Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa mnatumia hilo neno kujielimisha kiholelaholela hadi limekosa maana. Kama juzi nikapiga picha ya Barabara mbovu Moshi nikapost, Mvumbistan mwengine ananiambia eti nijielimishe eti Barabara hiyo ilishaapigwa lami. Yani mimi nipo hapo naona vumbi yeye ako Manzese ananiambia nijielimishe. Kitu kinaonekana wazi nijielimishe Nini bradhee?🤣🤣

Hii hapa Google image ya hilo eneo, 100% ushagoo, yet linahesabika as part of the 1500 sq. Km mnayoshinda mkitamba nayo humu alafu unaniambia nijielimishe. Kwa lipi?🤣🤣☺️
View attachment 3116210
Ushango ndio nini?
 
By the way you've opened my eye. Dar cbd ipo pembezoni mwa ocean. Eastern side of Dar cbd ni maji. On the other hand, eastern side of Nairobi is built up area.

In short, ukipima the furthest end of Nairobi, let's say Karen, to the other furthest end let's say Githurai, utakuta it's almost 70 kilometers and this is all built up the area. There's no where in between utapata hakujakengeka.

If you do the same with Dar, utakutana na mashamba za mihogo za mvuti if you drive from cbd to Mvuti. You'll never see such in Nairobi if you drive from Karen to Githurai
Exactly, wao wakipima from CBD wanaona ndio kila kitu. 😂
 
Siungejifuza photoshop kwanza ndio ujaribu sistee? Hapa hata mtoi wa miaka sita anaona ni edited. 😂 😂
Tuanze kwanza hapa. Kwenye 600 sqr km ukizitoa hizi zinabaki ngapi? 🤣 🤣 🤣 🤣 Naipori

1728148300483.png
 
Siungejifuza photoshop kwanza ndio ujaribu sistee? Hapa hata mtoi wa miaka sita anaona ni edited. 😂 😂
Uzuri mimi huwa naongea facts. Mimi siyo mkenya wakuleta mabumunda humu
1728148385894.png

Siungejifuza photoshop kwanza ndio ujaribu sistee? Hapa hata mtoi wa miaka sita anaona ni edited. 😂 😂
Tafadhali usikimbie. Hii hapa ndio pure ushango Nimeka za kwanza zaidi ya 200 sqr km ni ushango, ongezea na zingine hizi 160 sqr km unapata almost 400 sqr km ni ushango. 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

1728148654112.png
 
Huwa mnatumia hilo neno kujielimisha kiholelaholela hadi limekosa maana. Kama juzi nikapiga picha ya Barabara mbovu Moshi nikapost, Mvumbistan mwengine ananiambia eti nijielimishe eti Barabara hiyo ilishaapigwa lami. Yani mimi nipo hapo naona vumbi yeye ako Manzese ananiambia nijielimishe. Kitu kinaonekana wazi nijielimishe Nini bradhee?🤣🤣

Hii hapa Google image ya hilo eneo, 100% ushagoo, yet linahesabika as part of the 1500 sq. Km mnayoshinda mkitamba nayo humu alafu unaniambia nijielimishe. Kwa lipi?🤣🤣☺️
View attachment 3116210
Next atakuambia eti hilo eneo ilimegwa kutoka pwani😂😂
 
Back
Top Bottom