Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu weka hizo details za mzena tuone kama kweli Magufuli alilazwa hapo😂😂😂😂

The day Magufuli came to Kenya. Someone traced this flight but by that time we didn’t know it was Magufuli.

February 2021, the day Magufuli came to Kenya.

View: https://x.com/jmollel/status/1362313376072949768

Hivi mnajifunzia wapi, rais anapotoka nje lazima ndege itambulishwe. Sasa hapo utambulisho kuwa ndege imembeba raid ni upi?
 
ukhehkhekhekehekhekhekehekehe unless hujui maana ya PPP 😂😂😂😂😂

ulitegemea adani asaini PPP alaf pesa atoe ruto au???

au ulitegemea china ajenge talanta kwa PPP alaf pesa atoe gachagwa
Ebu tuonyeshe penye Mchina amesign PPP ya Talanta😂🤣😂
 
Do you know the number of affordable housing going on Kenya currently? Do you know the number of small stadiums being built in Kenya currently? Kasarani inajengwa na pesa yako ama? Talanta ni pesa yako? Na Nyayo pia inakuwa renovated na pesa yako? Extension of commuter rail Ngong’ inafanya kwa pesa yako ama? Konza inajengwa kwa pesa yako?
How many football grounds are in Kenya kabla ya renovation?
 
Hivi mnajifunzia wapi, raise anapotoka nje lazima ndege itambulishwe. Sasa hapo utambulisho kuwa ndege imembeba raid ni upi?
Magufuli aliletwa Kenya kisiri and that’s why hata hamkujua yeye ni mgonjwa, mlisikia habari ya ugonjwa wake kutoka kwa wakenya😂😂
 

View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1842460972239237570?t=rsfnzkaEfiiGFp7lSywqqA&s=19
20240916_180632.jpg
 
Do you know the number of affordable housing going on Kenya currently? Do you know the number of small stadiums being built in Kenya currently? Kasarani inajengwa na pesa yako ama? Talanta ni pesa yako? Na Nyayo pia inakuwa renovated na pesa yako? Extension of commuter rail Ngong’ inafanya kwa pesa yako ama? Konza inajengwa kwa pesa yako?
talanta ni pesa ya mchina haihusiani na nyinyi 😂😂😂😂 ile sio loan ni PPP

affordable housing gani upuuzi mtupu wakuwadanganya wakenya

nyayo watu walishakula pesa za renovation mara mbili na hakuna standard yoyote so far 😂😂😂😂

tena nimekumbuka hebu nioneshe railway city imefkia wapi so far au watuwalikula pesa ya design 😅😅😅😅

extension gani ya commuter railway ikiwa spain used train zimekufa zote tayari alaf ilicost 10b ksh

konza inajengwa na nani??? 😂😂😂 konza ina miaka 18 so far hebu niambie mpaka leo konza mumejenga nn ???


mtu anakopa 2b usd in just 4 months na hakuna mrado wowote 😂😂😂😂😂
 
Ebu tuonyeshe penye Mchina amesign PPP ya Talanta😂🤣😂
😂😂😂😂




IMG_0482.jpeg
 
Obviously you have a low IQ.

IQ✔️
iq❌
Living in slum✔️
Living on slum❌

There should be space after a comma, and any other exclamation mark.
A sentence should be finished with a full stop.

The above corrections clearly shows that you IQ is very low.
I'm not irish or british so I dont care
 
talanta ni pesa ya mchina haihusiani na nyinyi 😂😂😂😂 ile sio loan ni PPP
Talanta sio pesa ya Mchina. Ukileta evidence Mchina akisign PPP nahama JF. Na kama ni yake mbona KDF inafanya supervision? Nani anaezakubali achungwe kama ng’ombe kwa pesa yake?😂😂🤣
 
Talanta sio pesa ya Mchina. Ukileta evidence Mchina akisign PPP nahama JF. Na kama ni yake mbona KDF inafanya supervision? Nani anaezakubali achungwe kama ng’ombe kwa pesa yake?😂😂🤣
kwani PPP ya adani nani alikua anatoa pesa ??? 😂😂😂😂😂😂

PPP ya talanta nani anatoa pesa so far hata budget ya talanta haipo kwenye serekali yenu

IMG_0482.jpeg
 
Talanta sio pesa ya Mchina. Ukileta evidence Mchina akisign PPP nahama JF. Na kama ni yake mbona KDF inafanya supervision? Nani anaezakubali achungwe kama ng’ombe kwa pesa yake?😂😂🤣
KDF ni supervisor kwa kumwakilisha serekali kwasababu ni PPP lakini mradi wote mfadhili mi mchina kama vile adani alivotaka kuwatia kidole JKiA 😂😂

kwani express way ilipokua inajengwa kwani KENHA alikua anakagua nn na anasmamia nn??😅😅
 
Mtu mwenye IQ kubwa hawezi kufikiria kwenda kuwa housemaid Bali anakuwa innovative,tuchukulie tu mfano population ya china pamoja na kuwa ni wengi sana kuliko nchi Yao ,lakini huwez kuwakuta wanakimbilia kazi za ma- housegirl uarabuni.
Una akili kubwa unashindwa kujizalishia chakula chako?
Una akili kubwa Kila inapokuja ushindani wa kibiashara unakimbilia kuweka embargo eti kulinda biashara yako huku maskini wakifa njaa.
Mkuu wameaminishwa hivyo (brainwashed) na serikali yao ili waendelee kupigwa,iq kubwa bado unaendeleza ukabila kama sio uzwazwa kitu gani,hawa ilibidi wajifunze kwanza kwenye infastructure zetu na zao,kwenye quality na gharama zilizotumika hapo tu wangejiona mazwazwa
 
Proper writing is not about origin but education 😂😂🤣.

Your education and writing skills are poor and non existence 😂😂
Who care nyang'au,kama nikiandika au kuongea lugha ambayo sio yangu ww inakusaidia nn,while pamoja na kujikakamua na kujifanya kuongea broken english still nyinyi ni maskini wa kutupwa ukanda huu
20240906_154142.jpg
 
Kenya Ina football ground 5 zenye uwezo wa kubeba watamazaji zaid ya 10,000 na Tanzania Ina 15 zenye watazamaji zaid ya 15000 hapo hatujaweka zinazojengwa
Hivo ndio umedanganywa? Kenya has over 40 stadium with a capacity of over 10,000 Spector. Hizi ni stadium where spectators don’t seat on grass na hawanyeshiwi kama hizo grazing fields za Tanzania 😂😂

Kasarani
Nyayo
Masinde Muliro
Siaya Stadium
Kisumu Stadium
Bukhungu Stadium
Wang’uru Stadium
Kirigiti Stadium
Narok Stadium
Raila Odinga Stadium
Ulinzi Stadium
Machakos Stadium
GusII Stadium
Afraha Satdium
Kipkeino Stadium
Dandora Stadium
Kericho Green Stadium
 
Back
Top Bottom