 
Ruaraka also known as Garden Estate, is a suburb located 13km from Nairobi CBD along the Thika Superhighway.

There is another suburb that is called RUAKA that sometimes people confuse with RUARAKA because they are both named after the same river. Next, I will bring photos of Ruaka.

Kasarani Stadium is visible in the background of one of the photos. The mall in the last 3 photos is GARDEN CITY MALL.

Watanzania itaichukua Dar slums miaka 60 kufika level za Nairobi.

View attachment 3143349

View attachment 3143326View attachment 3143327View attachment 3143328View attachment 3143329View attachment 3143330View attachment 3143331View attachment 3143332View attachment 3143334View attachment 3143352
View attachment 3143364View attachment 3143365
View attachment 3143353
kitu gani cha maana wakati picha real zinajulikana na computer generated images zinajulikana!
 
Nadhani umeanza kuwa adui wetu. Umegeuka ugeukia upande wa wakenya. Nitakupiga sindano mpaka unyooke. Sipendi upumbavu kwenye battle mimi.

Nenda kajadiliane haya mambo yako ya kipumbavu kwenye majukwaa yanayohusika. Hapa tupo kwenye battle.

Ondoa upumbavu Tunapokuwa kwenye vita askari akigeuka anakula shaba chap.
Hamna mkuu ichoboy01 yupo humu mda mrefu, anakuzidi wewe kuwa humu, sema hujamuelewa, anapambana na huyo choko anayeitwa choicevariable, huyu ChoiceVariable haeleweki anataka nn, anaponda miradi yote ya Magufuli lkn kuna wakati anasifia, sasa unamchukuliaje mtu kama huyo? Yeye yupo humu kwa ajili ya kumponda Magufuli tu na sio kitu kingine.

Kwanza kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui huyo choicevariable alikuwa anaiponda Tanzania enzi zile za Magufuli, ningekuona haupo biased kama ungeanza na choicevariable na sio mzalendo ichoboy01
 
Tunaanza na sekta ya Michezo
-Benjamin Mkapa imekarabatiwa mara 2,wakati wa uzinduzi wa AFL na Sasa wakati wa maandilozi ya Afcon 2027,in both cases ni billions of money
-Serikali imeweka nyasi bandia viwanja vyote vikubwa na kufunga taa kuanzia CCM kirumba Hadi Dodoma
-Serikali inajenga Sports Complex ya Malya
-Serikali imetoa mikopo Kwa wasanii
-Serikali inajenga Uwanja wa Afcon Arusha,inakarabati viwanja vya mazoezi Mikoa mbalimbali juzi tuu hapo wameingia mkataba na Suma JKT
-Serikali inajenga Uwanja wa Mpira Dodoma,na inajenga Uwanja Cha gamani wa Michezo huko huko Dom.
-Serikali imejenga uwanja wa Kinondoni,Manyara,na inajenga viwanja vingine Maeneo mbalimbali eg Sengerema,Chunya,Tunduma,Moshi nk nk
-Imejenga viwanja vya Golf Dodoma, Serengeti nk
-Imejemga uwanja wa mashujaa Dodoma

Hiyo ni Baadhi tuu,nikikumbuka vinginevyo nitaongezea.

Tuje sekta gani nyingine?
Wewe ni mpumbavu sn kumanina, hiyo Ben mkapa stadium imekarabatiwa lini? Kila siku ipo vilevile, hakuna seat mpya vyoo vichafu yani kwa kifupi hakuna jipya, tuache huko turudi kwenye barabara, roads mnajenga nyembamba mnoo mpaka aibu, yani road inapita airport alafu nyembamba, aibu gani hii? Yani mkiwa wajinga kama hivi hatujengi bali tunabomoa, na nikipata watu watatu tu wanasapoti huu upumbavu wako basi nitabadilika na hamtaamini kama ni mm napambana na hawa wakenya miaka yote hii.
 
Nshakwambia hayo ni masenge ya mama achana nayo.
Mkuu sio Kila mtu anayepingana n mawazo ya magu ni mtu wa Samia . Kitu kinachopingwa hapa ni Ile kasumba kwamba alifanya makubwa kuliko mwingine yoyote, kuna madhaifu kibao ambayo yalifanyika ambayo wengi wetu hatuwezi kukuballi. Jaribu pitia ripoti ya Cag ya 2020/2021 na 2021/ 2022 .
Kwangu Mimi sijaona rais Bora mpaka Sasa kwa sababu katiba Bado haijaruhusu wananchi kwenda deep , Mimi naamini kabisa Kuna wizi mkubwa unafanyika na ulifanyika kwa vipindi vyote. Adui yetu ni mmoja tu ( mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu)
 
Hivi Ni Rais Gani Kutoka Nchi ya Ahadi Aliwahisema Viatu vya Magufuli nivikubwa kwake?

Kifupi Tuache Kumlinganisha Magufuli na Vitu vya Ajabu
Hajatokea Hata 1/4 wakulingana na Magufuli Tuishi tu humo humo hakuna Namna
Ila Nchi inapitia Wakati Mbaya na Hovyo japo Tutafika hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom