Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo tuna mpaka umeme wa ziada, ukiachilia mbali kujitoa kwenye makali ya mgao. Leo tuna high speed trains, Kikwete na genge lake, kwa sababu ya low IQ, walitaka kujenga ya diesel.

Umesahau familia yao walijimilikisha stendi ya Ubungo, na hata choo hawakujenga?
Kipindi brt inatengenezwa kivukoni ziliruhusiwa bus za uda tu na route ilikua kivukoni mnazi mmoja,chini ya kisena na inavyodaiwa na mtoto wa kigogo mmoja,aisee kinamama wauza samaki na wakazi wa kigamboni kipindi kile waliteseka sana,jamaa walipiga hela ile route balaa
 
Watu wakubali wakatae marehemu alikua ana maono ya kutufikisha mbali.
Sawa hatukatai alikua na madhaifu yake ila alikua anatupeleka nchi ya ahadi.
Hakuna mtu aliyekua na uthubutu kama yeye katika viongozi.
Bro humu watu walikuwa Awana Cha kupost dhini ya wakenye humu ila jamaa kawapa power iyo ila wanasahau je mlikuwa mnapost vitu vinatoka wapi

Tukubali tu mama ana winning Kwa kupitia mzee pia anatengeneza legacy yake nzuri

Mama anayo madhaifu na mazuri yake kama ambavyo mzee alivyokuwa navyo

Mtu asiseme Kwa chukua zake tuangalie nadhalia
 
W

Hiyo ni ripoti ya kwanza chini ya Samia ambapo hata ununuzi wa mabehewa ulizidi mara mbili ya gharama .
Hapo Kuna Yale mabehewa used toka Denmark ambayo mpaka Leo yamefika sita tu
Tukiwaambia Magufuli alikuwa anafumbia macho wizi wa Wasukuma wenzie mtakataa? Aliyeagiza hayo mabehewa ni Nani?
 
Tukiwaambia Magufuli alikuwa anafumbia macho wizi wa Wasukuma wenzie mtakataa? Aliyeagiza hayo mabehewa ni Nani?
Kuna ule mradi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati kujichotea mabilioni Kila siku Kwa mgongo wa kuweka pigment kwenye Mafuta,Samia alifutilia mbali huo upuuzi sema kawastahi tuu.Happ watapitia kimya kimya 🤣🤣 Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Hapo sijagusia malipo hewa ya hela za 10% za Halmashauri Hadi Mama aliagisa kusimamishwa huo utaratibu Hadi kanuni Mpya ziwekwe.
 
Kuna ule mradi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati kujichotea mabilioni Kila siku Kwa mgongo wa kuweka pigment kwenye Mafuta,Samia alifutilia mbali huo upuuzi sema kawastahi tuu.

Hapo sijagusia malipo hewa ya hela za 10% za Halmashauri Hadi Mama aliagisa kusimamishwa huo utaratibu Hadi kanuni Mpya ziwekwe.
Yaan tukanunulishwa mabehewa used eti kigezo Cha COVID na mpaka Leo hakuna dalili ila yale ya Samia yashafika
 
Kuna ule mradi wa aliyekuwa Waziri wa Nishati kujichotea mabilioni Kila siku Kwa mgongo wa kuweka pigment kwenye Mafuta,Samia alifutilia mbali huo upuuzi sema kawastahi tuu.Happ watapitia kimya kimya 🤣🤣 Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Hapo sijagusia malipo hewa ya hela za 10% za Halmashauri Hadi Mama aliagisa kusimamishwa huo utaratibu Hadi kanuni Mpya ziwekwe.
Ilikuwa serikali ya majambazi ya Kisukuma!
 
Yaan tukanunulishwa mabehewa used eti kigezo Cha COVID na mpaka Leo hakuna dalili ila yale ya Samia yashafika
Kuna mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga,Kuna Dalali mzalendo mmja alichukua mradi baada ya Kufa ya overpricing harafu akamuuzia Nchina afanye kazi Kwa nusu tuu ya gharama za mradi,haya yote CAG aliyaibua 😆😆

Huko kwenye mandege na Sgr ndio usiseme maana waliihamishia Manunuzi Ikulu Ili CAG asifanye ukaguzi.

Wanadhani Kila mtu ni mjinga,watu wanajua ila wamekausha tuu Kwa sababu Kwa sehemu kubwa CCM hakuna msafi 😁😁
 
Hivi gharama ya ununuzi wa mabehewa used ipoje maana wanatuona wajinga Hawa.
 
Wakuu mna haribu sasaa..

Hao kenge wa North wanatuchora tu hapa.. Wako pembeni wanachungulia mnavyovuana nguo..

Kwao ni raha, maana wana pata pa kutushika... Wanachopenda wao ni kujitenga na chuki... Tuikatae hiyo roho kwenye huu uzi.
 
Hivi gharama ya ununuzi wa mabehewa used ipoje maana wanatuona wajinga Hawa.
Hakuna kipindi watu wa Utawala walitajirika kama awamu ya 5 Kila mtu anajua.

Kuna wengine walishutumiwa kutumia pesa za Umma kununua magari ya Kifahari eg DED wa Kahama kinyume na miongozo ya level za DED , Mwendazake alimkingia kifua akidai eti amekusanya pesa nyingi.

Sababu tuu ni aliwekwa Kimkakati Kwa connection,kuna yule alikuwa Arusha Jiji saizi ana kesi ya uhunimu uchumi 😁😁
 
Huku Mkoani kwangu ,miradi yote ya awamu ya 5 ilikuwa na dosari na substandards na mingine haikukamilika ,lakini hakuna aliyechukuliwa hatua,DED alikuwa ndugu wa mzalendo namba 1 🤣🤣
Watu wanapongeza sgr wanasahau magu alikuwa kanunua mabehewa used Leo mtu kachukua vitu brand new kwa gharama ya chini ya Yale mabehewa yaliyotumika tuliyonunua mara mbili ya gharama ya mapya
 
Watu wanapongeza sgr wanasahau magu alikuwa kanunua mabehewa used Leo mtu kachukua vitu brand new chini ya Yale mabehewa yaliyotumika tuliyonunua mara mbili ya gharama ya mapya
VP Aliwahi enda pale Bwawa la Nyerere walimpa taarifa kwamba Kuna ujenzi wa chini ya kiwango ulifanyika so Serikali ikalazimika kutumia na kujenga upya ,waliopinga pesa wapo.

Kwa taarifa yenu tuu,hayo mamiradi makubwa makubwa ndiko watu wametajirikia.

Anyway tugange yajayo Ndio Nchi yetu hii Haina utaratibu wa kuwajibishana so Kila mtu mwenye nafasi ya Kisiasa anajilia kadiri ya fungu lake.
 
Back
Top Bottom