Alivyokuwa mbinafsi badala ya kuendelea na ujenzi kuanzia makutubora - tabora akaruka mwanza kwenda isaka Sasa sijui alijua tren zitaruka juu, kipande Cha mwanza isaka kitaisha na kukaa almost miaka 4 wakati kikisuburia makutupora- isaka bonge Moja la hasara
Issue ya Balali iliwaacha watu hoi sana. Kifo chake kiliwaduwaza watanzania wengi. Ni wachache sana walioenda kwenye mazishi yake. Watu wengi walihoji.
Balali alikuwa Gavana wa BOT.
For National Security kuna watu wanakufa kwelikweli lakini kuna wakati mwingine kuna kitu kinatengenezwa.
Unaulizwa ufe kabisa ukiwa hai na uendelee kula maisha ukiwa hai na jina lako lipotee? Au ufe watu wakuzike?
Katika point of no return of National Interest ni lazima uchague jibu moja.
This country is not for just one person.
Je, tuwe na maendeleo halafu kuwepo na ugomvi kila kona? Dunia inaendeshwa kama kijiji ni muihimu kwenda kwa namna ya mfumo.
Tunaweza kuwa na agenda kama taifa ya watumishi wa umma kuheshimu kazi, na ikapita watumishi wakawa wanaheshimu kazi, lakini tukakosa mahusiano mazuri na mataifa mengine. Ni muhimu ku reconstruct our policies.
Ni kama yale ya Balali. Kutakuwa na simanzi ya nchi kwa miaka miwili au mitatu, lakini kutakuwa na mwendelezo mzuri kwa miaka zaidi ya 50.
So tuambie sasa: Kwa maslahi ya taifa na kwa namna dunia ilivyokuwa inaendelea tulikuwa tunatakiwa tuendelee na msimamo wetu wa kabla ya uchaguzi? Tungeweza kutoboa kwa miaka mitano mengine?
Baada ya uchaguzi lazima kanuni hii itumike: Unaulizwa ufe kabisa ukiwa hai na uendelee kula maisha ukiwa hai na jina lako lipotee? Au ufe watu wakuzike?