Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Ebu weka hizo details za mzena tuone kama kweli Magufuli alilazwa hapo😂😂😂😂Kumbe wewe kilaza kweli ni moving hospital ndio ila unalipa. Sasa kama alilipa au alitumia bima kulipia hiyo hospitali inayotembea ili imfikishe Nairobi, lazima Kuna stakabadhi ya malipo , wekeni stakabadhi za malipo, ila ukija huku utakuta details pale mzena kuwa alilazwa na inajulikana kabisa magufuli alikuwa anatumia pace makers , details zote zipo na hata kama alisafirishwa siku husika ukitrack ndege ya raisi utakuta details zote. Sasa nyinyi leteni hapa
The day Magufuli came to Kenya. Someone traced this flight but by that time we didn’t know it was Magufuli.
February 2021, the day Magufuli came to Kenya.
View: https://x.com/jmollel/status/1362313376072949768