Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasema bongolala zimeanza kuamka. Karibuni mtaacha kuimba siisiiemu hoyee. Mtaamka tu.
Kumbuka tunaongelea BRT phase 5 hapa ambayo inastart anytime soon.

Nyinyi Nairobi kuna BRT phase yoyote iliyokamilika na kuimba kwenu kenya, kenya oyee.

We try to advise them to do better and many times ushauri wetu unasikilizwa. Tulitoa suggestions hapa kuwa mabus ya Golden dragon hayafai kwa jiji la Dar. Yes it has taken time lakini wamasikiliza na am sure BRT phase 2 wataleta magari mapya ya Scania marcopolo na mengine yanayotumia gas
 
Bongolala, you said I mention anywhere 42kms away from city center we cpare with Mvuti and I picked on Thika.

Mvuti ipo Dar 42kms away from city center na ni misitu na mashamba ya mihogo. Thika ipo 50 kms away from city center and is developed all the way.

Kama uwepo wa Mvuti ndani ya mipaka ya Dar ingekuwa na umuhimu wowote, Wala haingekuwa misitu.

On the other hand, Thika is slightly outside Nairobi boundaries (but almost the same distance as Mvuti from cbd) but is way better and developed than Mvuti. Sasa uwepo wa Mvuti ndani ya ukubwa wa Dar inaisaidiaje?
Kumbuka hiyo 42km yao ni total distance across the city. 50km yetu ni kutoka katikati mwa mji, unaweza ukaenda another 40+ km south na utajipata Kitengela - continuous built up area. Yani Nairobi unaweza drive 90+ km kama hujakanyaga mashambani. Built up area tupu.
 
Kumbuka tunaongelea BRT phase 5 hapa ambayo inastart anytime soon.

Nyinyi Nairobi kuna BRT phase yoyote iliyokamilika na kuimba kwenu kenya, kenya oyee.

We try to advise them to do better and many times ushauri wetu unasikilizwa. Tulitoa suggestions hapa kuwa mabus ya Golden dragon hayafai kwa jiji la Dar. Yes it has taken time lakini wamasikiliza na am sure BRT phase 2 wataleta magari mapya ya Scania marcopolo na mengine yanayotumia gas
Tulipowaambia Golden Dragon ni mabasi ya ovyo mlitupigia makelele humu, kumbe nanyi pia mnatusikiliza? Najua pia hizo Yutong na Higer kindanindani mnajua ni ovyo. Mtakuja kukiri tu ni muda tunawapea.
 
I think jielimishe kidogo Mvuti ilikatwa Pwani, na Mkoa wa Pwani una Pori Tengefu linalopakana na Dar which means halitakiwi.kuguswa na Binadamu, with Dar Expansion serikali ilifanyia exception ya Kulimega eneo la Pori la pwani kuwa Eneo la Dar kuupa Mkoa wa Dar nafasi ya kuaccomodate population.

Sasa Ikiwa eneo kwa miaka mingi hairuhusiwi kufanya shughuli za Kibinadamu unataka likimegwa ukute mansio?

Unaleta Syokmau ambayo ipo 20km from CBD serious wakati unakuta kuna Sehemu kama Mbweni, Bunju, Mbezi ya Kimara, Goba, Ziko more than 30km from CBD
Bro, there is an area south of kigamboni within Dar Boundaries that is pure rural area. The area is about half the size of Dar. Hiyo 1500 sq.km mnayoshinda mlitupigia kelele humu nusu yake ni mashamba.
 
Kumbuka hiyo 42km yao ni total distance across the city. 50km yetu ni kutoka katikati mwa mji, unaweza ukaenda another 40+ km south na utajipata Kitengela - continuous built up area. Yani Nairobi unaweza drive 90+ km kama hujakanyaga mashambani. Built up area tupu.
Prove it
 
Tulipowaambia Golden Dragon ni mabasi ya ovyo mlitupigia makelele humu, kumbe nanyi pia mnatusikiliza? Najua pia hizo Yutong na Higer kindanindani mnajua ni ovyo. Mtakuja kukiri tu ni muda tunawapea.
Yamekuwa ya ovyo kwa sababu management yao ilikuwa mbovu sio kwamba mabasi hayafai kabisa.
Wao basi likiharibika walikuwa wanayapark hawafanyi service. Ndo maana viongozi wengi wa BRT system wamefukuzwa.

But all in all yamefunction kwa muda sasa almost 9 years non stop.
BRT Dar itakuwa na magari aina yote kutegemea na investor na choice zake tho we prefer GNV buses

Tanzania is a developing country and we develop our country together (sio nyinyi ukabila umewajaa...mtu ni kiongozi lakin anachukiwa tu kwa kabila lake hata kama ana point na ana good leadership style. You can't stand as one to develop a nation ndo maana gap za watu kufanya corruption ni kubwa)

Mambo mengi ya BRT system yanasolviwa with time.
Tumelalamika BRT station za BRT 2 kujengwa vibaya yes BRT 3 hawarudii makosa,
Tumesuggest waondoe matuta kwenye BRT system. Yes BRT 2 haina bumbs hata moja ni Automatic traffic control systems zimewekwa
Tumesuggest waongeze mabasi kupunguza congestion during rush hours...yes We expect 200+ buses using gas to be in Dar this December
Another great thing tumesuggest matumizi ya card yarudishwe...yes now we scan and go

And yesterday nimeongea na mkuu mmoja wa Jiji akasema hizo Bajaji na bodaboda ni temporary kwa sababu ya mass construction ya BRT in Dar hata wenyew wanajua. Construction zikiisha Bajaji zitaondolewa kwenye main roads

That's how we develop together as the country.
 
Bro, there is an area south of kigamboni within Dar Boundaries that is pure rural area. The area is about half the size of Dar. Hiyo 1500 sq.km mnayoshinda mlitupigia kelele humu nusu yake ni mashamba.
Duh! Kweli nyie ni shida kuelewa vitu. Why usijielimishe kidogo?
 
pamoja na kuwa huo uchumi ila still yetu mna unplanned au mnaongoza kwa kuwa n slums nyingi dunia nzima. kubali the size of kenyan economy ni mdogo sana na unategemea sana udalali tu
Dar es salaam is bigger than New York city

Screenshot_20241005-100525_Chrome.jpg
Screenshot_20241005-100435_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom