concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Duuh hapa kinachopingwa ni kuwa magu kafanya mengi kuliko Marais wote, watu wanashindwa tofautisha vipato vya nchi kipindi kwa vipindi vyote vya urais na kwamba kipindi Cha magu hakukuwa na wizi.Umeona mahali nampinga Rais Samia kwa kuendeleza miradi? Tunachohoji ni kujisahaulisha yale aliyoyafanya Magu. Yaani woote kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa hadi Kikwete wanapata credit kwa miradi yao isipokuwa Magu. Huoni kuna tatizo hapo?
Kwamba kikwete alitakiwa akakope 10bil USD ili ajenge reli wakati alipokea nchi ikiwa kwenye GDP ya 18 bil na akaondoka na 49bil USD.
Wengi hatutaki angalia uhalisia hata ukiingia TANROADS Official Website :: Projects
Kikwete awamu ya 1 alikuwa na miradi mingi sana tena ya kufungua nchi kuliko hata huyu magu , ukija barabara tu jk awamu ya kwanza anazaid ya km 3000 huku jpm akiwa Hana hata 2000km mpaka anaingia kaburini.
Kila rais ana jambo lake alilolifanya hata Samia Kuna mengi anayafanya ila kwa sababu watanzania Huwa tunapenda kuwa na yule kiongozi anayeropoka ndo maana tunaona magu alifanya mengi sana