Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwani zilinunuliwa kwa loan?? 😅😅😅

si tumeambiwa ni cash deal ama mm sijui
Mchuchuma Coal Mine and Liganga Iron Ore Project unatoa wewe. Kama huna taarifa uliza uzaidiwe.

$75 billion Mchuchuma and Liganga project ready for take-off​

Ndio hao hao. Enzi za baba yao kila kitu walikuwa walikuwa wana own. Makusanyo yote ya Local Government yalikuwa yanaingia kwenye mifuko yao. Halafu leo anakuja hapa kutukana.
Okay, walijimilikisha stend ya Ubungo na hawakujenga hata choo! Walitolewa kwenye mifumo ya kujipatia pesa haram kilio kikawa kingi sana. Nchi jirani gani anaongelea huyu Maku?

Halafu yuko hapa anaongea ungese, what an asshole!
Kinjekitile Jr
 
Okay, walijimilikisha stend ya Ubungo na hawakujenga hata choo! Walitolewa kwenye mifumo ya kujipatia pesa haram kilio kikawa kingi sana.

Halafu yuko hapa anaongea ungese, what an asshole!
Kinjekitile Jr
Wanadhani tumesahau. Wajitokeze kwenye media tena kama walivyokuwa wananyanyasa watu, tunazaa nao. Walikuwa wamejitengenezea Lindi empire.
Kingunge alienda na maji,
Membe nae maji yalimchukua
Nape anataka kujitutumua
Kuna mwingine alikuwa waziri wa Ulinzi some body Majogoro.

Na atulie aache watu wafanye kazi. Kama walishindwa kushiba kipindi chao. Sasa ziyo
 
Maokola Majogo-what-what! okay, ndio ilikuwa campani ya hawa wangese. 😂
 
Naona kuna watu wanajaribu kujustify madeni, wanasahau huwa wanajitapa na domestic revenue ya 2trl kila mwezi.

Wakati tunapigwa tozo mbona excuse ilikua ile ile kujenga miundombinu, tena hiyo hiyo miundombinu mnaileta kujustify deni lenu la 50 Trilion?

Muda huo huo Kuna mtu atakwambia ni miradi ya lipstick anasema Magufuli aliharibu kupeleka pesa miradi ya lipstick. Akihojiwa kuhusu deni anaisukumiza miradi aliyokua anainaga eti haifai.

Mshajikanyaga sana.

And nimekuona mpaka mnaleta BOT kununua Dhahabu inamaana Domestic revenue haipo hata ya 1 Trilion kununua Dhahabu mpaka tukope?
 
Peleka mjadala wa internal affairs kwenye majukwaa husika. Msituharibie uzi. Stupid

Battle hii ninyi mumeiingilia njiani.

Acheni utoto
 
Kwani kuna kiongozi aliyeharibu jina la Nchi hii kimataifa zaidi ya Magufuli!? Yani huyo jamaa ametufanya Leo ukienda Nchi jirani wanakuona Kama Mrundi,Mnyarwanda au Mcongo tu

JIWE anapaswa kusomewa makosa yake ata akiwa wapi

KAMA HUWEZI KUSAMEHE BASI LIPA KISASI
Jina la Tanzania kimataifa lingekuwa na faida gani kama kungekuwa hakuna umeme wa kutosha na miundombinu ya barabara na madaraja hao wakenya wanajina zuri sana Kwa western lakini mikopo ya reli na uwaja wa Mpira wanaenda kuchukua china huko kwingine wanapata sifa tu
 
Kwaiyo ndo trillion 50?
Kuna miradi ya vipande vya reli ya SGR phases zilizobaki, poa uboreshaji wa huduma za afya na elimu nchi nzima, manunuzi ya ndege za ATCL na uboreshaji na ujenzi wa viwanja vya ndege nchi nzima, barabara za Lami zinajengwa nchini kote.
Usijali mapato ya EACOP tuta ya ring fence yatumike kwa maendeleo na kulipia madeni 1bn USD kila mwaka itatu push sana.
 
Back
Top Bottom