REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,600
- 11,516
Mkenya huyoAndika yako ya kukosea kosea kiswahili+ hoja zako, unaonekana kilaza mkuu, njoo na hoja ya kueleweka.
Mkenya huyoAndika yako ya kukosea kosea kiswahili+ hoja zako, unaonekana kilaza mkuu, njoo na hoja ya kueleweka.
Nyie ni majizi na LI diesel Sgr lenu,unajifafiji tuu 😁😁Hatuundi substandard railway kama hiyo yenu yenye hata kivukio cha watu ni shida. Hii section itakua na madaraja mengi sana
Minne na miradi aliyoanzisha ni gani?Magu Miaka mitano, Samia miaka minne mpaka sasa.
Alimalizia nani? Kuna mradi wowote Mwendazake Aliwahi kamilisha? 😂😂hata hili pia tumesahau 😂😂😂😂😂😂
daraja limefunguliwa 2022 sasa niambie magu alifariki mwaka gani na daraja lilifika asilimia ngapi kama sio over 85%Alimalizia nani? Kuna mradi wowote Mwendazake Aliwahi kamilisha? 😂😂
Alifungua nani na baada ya nani kukamilisha ujenzi?daraja limefunguliwa 2022 sasa niambie magu alifariki mwaka gani na daraja lilifika asilimia ngapi kama sio over 85%
alaf leo munakuja hapa kuongea pumba 😂
Karibu miradi yote ya vyuo na umwagiliaji ni ya Samia! Pamoja na kuachiwa utitiri wa miradi! Pia miradi ya viwanja vya ndege ukiacha wa Mwanza na Chato!Minne na miradi aliyoanzisha ni gani?
Huu mradi kuja Tz push ilitoka TOTAL wenyewe kwasababu mbali mbalibila ubabe wake huu mradi mungeusikia kwa jirani 😂😂😂 alaf leo munakuja kuongea pumba hapa na kutunisha misuli
magu was a real fighter 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Daraja limefunguliwa 2023 sio 2022.daraja limefunguliwa 2022 sasa niambie magu alifariki mwaka gani na daraja lilifika asilimia ngapi kama sio over 85%
alaf leo munakuja hapa kuongea pumba 😂
Exactly!Huu mradi kuja Tz push ilitoka TOTAL wenyewe kwasababu mbali mbali
1. Total wanalo eneo la uchimbaji oil upande wa DRC na Tz kwenye lake Tanganyika hivyo itawasaidia connection to EACOP.
2. Cost ya mradi especially land acquisition in Tz is way cheaper and fast compared to Kenya hivyo muda wa project kuwa mfupi.
3. Upande wa Kenya terrain sio rafiki na hakuna njia ambayo ingetumika kusafirishia mabomba na mitambo ya mradi along the pipeline route unlike Tz pipeline iko sambamba na reli na barabara.
4. Pipeline ingepita Kenya ingekuwa prone to terrorist attacks not far from Somalia and Al Shabaab.
5. Operation cost ya pipeline kwa upande wa Tz ni cheaper from Singida to Tanga hakuna haja ya pumping ni gravity flow mpaka port.
Hizo ndio sababu kuu za huu mradi kuja Tz ni shinikizo la TOTAL kwa serikali ya Uganda na sio kiongozi yeyote wa kisiasa bali viongozi walihusika na facilitation tuu ya maamuzi hayo ya TOTAL.
Ndivyo unavyofikilia, hasingekuwa Magu bomba lingepita Kenya. Jua hivyo.Huu mradi kuja Tz push ilitoka TOTAL wenyewe kwasababu mbali mbali