KTX ni HyundaiMzee hizi zimetoka Hyundai na siyo KTX
Muwe na usiku mwema
KTX ni HyundaiMzee hizi zimetoka Hyundai na siyo KTX
Nimemaliza Michezo na Kilimo,nihamie wapi?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mradi wa Umeme wa Mto Rumakali na Ruhudji - Analipia Mama yako?kwani zilinunuliwa kwa loan?? 😅😅😅
si tumeambiwa ni cash deal ama mm sijui
Ndio,mbona unataka kuhamisha magoli? Au tuendelee kuparalyse sekta zingine Kwa kuwa tunajenga Sgr in Mwendazake 's voice? 🤣🤣so tuendelee kushangilia kua tumekopa 50 trillion in just 3 good yrs 😂😂😂😂😂
KTX Korea Train eXpress kama TRC hapa TanzaniaKTX ni Hyundai
Muwe na usiku mwema
www.koreantrain.com
Ujenzi wa bandari ya uvuvi Kilwa analipia Mama yako?kwani zilinunuliwa kwa loan?? 😅😅😅
si tumeambiwa ni cash deal ama mm sijui
Jiulize wewe uliye quote comment yangu ya miak zaidi ya mitatu iliyopita unataka kujustfy nini?Unataka kujustfy nn?
Hyundai ni wa Japan?
kwani zilinunuliwa kwa loan?? 😅😅😅
si tumeambiwa ni cash deal ama mm sijui
Kilimo tena,hapa ndio nyumbani Kwa Samia.
-Kuna hactares 500k za irrigation zinaendelea na ujenzi ,zaidi ya 300bln
-Tumeanzisha Mnada wa chai,hatuendi Mombasa tena
-Serikali imeajiri zaidi ya wahandiai wa Kilimo 1,000
-Imenunua Pikipiki zaidi ya 3,000 na kugawa Kwa maaagisa ugani Nchi nzima
-Imenunua vishkwambi na vipima Ardhi na kugawa Kwa maafisa ugani Nchi nzima
-Imenunua magari ya wahandisi wa Umwagiliaji na kuyagawa Kila Mkoa ,mengine Hadi Wilayani ziadi ya gari 100
-Imefufua mashamba ya ASA na kufunga mifumo ya Kisasa ya irrigation
-Imeomgeza Bajeti ya Utafiti kwenye taarifa za Utafiti eg TARI
-Imeanzisha Kilimo Cha mazao ya biashara Mapya kwenye Baadhi ya Mikoa mfano Kakao Morogoro,Korosho Singida,Katavi Pamba,
-Inatoa ruzuku ya pembejeo, matumizi ya mbolea yameongezeka na kuvua tan 800 Kwa mara ya kwanza
-Uzalishaji wa Korosho umekwenda mara 4,,kutoka korosho kusombwa na malori ya jeshi mpaka kujaa pomoni kwenye maghala ya serikali
-Inajenga kongani ya viwanda vya Korosho Mtwara,zaidi ya Bilioni 300 achilia mbali viwanda vya kubangua koroshi vilivyoanzishwa eg Mkuranga na Kisarawe
-Imeanzisha viwanda vipya vya kuongeza thamani mazao hasa Pamba Katavi,Kigoma na Shinyanga
-Imeanzisha Jiji la Kilimo Mkulazi
-Imejenga na inajenga zaidi ya mabwawa 100 ya irrigation Nchi nzima
-Imewekeza zaidi ya Bilioni 300 kwenye viwanda vipya na vya zamani vya Sukari eg Mkulazi
-Imewezesha Upanuzi wa viwanda vipya vya mazao ya Tumbaku eg Mkwawa Leaf ,Rais alizindua juzi Morogoro
-Tanzania imekuwa namba 2 Kuzalisha Tumbaku Afrika
-Mazao ya Kilimo Sasa yanashindana na Madini,Utalii kuingiza pesa za Kigeni.
Mwisho hiyo ni summary tuu ya kilichofanywa kwenye Kilimo 👇👇View attachment 3142854
View: https://youtu.be/1wtGc5Co7LI?si=Xmae2pFVweso81TY
View: https://youtu.be/jryeHwp8RGY?si=g8suVEsKWbeViFcJ
Nchi jirani gani?Kwani kuna kiongozi aliyeharibu jina la Nchi hii kimataifa zaidi ya Magufuli!? Yani huyo jamaa ametufanya Leo ukienda Nchi jirani wanakuona Kama Mrundi,Mnyarwanda au Mcongo tu
JIWE anapaswa kusomewa makosa yake ata akiwa wapi
KAMA HUWEZI KUSAMEHE BASI LIPA KISASI
kwani zilinunuliwa kwa loan?? 😅😅😅
si tumeambiwa ni cash deal ama mm sijui
Tanzania tumepita Kwa nafasi ya kuwa mwenyejiView attachment 3142869
Leo, tumetolewa wote CHAN na watu wa SUDAN🙊
View attachment 3142870View attachment 3142871
Hii kima 👉 "Kinjekitile Jr" ni jina tu ama ni mtoto wa kile kizee kichawi "Kingunge"?Ondoa ushamba wako wa Kingunge Ngombale Mwilu hapa. Wacongo siyo watu?
PUMBAVU ZAKO
You are fooling yourself with an idiotic mindView attachment 3142869
Leo, tumetolewa wote CHAN na watu wa SUDAN🙊
View attachment 3142870View attachment 3142871
Ndio hao hao. Enzi za baba yao kila kitu walikuwa walikuwa wana own. Makusanyo yote ya Local Government yalikuwa yanaingia kwenye mifuko yao. Halafu leo anakuja hapa kutukana.Hii kima 👉 "Kinjekitile Jr" ni jina tu ama ni mtoto wa kile kizee kichawi "Kingunge"?
Hajatajwa mtu ila watu wameumia. Kazi ipoView attachment 3142869
Leo, tumetolewa wote CHAN na watu wa SUDAN🙊
View attachment 3142870View attachment 3142871
Hizi hapa pesa unafurahia kuziona zimeandikwa moja moja kwenye mitandao. Zikiunganishwa kwa pamoja unapiga kelele. STUPIkwani zilinunuliwa kwa loan?? 😅😅😅
si tumeambiwa ni cash deal ama mm sijui