The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hii ndyo kitu watu wanajisahaulisha, wanakuambia Samia ndyo rais bora kuwahi kutokea, jaribu kuwauliza kama angeanza Samia kabla ya magu angeanzisha hayo yote? Kwa ujasiri gani hasa alionao!!!aliyoyafanya magu hakuna rais angeweza hata kuthubutu kwa robo yake kwanza kitendo cha ku force bwawa la nyerere kujengwa pamoja na vikwazo na vitisho kutoka world bank pamoja na UNESCO hakuna rais angeweza hata kusogeza pua kwa kua na roho ngumu, yule jamaa alikua ni real fighter, hata SGR world bank ilikataa kutoa mkopo wakapendekeza tufufue MGR ila jamaa akagoma alasema tutaanza kujenga kwa pesa zetu phase 1 tena kwa kutumia nguvu nyingi sana, hata daraja la kigongo busisi ilikua ni jambo la ujasiri mkubwa sana, achilia mbali flyover ya kwanza na intwrchange ya kwanza tanzania toka nchi imepata uhuru alaf leo munakuja kuongea pumba hapa 😂😂😂😂😂
hawa wakenya waulize ni rais gani mpaka leo wanamlilia na walimchukia kwasababu ya kuiamsha tanzania iliokua imelala usingizi mzito
kila mkenya akiona SGR anakwambia magufuli alifanya kazi wao wenyewe wanasema kwenye comments na tunaziona
kwani hii thread ilipata jeuri kipindi cha nani kama sio magufuli situlianza kutunisha misuli hapa kipindi chake au leo mumesahau, leo nyerere national park inapokea watalii wengi ni nani alileta wazo hilo na akatekeleza pamoja vikwazo vya UNESCO au tumesahau leo 😂😂
wakenya wanamchukia magu kwasababu alituamsha kwenye usingizi mnono ndio maana tunaitwa a sleeping giant
pumba gani hzi unaongea wewe ??
leo tunaisifu TARURA inafanya kazi vzr na kwa ufanisi lakini mwenye maoni ya TARURA mumemsahau 😂😂😂😂😂
Tumsifu tu kwamba kaendeleza yale aliyoachiwa na magu japo kwa speed ya kobe na siyo lazima kumsifu mana hata rais angekuwa paka bado angelazimika kuyamaliza aliyoachiwa na mtangulizi wake.
Watanzania tuache ujinga wa kusifusifu kila rais, ni katabia kachafu sanaa.