Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hakuna Mtanzania with $2.9B hata huyo Azam Hana quarter of that money😂😂Mbona maneno mengi umeambiwa upeleke cheque, vipi tena?
Hakuna Mtanzania with $2.9B hata huyo Azam Hana quarter of that money😂😂Mbona maneno mengi umeambiwa upeleke cheque, vipi tena?
Nimepost hiyo habari hapa mara mingi sana, just scroll back utaiona.Ziko wapi mzee?
Kama huna cha kuongea sepa umeambia uipeleke unaleta maneno.Hakuna Mtanzania with $2.9B hata huyo Azam Hana quarter of that money😂😂
Iweke tena mzee "In Talk" na with unknown bank. source yenyewe vichekesho.Nimepost hiyo habari hapa mara mingi sana, just scroll back utaiona.
Hela za Azam hata haziezifikia za Royal Media Group ya Kenya😂😂🤣😂
Mido klas ikilioneshea Tikitimaji pachesing pawa!Malls show the middle class inhabitants purchasing power
There is no developed city without a mall come on!
mpaka hapo walipofikia hawana uwezo wa kuendelea , hela ya kufikisha malaba hawana , walienda kuomba kwa mchina kawachomolea. mchina ameona kuwa tz sgr ikifika mwanza na bandari za Tanzania zote zikaanza kufanya kazi kulingana na upanuzi unaondelea, uhakika wa kurejeshewa hela yake haupo, hivyo basi kaamua kuikumbuka TAZARA . kenyan sgr haitafika malaba afe kipa afe bekiZiko wapi mzee?
Kwamba yenu iliyoishia machakani kisa kukosa maokoto ndio muweze fund ya bongo.
Hebu rudia kuipost hiyo source tukufundishe kitu.
investment yake imetokea baada ya kuona azam kaingia, kabla ya hapo mlikaa miaka 7 bila investment yoyoteCheque gani? KBC invested more in KFK than huyo mwarabu😂😂
Labda mmarekani akiwasaidia ila Mmarekani hapatani na Uganda ngoma ngumu.mpaka hapo walipofikia hawana uwezo wa kuendelea , hela ya kufikisha malaba hawana , walienda kuomba kwa mchina kawachomolea. mchina ameona kuwa tz sgr ikifika mwanza na bandari za Tanzania zote zikaanza kufanya kazi kulingana na upanuzi unaondelea, uhakika wa kurejeshewa hela yake haupo, hivyo basi kaamua kuikumbuka TAZARA . kenyan sgr haitafika malaba afe kipa afe beki
Marekani anaangalia , atawekeza kenya ili asafirishe nini? kuna mzigo gani wa uhakika atapata kutoka kenya? ila kwa upande wa tanzania kuna cobalt na nickel kule kabanga-kigoma na burundi ambayo ndo inatafutwa kwa wingi kwa ajili ya betri za magari ya umeme.Labda mmarekani akiwasaidia ila Mmarekani hapatani na Uganda ngoma ngumu.
Non NATO Ally mzee 😅😂😂Marekani anaangalia , atawekeza kenya ili asafirishe nini? kuna mzigo gani wa uhakika atapata kutoka kenya? ila kwa upande wa tanzania kuna cobalt na nickel kule kabanga-kigoma na burundi ambayo ndo inatafutwa kwa wingi kwa ajili ya betri za magari ya umeme.
kuna chuma liganga
Dar kuna expressway?Hakuna infrastructure ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar, lkn kuna infrastructures nyingi zipo Dar na hazipo East and central Africa.
Ukichat na walimu shidaObviously you have a low IQ.
IQ✔️
iq❌
Living in slum✔️
Living on slum❌
There should be space after a comma, and any other exclamation mark.
A sentence should be finished with a full stop.
The above corrections clearly shows that you IQ is very low.
Anakaa governor wa ur dirty assA governor is anybody, I’m a governor of my house the same way you are a governor of your ass😂😂🤣😂
Failed StateStadiums under construction.
Siaya
View attachment 3115975
Kwale
View attachment 3115974
Kitale
View attachment 3115976
Kipchoge Keino
View attachment 3115979
Isiolo
View attachment 3115983
Azam deal usd 9.1m KBC deal usd 1.2m wapi na wapiCheque gani? KBC invested more in KFK than huyo mwarabu😂😂
Which expressway, the same built and financed by China?Expressway
SGR
Lamu Port
Several roads
Several hospitals
Several schools
Several manufacturing companies
Several IT companies