President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
KMC Stadium - Mwenge Dar es salaam kipo na Taa. Watu wanaweza cheza usiku.Pole kwa hasira nyinyi bado endeleeni kukaa kwa nyasi mkitazama football matches😂😂
KMC Stadium - Mwenge Dar es salaam kipo na Taa. Watu wanaweza cheza usiku.Pole kwa hasira nyinyi bado endeleeni kukaa kwa nyasi mkitazama football matches😂😂
Ni wazungu ndio wanaunganisha hizo ndege. Watanzania hata hawana uwezo wa kutengeneza baiskeli😂😂🤣. Ndege zenyewe hata hazijanunuliwa hata moja😂😂Huko tumetoka sasa tuna manufacture aircradts 😁
Modern infrastructure kama Gani bongolala?Je, Nairobi ina modern infrastructures? Usinitajie flyover hizo zipo hata Uganda vumbi nation mwenzenu.
Hivi unajua maana ya CBD kweli wewe?Wacha nikifika kwenye laptop nitakuprove wrong. Alafu ukumbuke Dar ni coastal city. CBD ipo pembeni mwa jiji. Nairobi ni inland city, CBD ipo katikati mwa jiji. Ukipima distance from CBD Nairobi Hadi mwisho wa built up area, hiyo ni nusu ya length ya jiji. Ukipima distance ya Dar from CBD Hadi mwisho wa built up area, hiyo ni total length ya jiji. Tafakari hilo.
Sijaona tatizo la kitu unachotafuta justification.Kujielimisha kitu gani? Anayefaa kujielimisha hapa ni wewe na vilaza wenzako.
Eneo anayozungumzia ni Buuni and surrounding areas (south of Dar) na ndio hii hapa.
View attachment 3115996
Do you see any form of development in that area? It's totally deserted with no houses or road network na ipo Dar es Salaam. Kila mnapotaja ukubwa wa Dar, mkumbuke Buuni and many such places is part of that ukubwa
Nairobi Owned by ChineseModern infrastructure kama Gani bongolala?
It's called Buuni. Pure rural. Hata kwetu nyumbani ni afadhali kuliko Buuni, Chanika na MvutiBro, there is an area south of kigamboni within Dar Boundaries that is pure rural area. The area is about half the size of Dar. Hiyo 1500 sq.km mnayoshinda mlitupigia kelele humu nusu yake ni mashamba.
And Tanzanians 😂😂😂😂Nairobi Owned by Chinese
Kama kawaida yenu watu wanakalia mbao😂😂🤣.
All Buiding in Tanzania owned by Tanzanian but in Kenya Owned by Chinese and WhitesAnd Tanzanians 😂😂😂😂
Hizo taa siyo za footbal ni za sherehe za matamasha ya mziki.Kama kawaida yenu watu wanakalia mbao😂😂🤣.
Alafu mbona unatuonyesha Stadiums za 2,000 capacity? Umeniona kama nimeweka Bomu Stadium yet Bomu is bigger than that grazing field😂😂
Bomu also has seats na watu hawakali mbao😂😂🤣👇👇
View attachment 3116007
Bomu is bigger than the playing field you posted here.Hizo taa siyo za footbal ni za sherehe za matamasha ya mziki.
In Kenya there is no stadium with lights to play football
View attachment 3116010
Tuoneshe watu wakicheza kijana 🤣 🤣 🤣 🤣FKF MatchesBomu is bigger than the playing field you posted here.
Bomu on a football night.
View attachment 3116014
Unatafuta pa kutorokea sasa? Kangemi kuna unafuu kuliko uswazi zenu mnazojivuniaSijaona tatizo la kitu unachotafuta justification.
Picha hii hapa chini watu wanaishi humo 👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣
View attachment 3116005
Thika iko County gani?Yes, Thika ni Nairobi Metropolitan. Same as Kitengela, Rongai and Limuru. Those are areas that are almost 40km away from CBD.
Endeleeni kukalia mbao😂😂Tuoneshe watu wakicheza kijana 🤣 🤣 🤣 🤣FKF Matches
Metropolitan is not a county, idiot😂😂😂Thika iko County gani?
Duniani kwa sasa ogopa Technology na Mungu. 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 Unamdanganya nani?Unatafuta pa kutorokea sasa? Kangemi kuna unafuu kuliko uswazi zenu mnazojivuniaView attachment 3116011View attachment 3116012View attachment 3116013View attachment 3116016View attachment 3116017View attachment 3116018View attachment 3116019
Who is the leader of Nairobi Metropolitan? 🤣🤣🤣🤣Nairobi Metropolitan exists in your memory only but is not real.Metropolitan is not a county, idiot😂😂😂
Stadiums in Kenya with a capacity of over 10,000 spectators.
Kasarani
View attachment 3115971
Nyayo
View attachment 3115928
Masinde Muliro(under construction)
View attachment 3115926
Kisumu Stadium
View attachment 3115946
View attachment 3115963
Bukhungu Stadium
View attachment 3115964
Wang’uru Stadium
View attachment 3115921
Kirigiti Stadium
View attachment 3115918
Raila Odinga Stadium
View attachment 3115949
Ulinzi Stadium
View attachment 3115923
View attachment 3115924
Machakos Stadium
View attachment 3115951
GusII Stadium
Afraha Satdium
View attachment 3115960
Dandora Stadium
View attachment 3115925
Kinoru Stadium
View attachment 3115980