Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alaf aliekuja na wazo la kujenga magati ya kisasa na akajenga bandari hamumtaki 😂😂😂😂😂😂😂

leo tunasifia DP world je munakumbuka bila maamuzi magumu ya kupanua bandari ya dar na kuongeza kina unafkiri leo mungemuona DP world hapa ???😂😂😂😂😂
Bandari zipo deep kuliko Dar ,hakuna haja ya kuchimbua Wala kujenga nyingine
 
Chuma itavunwa miaka 100 makaa ya mawe miaka mingi tuu reli inajilipa yenyewe sasa unataka iende makambako huko ikabebe nini mihogo au?
DRC kuna Tazara na TRC mpaka lake Tanganyika.
Yakishaisha itabena nini? Hakuna Cha Mtwara development corridor,hapo Kuna Bandari za Mozambique eg Nakala nk ziko jirani na Malawi/Zambia kuliko Mtwara na ndio maana Malawi hatumii Bandari zetu.

Hiyo section ya Makambako -Mtwara ni Kwa Ajili ya DRC zaidi.
 
leta deni la magufuli kabla hajawa rais alaf tukuoneshe kitu 😂😂😂😂😂
Screenshot_2024-11-05-22-24-05-56_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Sawa mkuuu naomba unioneshe unachotaka kunionesha
 
Hawa jamaa nashindwa kuelewa mbona wantumia nguvu nyingi sama kulazimisha mambo na wakati ukweli wanaujua kama mna nafasi ya kupiga wala msilazimishe nyeusi kuwa nyeupe nyie pigeni wala CO hana shida anawaletea mnajichotea wala haulizi ile hela imefanya nini
 
Bongo ujuaji mwingi miundombinu kama viwanja vya michezo hupelekwa mbali na mji angalia kenya uwanja wa talanta unajengwa mjini kati nairobi ila uwanja wa arusha umepelekwa mapolini eti kutanua mji nimeona baadhi ya miradi mingi ikipelekwa mbali na mazingira ya watu africa ushabiki wa soccer la ndani bado sana na ni ngumu mtu atoke mjini aende uwanjani kuangalia mpira ambako ni mapolini inakata mood bado hatujafika hio level ya ushabiki wa michezo kwanza miji yetu bado inahitaji kupendezeshwa kwa miradi kama hio inaongeza density ya objets za kuvutia
 
Andika yako ya kukosea kosea kiswahili+ hoja zako, unaonekana kilaza mkuu, njoo na hoja ya kueleweka.
 
Bongo ujuaji mwingi miundombinu kama viwanja vya michezo hupelekwa mbali na mji angalia kenya uwanja wa talanta unajengwa mjini kati nairobi ila uwanja wa arusha umepelekwa mapolini eti kutanua mji nimeona baadhi ya miradi mingi ikipelekwa mbali na mazingira ya watu africa ushabiki wa soccer la ndani bado sana na ni ngumu mtu atoke mjini aende uwanjani kuangalia mpira ambako ni mapolini inakata mood bado hatujafika hio level ya ushabiki wa michezo kwanza miji yetu bado inahitaji kupendezeshwa kwa miradi kama hio inaongeza density ya objets za kuvutia
Mapolini ndo nn?
 
aliyoyafanya magu hakuna rais angeweza hata kuthubutu kwa robo yake kwanza kitendo cha ku force bwawa la nyerere kujengwa pamoja na vikwazo na vitisho kutoka world bank pamoja na UNESCO hakuna rais angeweza hata kusogeza pua kwa kua na roho ngumu, yule jamaa alikua ni real fighter, hata SGR world bank ilikataa kutoa mkopo wakapendekeza tufufue MGR ila jamaa akagoma alasema tutaanza kujenga kwa pesa zetu phase 1 tena kwa kutumia nguvu nyingi sana, hata daraja la kigongo busisi ilikua ni jambo la ujasiri mkubwa sana, achilia mbali flyover ya kwanza na intwrchange ya kwanza tanzania toka nchi imepata uhuru alaf leo munakuja kuongea pumba hapa 😂😂😂😂😂

hawa wakenya waulize ni rais gani mpaka leo wanamlilia na walimchukia kwasababu ya kuiamsha tanzania iliokua imelala usingizi mzito

kila mkenya akiona SGR anakwambia magufuli alifanya kazi wao wenyewe wanasema kwenye comments na tunaziona

kwani hii thread ilipata jeuri kipindi cha nani kama sio magufuli situlianza kutunisha misuli hapa kipindi chake au leo mumesahau, leo nyerere national park inapokea watalii wengi ni nani alileta wazo hilo na akatekeleza pamoja vikwazo vya UNESCO au tumesahau leo 😂😂

wakenya wanamchukia magu kwasababu alituamsha kwenye usingizi mnono ndio maana tunaitwa a sleeping giant

pumba gani hzi unaongea wewe ??
leo tunaisifu TARURA inafanya kazi vzr na kwa ufanisi lakini mwenye maoni ya TARURA mumemsahau 😂😂😂😂😂
Mi nakukubali sana mwanangu.
Unachoongea ni ukweli mtupu.

Powa wangaji wangese wanamase tie, aliacha 40% blade fakeni, why marais huko nyuma wasituache hata 4% kuhamia Dodoma, beala la umeme?

Mkwere akili zake zilikuwa diesel SGR na hata hiyo alishindwa. Mkwere kaanzisha BRT halafu kaleta kero kubwa ya bodaboda nchini, rais wa hovyo mno kutokea. Ni huyu Mkwere alisema hatuwezi nunua ndege blade fakeni!
 
Back
Top Bottom