Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe si ulikua unamsapotigi humu wakati yupo hai? Kuna sehemu alishika penye maslahi yako au watu wako, sisi watanzania wakawaida tunaujua ukweli. It's true that alikua na mapungufu lakini so far hakuna kiongozi wa kumlinganisha na yeye na Cha kufariji zaidi ni kuwa most of Tanzanias ni supporters wake hadi Vifo vyetu
Most ?? Wasukuma wanyongaji wenzie waliofaidika nae!
 
Grevy's Zebra or Imperial Zebra. The largest equid. Only found in Kenya.

Grevy%27s_Zebra_Stallion.jpg
Trivial staff who can spot the difference? A zebra is a zebra!
 
Ndege kwa sasa zipo ngapi? Kama ndege hizo ndogo ndogo tu cost yake ni 1.8.

Sasa hivi tuna ndege kubwa nyingi nza ya mizigo ndege 16 na zingine tatu zinaingia next year. Tuambie kwaupande wa ndege cost yake ni how much?
Itakuwa nimepitwa hizo ndege 3 zinazokuja next year ni aina gani?
 
Tunaanza na sekta ya Michezo
-Benjamin Mkapa imekarabatiwa mara 2,wakati wa uzinduzi wa AFL na Sasa wakati wa maandilozi ya Afcon 2027,in both cases ni billions of money
-Serikali imeweka nyasi bandia viwanja vyote vikubwa na kufunga taa kuanzia CCM kirumba Hadi Dodoma
-Serikali inajenga Sports Complex ya Malya
-Serikali imetoa mikopo Kwa wasanii
-Serikali inajenga Uwanja wa Afcon Arusha,inakarabati viwanja vya mazoezi Mikoa mbalimbali juzi tuu hapo wameingia mkataba na Suma JKT
-Serikali inajenga Uwanja wa Mpira Dodoma,na inajenga Uwanja Cha gamani wa Michezo huko huko Dom.
-Serikali imejenga uwanja wa Kinondoni,Manyara,na inajenga viwanja vingine Maeneo mbalimbali eg Sengerema,Chunya,Tunduma,Moshi nk nk
-Imejenga viwanja vya Golf Dodoma, Serengeti nk
-Imejemga uwanja wa mashujaa Dodoma

Hiyo ni Baadhi tuu,nikikumbuka vinginevyo nitaongezea.

Tuje sekta gani nyingine?
Naongezea tuu Mama ananunua magoli pia 😁
 
boeing 767F manunuzi ya awali yalifanyila kipindi cha magufuli so leta last payment ya hio ndege

alaf niambie hzo ndege pesa zilikopwa kutoka wapi ??? wakat tunaambiwa tumelipa cash payment 😂😂😂
Hii order ya hizo ndege 5 iliwekwa mwishoni mwa mwaka 2021 kwenye maonesho ya ndege Dubai.
 
Nenda kasome budget ya wizara ya uchukuzi ya mwaka huu. Ndege mbili za abiria, ndege moja ya mizigo.

Ngoja niitafute nikupatie
Duh hope waongeze max 2 na freighter size ya 737 hii freighter iwe ina feed 767 na regional cargo.
 
Wangejenga reli ya Mtwara-Makambako ,Hilo wazo lingekuwa zuri.

Nimesikia Waziri wa Mipango anasema Kuna haja ya Bandari Mpya maana 2030 Dar Port itakuwa imezidiwa.

Hakuna haja ya kujenga Bandari Mpya bali tuwekezeze nguvu kufanya Upanuzi wa Bandari za Tanga na Mtwara Kwa kuweka kitambo mipya na kuziunganisha na reli.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB_Xk2QIYkC/?igsh=cmwyaTI1NXlhZzg=

Dar port inaongezewa gati 4 refu na bagamoyo port tunaanza na gati 2 kubwa this year budget imetengwa kuanza hiyo kazi.
 
Napinga reli ambazo zinajengwa sehemu ambayo hakuna mzigo kama hiyo ya kati na hii wanavyotaka kujenga ya mtwara-Mbamba Bay badala ya kujenga kutoka Makambako -Mtwara.

Soma mada hii Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi
Mtwara mbamba bay itabeba makaa ya mawe na chuma toka liganga na pia itakuwa boost kwa mtwara development corridor kwa mizigo ya Malawi na Zambia along Lake nyasa.
 
Mtwara mbamba bay itabeba makaa ya mawe na chuma toka liganga na pia itakuwa boost kwa mtwara development corridor kwa mizigo ya Malawi na Zambia along Lake nyasa.
Yakishaisha itabena nini? Hakuna Cha Mtwara development corridor,hapo Kuna Bandari za Mozambique eg Nakala nk ziko jirani na Malawi/Zambia kuliko Mtwara na ndio maana Malawi hatumii Bandari zetu.

Hiyo section ya Makambako -Mtwara ni Kwa Ajili ya DRC zaidi.
 
Dar port inaongezewa gati 4 refu na bagamoyo port tunaanza na gati 2 kubwa this year budget imetengwa kuanza hiyo kazi.
Kwa nini kutumia gharama kubwa za kuchimba gati na kujenga upya wakati deep sea za Mtwara na Tanga zipo? Kwani Bandari ni lazima iwe Dar au Bagamoyo?
 
Back
Top Bottom