Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi hamna projects nyingine mpya mpya huko kwenu? ๐Ÿ˜
Remember Kenya is far much ahead of Tanzania in development index, so you should try hard to catch up with Burundi first before you start dreaming about Kenya.
 
A reminder on the Final look of Talanta๐Ÿ˜

1730828884597.jpeg
 
Naona kuna watu wanajaribu kujustify madeni, wanasahau huwa wanajitapa na domestic revenue ya 2trl kila mwezi.

Wakati tunapigwa tozo mbona excuse ilikua ile ile kujenga miundombinu, tena hiyo hiyo miundombinu mnaileta kujustify deni lenu la 50 Trilion?

Muda huo huo Kuna mtu atakwambia ni miradi ya lipstick anasema Magufuli aliharibu kupeleka pesa miradi ya lipstick. Akihojiwa kuhusu deni anaisukumiza miradi aliyokua anainaga eti haifai.

Mshajikanyaga sana.

And nimekuona mpaka mnaleta BOT kununua Dhahabu inamaana Domestic revenue haipo hata ya 1 Trilion kununua Dhahabu mpaka tukope?
yani mpaka wakat mwengine hua nacheka tu, mtu anazungumzia REA na tunajua REA ina tozo kwenye luku na mafuta alaf anazungumzia tena loan ya REA ukiwahoji wanaanza kutukana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ikiwa kama miaka mitatu imekata miradi aliyoiacha msukuma bado aijaisha nadhani wenye akili timamu watanielewa miradi inahitaji muda hata yeye angekuwepo ingekamilika kulingana na muda husika wa miradi.
waambie wakuoneshe miradi ya kutoka makutopora kwenda tabora na tabora kwenda isaka uone watakavokimbia humu ndani alaf waulize mikataba imesainiwa lini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Samia Suluhu Hassan. Is the best leader mpaka sasa.

Ni mjinga pekee yake anajifunika macho asione kinachoendelea.

Magufuli aliacha Bwawa la Nyerere chiniya 20% SGR sijui chini ya 16%

Lakini Rais Wetu Mama Samia amekamilisha vyote. Alikuwa na option ya kuachana na projects hizo Kama Magu alipoachana na Bagamoyo port, Kawe City, Kigamboni City zilizoachwa na kikwete.

Samia apewe Maua yake.
Magu alifanya kwa sehemu yake ** Tutaendelea kumuenzi na Kumshukuru**

Kama huridhiki na utawala wa Samia basi tafuta wa kukuridhisha. She is doing what supposed to be done in developing countries.
aliyoyafanya magu hakuna rais angeweza hata kuthubutu kwa robo yake kwanza kitendo cha ku force bwawa la nyerere kujengwa pamoja na vikwazo na vitisho kutoka world bank pamoja na UNESCO hakuna rais angeweza hata kusogeza pua kwa kua na roho ngumu, yule jamaa alikua ni real fighter, hata SGR world bank ilikataa kutoa mkopo wakapendekeza tufufue MGR ila jamaa akagoma alasema tutaanza kujenga kwa pesa zetu phase 1 tena kwa kutumia nguvu nyingi sana, hata daraja la kigongo busisi ilikua ni jambo la ujasiri mkubwa sana, achilia mbali flyover ya kwanza na intwrchange ya kwanza tanzania toka nchi imepata uhuru alaf leo munakuja kuongea pumba hapa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

hawa wakenya waulize ni rais gani mpaka leo wanamlilia na walimchukia kwasababu ya kuiamsha tanzania iliokua imelala usingizi mzito

kila mkenya akiona SGR anakwambia magufuli alifanya kazi wao wenyewe wanasema kwenye comments na tunaziona

kwani hii thread ilipata jeuri kipindi cha nani kama sio magufuli situlianza kutunisha misuli hapa kipindi chake au leo mumesahau, leo nyerere national park inapokea watalii wengi ni nani alileta wazo hilo na akatekeleza pamoja vikwazo vya UNESCO au tumesahau leo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

wakenya wanamchukia magu kwasababu alituamsha kwenye usingizi mnono ndio maana tunaitwa a sleeping giant

pumba gani hzi unaongea wewe ??
leo tunaisifu TARURA inafanya kazi vzr na kwa ufanisi lakini mwenye maoni ya TARURA mumemsahau ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hivi Ni Rais Gani Kutoka Nchi ya Ahadi Aliwahisema Viatu vya Magufuli nivikubwa kwake?

Kifupi Tuache Kumlinganisha Magufuli na Vitu vya Ajabu
Hajatokea Hata 1/4 wakulingana na Magufuli Tuishi tu humo humo hakuna Namna
Ila Nchi inapitia Wakati Mbaya na Hovyo japo Tutafika hivyo hivyo
tukisema hvi tunaonekana wasaliti na shida kubwa hawataki kuambiwa ukweli wao wanataka kusifia tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wangejenga reli ya Mtwara-Makambako ,Hilo wazo lingekuwa zuri.

Nimesikia Waziri wa Mipango anasema Kuna haja ya Bandari Mpya maana 2030 Dar Port itakuwa imezidiwa.

Hakuna haja ya kujenga Bandari Mpya bali tuwekezeze nguvu kufanya Upanuzi wa Bandari za Tanga na Mtwara Kwa kuweka kitambo mipya na kuziunganisha na reli.๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DB_Xk2QIYkC/?igsh=cmwyaTI1NXlhZzg=

alaf aliekuja na wazo la kujenga magati ya kisasa na akajenga bandari hamumtaki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

leo tunasifia DP world je munakumbuka bila maamuzi magumu ya kupanua bandari ya dar na kuongeza kina unafkiri leo mungemuona DP world hapa ???๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom