Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona kuna watu wanajaribu kujustify madeni, wanasahau huwa wanajitapa na domestic revenue ya 2trl kila mwezi.

Wakati tunapigwa tozo mbona excuse ilikua ile ile kujenga miundombinu, tena hiyo hiyo miundombinu mnaileta kujustify deni lenu la 50 Trilion?

Muda huo huo Kuna mtu atakwambia ni miradi ya lipstick anasema Magufuli aliharibu kupeleka pesa miradi ya lipstick. Akihojiwa kuhusu deni anaisukumiza miradi aliyokua anainaga eti haifai.

Mshajikanyaga sana.

And nimekuona mpaka mnaleta BOT kununua Dhahabu inamaana Domestic revenue haipo hata ya 1 Trilion kununua Dhahabu mpaka tukope?
Huna hoja wewe hater.

Unaweza nipa justification ya Trilioni 56 za mikopo wakati mlidanganya kwamba hamkopi ilamnajenga Kwa pesa zenu za ndani?

Unaweza nipa justification ya makusanyo mliyodai mumemfunika JK na kuweka historia? Na msisahau mli paralyse sekta zingine za Uchumi Kwa visingizio vya kijinga eti mnajenga Sgr,sijui bwawa and such blaa blaa.

Justification ya mikopo na makusanyo ipo ni wewe tuu kusoma na nimeshatoa orodha ya Kilimo na Michezo,nasubiria permission ya sekta nyingine mnayotaka.

Mwisho tumejenga vituo vya Afya 402 na Mwaka huu kazi ya vituo vipya over 200 inaendelea 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DB8M9HUg-E9/?igsh=MW1xcDd4YTdnaTI3dQ==
 
Ndio hao hao. Enzi za baba yao kila kitu walikuwa walikuwa wana own. Makusanyo yote ya Local Government yalikuwa yanaingia kwenye mifuko yao. Halafu leo anakuja hapa kutukana.
Walau wangetuoa makusanyo ya tra kipindi Cha mwendazake bila zile faini za kusakiziwa
 
Okay, walijimilikisha stend ya Ubungo na hawakujenga hata choo! Walitolewa kwenye mifumo ya kujipatia pesa haram kilio kikawa kingi sana. Nchi jirani gani anaongelea huyu Maku?

Halafu yuko hapa anaongea ungese, what an asshole!
Kinjekitile Jr
Wakafanya makusanyo yote ya taasisi zote na local government yawe centralized, wakaitoa tarura ,ruwasa na malipo yote yakawa centralized ili wizi ufanyike vyema
 
Naona kuna watu wanajaribu kujustify madeni, wanasahau huwa wanajitapa na domestic revenue ya 2trl kila mwezi.

Wakati tunapigwa tozo mbona excuse ilikua ile ile kujenga miundombinu, tena hiyo hiyo miundombinu mnaileta kujustify deni lenu la 50 Trilion?

Muda huo huo Kuna mtu atakwambia ni miradi ya lipstick anasema Magufuli aliharibu kupeleka pesa miradi ya lipstick. Akihojiwa kuhusu deni anaisukumiza miradi aliyokua anainaga eti haifai.

Mshajikanyaga sana.

And nimekuona mpaka mnaleta BOT kununua Dhahabu inamaana Domestic revenue haipo hata ya 1 Trilion kununua Dhahabu mpaka tukope?
Mkuu ndani ya miaka 6 magu alikopa USD 11 lakini hatujaona mradi wowote aliomaliza ?
Hivi unawezaje kuanza ujenzi wa sgr isaka- mwanza kabla ya makutupora -isaka
 
Acha upunguani bro before magufuli kufa baadhi ya miradi alishaanza kuizindua ufanye kazi mama naendelea alipoishia mwenzake acheni kuongea ungese
 
Kama miradi ipi hiyo ya Magufuli iliyoisha? Stendi Dodoma haikuisha, ya Dar haikuisha, SGR haikuisha, daraja Kigongo-Busisi halikuisha, JNHPP haijaisha! Uwanja wa ndege Mwanza kawapa Wasukuma Wenzie wa Manispaa haujaisha! Viwanja vya ndege Tabora, Shinyanga na Kigoma havijaisha! Kazi ilikuwa propaganda za uongo! Labda miradi ya Chato!
 
Alivyokuwa mbinafsi badala ya kuendelea na ujenzi kuanzia makutubora - tabora akaruka mwanza kwenda isaka Sasa sijui alijua tren zitaruka juu, kipande Cha mwanza isaka kitaisha na kukaa almost miaka 4 wakati kikisuburia makutupora- isaka bonge Moja la hasara
 
Hivi Air Tanzania bado inaenda Chato?
 
Hivi Air Tanzania bado inaenda Chato?
Brother nakusihi. Uachane na hawa vijana ambao hawawezi fikiri outside the box. Tunajaribu kuwaeleza kwa code lakini hawataki kuelewa. Wanataka waamini wanachowaza.

Tanzania imepata source ya Tax Sustainable ya kujenga SGR from Dar to Dodoma? Ukiwauliza hawakupi jibu.

Ukiwauliza Pesa za kujenga Bwawa la Nyerere Tanzania ilipata wapi Pesa? Hawatoi jibu.

This is most stupid generation
 
Kama miradi ipi hiyo ya Magufuli iliyoisha? Stendi Dodoma haikuisha, ya Dar haikuisha, SGR haikuisha, daraja Kigongo-Busisi halikuisha, JNHPP haijaisha! Uwanja wa ndege Mwanza kawapa Wasukuma Wenzie wa Manispaa haujaisha! Viwanja vya ndege Tabora, Shinyanga na Kigoma havijaisha! Kazi ilikuwa propaganda za uongo! Labda miradi ya Chato!
Mngeenda mkamfufue Sasa amalizie bwege wewe Mimi nilikuwa napitia huu Uzi Toka 2015 najua vizuri mihemko Yako kama wanasiasa uchwala ambao wanasifia then wanasahau walichokuwa wanasifia
 
Mkuu badala ya personal attack walau tungetaja miradi aliyoizindua magu na kuimaliza hapa tuko kuelimishana sio vita
 
Mngeenda mkamfufue Sasa amalizie bwege wewe Mimi nilikuwa napitia huu Uzi Toka 2015 najua vizuri mihemko Yako kama wanasiasa uchwala ambao wanasifia then wanasahau walichokuwa wanasifia
Wewe na Wasukuma wenzio wote ni Wapumbavu! Msilazimishe propaganda zake kwa wengine! Nakumbuka uwanja wa ndege wa Jeshi Ngerengere aliuzindua kwa Mara pili japokuwa ulikuwa tayari ushazinduliwa na Kikwete!
 
Back
Top Bottom