Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Tanzanite bridge haijaisha kipindi choke! Mama Ndio kazindua! BTW nimeomba mradi wa chuo!Interchange Ubungo, machinjio ya kisasa, Tanzanite bridge, ununuzi wa ndege zaidi ya nane na zote zilifika nchini.
Unaumwa mavi wewe!MUHAS - mloganzila
Pia vyuo vya Kati
Huu ubishani wenu hauna maana hamtumii akili, common sense tu haiwezekani miradi kadhaa isiwe imekamilika kuanzia ya shule, hospital, barabara, maji n.k.
Hata raisi awe mzembe vipi lazima kuna miradi itakamilika. Hata wewe ukiwa raisi leo hii lazima Kuna miradi utaikuta itakamilika na ipo utaanzisha utaweza kuikamilisha.
Sijaelewa,kwamba hujaridhika na mfano niliotoa au nimekosea?Unaumwa mavi wewe!
Kuhusu chuo kikuu nimekujibu mloganzilaTanzanite bridge haijaisha kipindi choke! Mama Ndio kazindua! BTW nimeomba mradi wa chuo!
Taja hivyo vyuo! Nikuumbue kelele za upumbavu tu humu ndani!Kuhusu chuo kikuu nimekujibu mloganzila
Kuhusu vyuo vya ufundi vipo vingi
Mkuu si nimekutajia mfano wa chuo kikuu ni MUHAS - mloganzilaTaja hivyo vyuo! Nikuumbue kelele za upumbavu tu humu ndani!
Tanzanite bridge hadi marehemu anafariki ilishafika 90% .Tanzanite bridge haijaisha kipindi choke! Mama Ndio kazindua! BTW nimeomba mradi wa chuo!
Hamna kitu Leta evidence! Kumaliza means 100% done! Hata Mbezi Bus Terminal alizindua kabla haijaisha!Tanzanite bridge hadi marehemu anafariki ilishafika 90% .
Mama kafanya uzinduzi tu.
Naona mkuu unaanza kutokwa na kumbukumbu ama na akiliHamna kitu Leta evidence! Kumaliza means 100% done! Hata Mbezi Bus Terminal alizindua kabla haijaisha!
Ange ange!Naona mkuu unaanza kutokwa na kumbukumbu ama na akili
Na ukumbuke Magufuli amefariki mwaka wa kwanza tu alipoanza muhula wake wa pili.
Na kwa asilimia zilizobaki angemaliza na kuzindua mwenyewe.
Alifungua nani na baada ya nani kukamilisha ujenzi?
Usitusumbue,hakuna kitu Mwendazake alikamilisha Kwa miaka yake 5.5
View: https://x.com/TanzaniaYaMama/status/1817558841568932110?t=0_swK51VCsAbVlVGGLi2qQ&s=19
View attachment 3144923
Mradi wa Tabora wa Bilioni 700? Unaota wewe,uweke hapa na Mimi nisome kama wewe ulivyosoma 😂😂😂😂Ya Malawi kutotumia bandari yetu basi tena? Usipende kuandika vitu hufahamu
Anyway, uwanja wa ndege ni geita airport, na pia terminal 3
Mradi wa umeme mfano ni kinyerezi I and 2
Ujenzi wa barabara zaidi ya dar dom, tabora mpanda hakuna zingine? But unajua mm Wala nisingejadili hili, ulisema hakuna kilichokamilika sasa hivi hapa unasound tofauti
Mingine miradi ya kuokoteza? How? Mfano mradi wa maji tabora wa bilion 700 kutoka lake Victoria ni mradi wa kuokoteza?
Madaraja makubwa kigamboni, kilombero ni miradi ya kuokoteza?
Huwa una bahati ya kujadiliana na watu wasiojua chochote na wewe pia hujui lolote so ndio maana unaandika unachojisikia
kaka whatever the case huu mradi jamaa aliupigania sana na fitna nyingi sana zilitembea na musianze kuleta ujinga sasa hao mawaziri waliokua wanatumwa kwenda uganda mara yeye magi akutane na museven tanga munafkiri ilikuja kwa bahat mbayaHuu mradi kuja Tz push ilitoka TOTAL wenyewe kwasababu mbali mbali
1. Total wanalo eneo la uchimbaji oil upande wa DRC na Tz kwenye lake Tanganyika hivyo itawasaidia connection to EACOP.
2. Cost ya mradi especially land acquisition in Tz is way cheaper and fast compared to Kenya hivyo muda wa project kuwa mfupi.
3. Upande wa Kenya terrain sio rafiki na hakuna njia ambayo ingetumika kusafirishia mabomba na mitambo ya mradi along the pipeline route unlike Tz pipeline iko sambamba na reli na barabara.
4. Pipeline ingepita Kenya ingekuwa prone to terrorist attacks not far from Somalia and Al Shabaab.
5. Operation cost ya pipeline kwa upande wa Tz ni cheaper from Singida to Tanga hakuna haja ya pumping ni gravity flow mpaka port.
Hizo ndio sababu kuu za huu mradi kuja Tz ni shinikizo la TOTAL kwa serikali ya Uganda na sio kiongozi yeyote wa kisiasa bali viongozi walihusika na facilitation tuu ya maamuzi hayo ya TOTAL.
daraja kufunguliwa na kukamilika ni vitu viwili tofout kaka 😂😂😂😂😂Daraja limefunguliwa 2023 sio 2022.
yani hata mm hua nashangaa huu utoto hawa wakenya ukiwauliza leo alieleta maendeleo tanzania watakujibu magufuli tena straight bila kupepesa macho😂😂😂Flyover ya tazara ulikamilisha wewe?
Interchange ya ubungo nani alikamilisha?
JNIA je nani alikamilisha? Acha utoto.