Unajiuliza mwingine imegeuka Debt burden mpaka wanaandamana kisa kodi inaongezeka kuwa kubwa kulipa hizo deni.
Ila kwa mwingine hizo hizo pesa amezitoa mfukoni kujenga Dam kubwa, huku pembeni anatoa Cash Kununua Ndege mpya mpya, upande ule watoto wanaingia Shuleni bure, upande mwingine kuna SGR inajengwa, BRT zinatandazwa, huku yupo anahamishia office Dodoma.
Kuna Donor kichaa wa kufanyia Africa hivyo imagine total ni $50bl kuna nchi ya Africa inaweza himili $50bl debt? Huku GDP yao ni $75bn na awe na Surplus ya GDP kumzidi mwenye $115bn?