Prove kwa flight data ndege ya raisi ikiwa Nairobi au toa proof yoyote zaid ya hearsay za mtandaoni
View: https://youtu.be/0qS_D_k4KWk?si=ijZIERmJcQ3TTXbY
In terms of what ? Tanzania economy Iko diversified, wakati Nairobi viwanda karibia vyote vimelazimishwa kujenga Nairobi, Tanzania ujenzi wa viwanda vipya vyote uko njee ya dar.
Hata hiyo Marco polo mnayoisifia wanafikiria kukimbilia dar es salaam kwa sababu Kenya imeonekana hamna uwezo wa kununua hayo magari, pamoja uwepo wa assembling yake AVA , Bado mmeshindwa kumeet Ile minimum quantity ya units zinazoweza pelekea faida.
Wakati kwa mwezi September Kuna units zaid 100 za mabus zilizonunuliwa kwa tz, Kenya bus companies hakuna hata units 30 kwa nchi nzima