Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi Ni Rais Gani Kutoka Nchi ya Ahadi Aliwahisema Viatu vya Magufuli nivikubwa kwake?

Kifupi Tuache Kumlinganisha Magufuli na Vitu vya Ajabu
Hajatokea Hata 1/4 wakulingana na Magufuli Tuishi tu humo humo hakuna Namna
Ila Nchi inapitia Wakati Mbaya na Hovyo japo Tutafika hivyo hivyo
Kinacholinganishwa ni matokeo,swala la sura hakuna mtu arataka alingane nae 😂😂

Mwisho leta namba punguza mdomo tulinganishe na SSH,chagua sekta unayotaka wewe au Mkoa unataka tulinganishe.

Ukishindwa soma hata hapa Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mwisho lazima kuchukua upande na tusilazimishane.

View: https://x.com/FMzaramu/status/1853388145963786280?t=JSw5b4hv2RhRxfSO9Y_a1Q&s=19
 
Hivi Ni Rais Gani Kutoka Nchi ya Ahadi Aliwahisema Viatu vya Magufuli nivikubwa kwake?

Kifupi Tuache Kumlinganisha Magufuli na Vitu vya Ajabu
Hajatokea Hata 1/4 wakulingana na Magufuli Tuishi tu humo humo hakuna Namna
Ila Nchi inapitia Wakati Mbaya na Hovyo japo Tutafika hivyo hivyo
Samia Suluhu Hassan. Is the best leader mpaka sasa.

Ni mjinga pekee yake anajifunika macho asione kinachoendelea.

Magufuli aliacha Bwawa la Nyerere chiniya 20% SGR sijui chini ya 16%

Lakini Rais Wetu Mama Samia amekamilisha vyote. Alikuwa na option ya kuachana na projects hizo Kama Magu alipoachana na Bagamoyo port, Kawe City, Kigamboni City zilizoachwa na kikwete.

Samia apewe Maua yake.
Magu alifanya kwa sehemu yake ** Tutaendelea kumuenzi na Kumshukuru**

Kama huridhiki na utawala wa Samia basi tafuta wa kukuridhisha. She is doing what supposed to be done in developing countries.
 
Kazi zinaongea 👇👇
Screenshot_20241104-164804.jpg
 
Wakuu mna haribu sasaa..

Hao kenge wa North wanatuchora tu hapa.. Wako pembeni wanachungulia mnavyovuana nguo..

Kwao ni raha, maana wana pata pa kutushika... Wanachopenda wao ni kujitenga na chuki... Tuikatae hiyo roho kwenye huu uzi.
Mm nilishatabiri kitambo sn kwamba humu tutawapiga wakenya vya kutosha na watakimbia humu tutabaki pekeetu tukipeana vitasa na ndiyo yanatokea leo.
 
Bro humu watu walikuwa Awana Cha kupost dhini ya wakenye humu ila jamaa kawapa power iyo ila wanasahau je mlikuwa mnapost vitu vinatoka wapi

Tukubali tu mama ana winning Kwa kupitia mzee pia anatengeneza legacy yake nzuri

Mama anayo madhaifu na mazuri yake kama ambavyo mzee alivyokuwa navyo

Mtu asiseme Kwa chukua zake tuangalie nadhalia
Mkuu sikia hii miradi ya Magufuli itaisha alafu huyo mama yenu atapita tena zen tuone ubunifu wake.
 
Usiwe unajadili vitu emotionally. Leta facts. Unapowaita wengine wasenge bila proof ni upumbavu.

Magu alifanya kwa sehemu yake kama kiongozi. He is not here any more. Tuliyenaye ni Mh. Samia Suluhu na anafanya kazi nzuri mpaka watu wanakenua meno.

Tatizo lenu ni kutaka kuchukua upande yule wa Mangu na yule wa Samia.

Ni utoto na upumbavu.
Acha kuchanganya madesa mzee. Growup

Nimekustahi tu.
Unanistahi kivipi, kama unamwaga mboga wewe mwaga tu alafu mm nitajua nafanyeje.
 
Huyu mbwa anayeitwa Venus Star kwani ni nani huyu mpaka atupangie cha kufanya? Mm nitaachana na hii battle kama nikigundua huyu mbwa ndiyo ana run the show.
Hakuna aliyekupangia mzee ni hisia yako tu. Facts zinajibiwa kwa facts. Kama huna facts shutup your mouth.

Magufuli alikuwa kiongozi mzuri hakuna sehemu nimekataa. Lakini tundelee kujadili vitu ambavyo ni past mtu alishatangulia mbele za haki?

Je, umewahi kufiwa na mtu wa karibu? Ukifiwa unaomboleza kisha maisha yanaendelea. Kwanini tuendelee kuomboleza miaka yote?

Tayari sasa tupo na Rais Samia tunaendelea naye.

Kwanza alipata urais katika mazingira magumu. Wahafidhina walikuwa wanataka kumwangusha ili waendeshe nchi kihuni. Alisimama mpaka leo yupo.

Pili ni rais wa kwanza wa kike tena wa kiislam. Wafia dini wa kiislam walikuwa hawataki waongozwe na mwanamke. Walimfanyia mizengwe ya kila namna. Vikwanzo vyote hivyo kavivuka. Sasa yupo imara anapiga kazi.

Tatizo langu ni nini hapo?

Wapo watu wenye chuki binafsi na Magufuli akina Geza Ulole wanawatia ndimu ili mkasilike. Malengo yao siyo mazuri wamejaa chuki na kuwachukia wasukuma bila sababu. Wapo wengi na wengine lengo lao ni kuligawa taifa.

TUWE MAKINI NA WATU WA NAMNA HIYO

Ukinielewa hutapata shida na mimi. I am here to protect only National Interest that all.


Rais wa sasa ni Samia we need to go with her.
 
Back
Top Bottom