Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi Niko mgongoni Kwa mama yaani ndio tunatekeleza ilani Kila sekta ni kicheko.

Hakuna palipolala ndio maana tuna jeuri ya kuongea.

Miaka 4.5 kama miaka 10,Akifika 2030 Tanzania itakuwa na GDP ya over 120.

Soma hapa Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza
miujiza na alaf deni la taifa limetoka trillion 54 mpaka 100 within 3 good years
na bado tozo kila kona

😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Mradi wa Tabora wa Bilioni 700? Unaota wewe,uweke hapa na Mimi nisome kama wewe ulivyosoma 😂😂😂😂

Kwa hiyo viwanja vya ndege 2 basi ndio vinatosha miaka 5.5? 😂😂

Kigamboni ya wapi hiyo? Daraja la Kigamboni amejenga JK,the same to Kilombelo ambalo lina jina La Magufuli

Wewe Bado unaokoteza miradi ambayo hata haikufanyika awamu ya 5 😂😂

Weka hapa mradi wa Maji wa Bilioni 700 😁😁,Bora hata ungesema mradi wa Maji wa Arusha ambao haukumaliza kama kawaida yake 😂😂

Mwisho Mwendazake alikuwa na miradi ya kuokoteza Kwa sababu hata pesa hakuwa nazo maana hajui kuzitafuta, biashara zilianguka, investors wakakimbia,Kilimo kilianguka nk nk
Emoji nyingi sana, what's wrong?
Mradi wa maji ziwa Victoria uligharimu bil 700

Daraja la kigamboni limekamilika 2016, same na kilombero wakati wake. Sasa labda tuseme issue Ni kukamilika au nani ameanzisba? Maana hata Sasa huwezi acha kumsifia mama Samia kwa mradi wa reli au jhppl kisa alieanzisha mradi ni mwingine

Mradi wa maji
Siku ya kuanza mradi

View: https://www.facebook.com/JamiiForums/videos/tabora-rais-magufuli-leo-ameweka-jiwe-la-msingi-la-mradi-wa-maji-kutoka-ziwa-vic/1557034501027205/


Uzinduzi/kukamilika

View: https://www.youtube.com/watch?v=h7GKmNfw2Gk
 
Emoji nyingi sana, what's wrong?
Mradi wa maji ziwa Victoria uligharimu bil 700

Daraja la kigamboni limekamilika 2016, same na kilombero wakati wake. Sasa labda tuseme issue Ni kukamilika au nani ameanzisba? Maana hata Sasa huwezi acha kumsifia mama Samia kwa mradi wa reli au jhppl kisa alieanzisha mradi ni mwingine

Mradi wa maji
Siku ya kuanza mradi

View: https://www.facebook.com/JamiiForums/videos/tabora-rais-magufuli-leo-ameweka-jiwe-la-msingi-la-mradi-wa-maji-kutoka-ziwa-vic/1557034501027205/


Uzinduzi/kukamilika

View: https://www.youtube.com/watch?v=h7GKmNfw2Gk

Usiseme ni mradi wa Bilioni 700,,hapo imefanyika extension tuu.

Huo mradi ulikuwa launched awamu ya Lowasa maji yakatoka Shy na Kahama, Mwendazake ameyafikisha Tabora na Samia anayapeleka Kaliua na Sikonge ,lakini pia ameyafikisha Igunga na Shelui na malengo ni yafike Dodoma.

Mwisho unapotaja figures uwe unaelewa unachoongea sio kujiongelesha kama mwanakijiji.

View: https://youtu.be/80D2IbVocwQ?si=AboshJ7xPL6hmmf1
 
eti nimeakia SGR kukwama njiani ni hujuma je ni kweli???😂😂😂😂
Kuna watu wanatafuta kichaka Cha kujifichia kukwepa uwajibikaji Kwa sababu za uzembe.

Hakuna mtu anaweza fanya hivyo kwenye mradi wenye public interest na political attention,hajipendi?
 
Sio kweli, miradi mingi tu wakati wa magufuli ilikamilika hapa nitakutajia kwa uchache
  • Miradi ya barabara kuunganisha mikoa
  • ujenzi wa barabara za kawaida, na upgrading
  • Stand za mikoa
  • masoko
  • Madaraja
  • Ujenzi wa hospital
  • Ujenzi wa vyuo/shule
  • miradi ya maji
  • miradi ya umeme
  • viwanja vya ndege
Kwa uchache ni hayo, sitegemi ubishe sababu huenda ukawa hujui so nategemea uniulize mifano ya sehemu ya hiyo miradi ilipokamilika kwa wakati huo
Nakukubali sn mkuu huwa nakufatilia kule jukwaa la siasa, uko vzurii.
 
Wewe nae huu uzi ni wa kuonyesha maendeleo ya dar na nbo,habari za siasa peleka kwenye jukwaa la siasa
Kwani Kuna kipi ambacho kinafanyika hakina interest ya siasa au maamuzi ya siasa? Acha ujinga basi,hapo nimekuonesha wewe hater na Kundustan ufanisi wa Tanzania kwenye Barabara Vijijini.

Kama unaumia ignore posts zangu au pita huko kimya kimya uone kama nitaacha au nitapungua kitu 😆😆👇👇

View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1854203951937155390?t=UmDvxLSE2kAnokMESO-c9g&s=19
 
MUHAS - mloganzila
Pia vyuo vya Kati

Huu ubishani wenu hauna maana hamtumii akili, common sense tu haiwezekani miradi kadhaa isiwe imekamilika kuanzia ya shule, hospital, barabara, maji n.k.

Hata raisi awe mzembe vipi lazima kuna miradi itakamilika. Hata wewe ukiwa raisi leo hii lazima Kuna miradi utaikuta itakamilika na ipo utaanzisha utaweza kuikamilisha.
Huwa nawaambia hata rais awe paka lkn mradi kama wa sgr ilikuwa lazima ukamilike, issue ilikuwa kupata jasiri wa kuuanzisha ambaye ni JPM.
 
Usiseme ni mradi wa Bilioni 700,,hapo imefanyika extension tuu.

Huo mradi ulikuwa launched awamu ya Lowasa maji yakatoka Shy na Kahama, Mwendazake ameyafikisha Tabora na Samia anayapeleka Kaliua na Sikonge ,lakini pia ameyafikisha Igunga na Shelui na malengo ni yafike Dodoma.

Mwisho unapotaja figures uwe unaelewa unachoongea sio kujiongelesha kama mwanakijiji.

View: https://youtu.be/80D2IbVocwQ?si=AboshJ7xPL6hmmf1

Ni mradi wa gharama kiasi gani?

Pia hiyo sio extension, ni mradi mpya
 
Mwenye mradi wake tushamzika saizi apewe maua yake,JK na Lowasa ,Hawa ndio wabeba maono na walipambana kweli kweli.

View: https://youtu.be/jjHbTvE7Toc?si=aw9nq3WWsilSOYoO


Mwisho mradi ni wa bili.600

View: https://youtu.be/9SZ_CFtGehA?si=h3T5lBOgyVAxF11L

Unajua sijui u afanya kazi gani/shughuli gani
Lakini naona unapoteza muda kwa vitu unavyoanzisha alafu baadae tena unarudi kulekule ulipokataa mwanzo,

Angalia tulipoanzia kwenye huu mradi alafu angalia unachoandika sasa. Kwanza ulikataa haukuwwpo huo mradi, sasa hivi unasema maua wapewe lowassa waliokuwa na wazo la mradi, sio Tena Nani alianza na kukamilisha. Muda ni mali, kuwa straight kwenye mada
 
Mpumbavu wewe, unadhani mnaweza kuifika electric sgr ya Tanzania kwa wingi wa madaraja? Nyie mmeibiwa, mnajengewa madaraja ya nn kwa treni inayotembea speed ya 50km/hr?
Huwa sikujibu kwasababu huna akili, wewe mwenyewe hujielewi nini unasema
 
Huyu mama watu wanamchukulia poa ila kuna vitu anafanya watu hawataki kukubali,hata hii issue yake na jpm ni chuki tu ya pro jpm na pro mama,ila ukiangalia kwenye miradi hata jpm mwenyewe uko kaburini anafurahi miradi aliyoianzisha yote hamna ambao umelala,mama anatendea haki maono ya jpm tuache ushabiki na chuki za kipumbavu
Misukuma mijinga sana imejaa chuki!
 
Back
Top Bottom