ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kweli magu alifanya kazi kubwa sana 🙌🏻🙌🏻
nimecheka sana tena nimecheka kwa nguvu sana 😂😂😂😂😂😂😂Flyover ya Tazara na Airport terminal 3 ni miradi iliyoanza chini ya Jk Magu kaja kumalizia tuu.
Huu upumbavu wa kusema flani ndio kafanya ama huyu hakufanya ni ujinga serikali ndio inatekeleza yote haya kwa mpango wa muda mfupi na muda mrefu hata aje nani madarakani vitu vitatelekezwa tuu na ni kazi ya opposition kuiamsha serikali usingizini ikilegalega.
Pengine isingekamilika na hata kama ingekamilika basi ni Kwa gharama kubwa sana na maumivu ya kutosha Kwa sekta zingine.kukamilisha ilikua ni lazima hata mwenye mradi angekuwepo angekamilisha sometimes unakua kama vile huna akili 😂😂
kwan angekuwepo yeye asingekamilisha hayo madaraja aliyoyaanzisha mwenyewe au unafkiri kuanzisha ni rahisi sana, yataka moyo sana
Kwenye maelezo humo ndani huwezi sikia Magu maana SSH kamalizia hiyo Bandari Kwa 60%kweli magu alifanya kazi kubwa sana 🙌🏻🙌🏻
kama kuanzisha na wewe kaanzishe basi tukuone 😂😂😂😂😂Ndio,maana hoja ni anakamilosha na amekamilisha miradi ya Mwendazake na kuanzisha utitiri wa miradi Kila sekta tena bila visingizio kama wakati ule.
Unajifanya umesahau si ndio? 😂😂
Kumbuka unamzungumzia marehemu.Ange ange!
Sio kweli as a matter of fact JPM alikuwa hata Hana habari na huu mradi mpaka kampuni iliyopewa tender ya feasibility study kutoa matokeo kwa kumfuata Ikulu Magogoni! Huu mradi naufuatilia sana! It was pure business decision na sio ubabe wa JPM kama mnavyodai! Kumbuka Uhuru alienda mara tatu Paris ku-Lobby na akashindwa kubadili uamuzi wa Total na alitoa concessions nyingi! Kwa hiyo gharama ya kupitia Kenya ilikuja kushuka!
View: https://youtu.be/OhFZSfP2h3w?si=UNnMZCALNv8pIvmf
View: https://youtu.be/yYYwUHT_afM?si=04z5O1gxC72UFKQT
Pitia humu EACOP vs Lamu pipeline
HunaMost ?? Wasukuma wanyongaji wenzie waliofaidika nae!
Huyu ni wa kumpuuza anashidaNaona mkuu unaanza kutokwa na kumbukumbu ama na akili
Na ukumbuke Magufuli amefariki mwaka wa kwanza tu alipoanza muhula wake wa pili.
Na kwa asilimia zilizobaki angemaliza na kuzindua mwenyewe.
outer ring ya dodoma ingekua ishakamilika 😂😂😂😂 jengo la mwanza airport lingekua lishaisha, etcNa sio kwamba alimaliza mihula yake. Alikufa tu kitu ambacho ni natural. Sijui binadamu wengine wanatumia akili gani kumlaumu Mtu aliyekufa akiwa madarani..eti hakumaliza miradi...sasa mlitaka amalizeje wakati amekufa?
Angefika 2025 miradi kiwa nusu hapo nami ningesaport kuwa hakumaliza miradi. Sasa mnalalamikiaje mtu ambaye ni marehemu?
Sasa hiv 2024.
Magu angekuwepo.
1. SGR ingeishafika Mwanza kitambo sana
2. Mv Mwanza hapa kazi tu ingekuwa na safari zake za Bukoba kila siku
3. Tungekuwa tunateleza tu Kigongo busisi
4. Magufuli city ingeshaisha. Sasa wangekuwa wanapanua Barabara tu
5. Msalato Airport phase 1 ingekuwa inafanya kazi.
6. Huenda kimara kibaha highway ingekuwa Mlandizi huko
Nk nk
Mimi Niko mgongoni Kwa mama yaani ndio tunatekeleza ilani Kila sekta ni kicheko.kama kuanzisha na wewe kaanzishe basi tukuone 😂😂😂😂😂
hio bwawa la nyerere unesco aliwazuia musijenge na vikwazo wakasema wataweka umesahau leo hii😂😂😂
Huyu ni mwanamke au ana zote 2? 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCB8NKUt4b6/?igsh=dWhwZjlvcWZqbG4x
View: https://x.com/afristats_polls/status/1854155296056180994
Maana kuan wapuuzi watajifanya hawajaona.
View attachment 3145407
Making the headlines.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCB9aeVNUte/?igsh=bDhqOXhtM3Z6aGI4
Mpaka hapo bila kutafuta takwimu unadhani nani amejenga Barabara nyingi na kuifingua Nchi?
legacy imezidiwa na ikiwa mtu amelala chini miaka mitatu bado munahangaika nae kuficha mazuri yake 😂😂😂😂Pengine isingekamilika na hata kama ingekamilika basi ni Kwa gharama kubwa sana na maumivu ya kutosha Kwa sekta zingine.
Haiwezekani mtu anasingizia Sgr ,bwawa sijui vitu gani Kwa kunyima maendeleo sekta zingine kuanzia Ajira,Kilimo,mifugo, miundombinu mk
Nimewahi Kuandika humu jukwaani na nyie mnajua kwamba Barabara zote kuu alizozikuta Mwendazake kutoka Kwa JK ameondoka na kuziacua na mavumbi isipokuwa 1 tuu ya Tabora-Mpanda.
Mwisho umewahi sikia Samia analeta visingizio kwamba tumesimamiaha sekta abc kisa anajenga sgrzsijui bwawa au kununua ndege?
Mama ana pesa na anajua kutafuta pesa Kwa njia ya biashara bila hata kupora mtu au kufungua account.
Mwisho kubali tuu kwamba legacy imezidiwa mjadala ufungwe 🤪🤪🤪🤪
maoni yake ya kuanza ujenzi ni kielelezo tosha kua aliona mbali sana 😂😂😂😂Kwenye maelezo humo ndani huwezi sikia Magu maana SSH kamalizia hiyo Bandari Kwa 60%
Tunaendeleza maonomaoni yake ya kuanza ujenzi ni kielelezo tosha kua aliona mbali sana 😂😂😂😂