stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 38,349
- 38,059
problem is you will cryIko wapi?
Without a picture or a video then Hata mimi pia nimeona site visit ya Kisumu refinery.
View: https://www.instagram.com/p/Dd9Ak4NlRuz/?stkn=OGRidmd0ZHFtb2tv
problem is you will cryIko wapi?
Without a picture or a video then Hata mimi pia nimeona site visit ya Kisumu refinery.
Ruto alirukia gari,walipokosa bomba la mafuta,sasa aweke kiwanda cha kusafisha mafuta ili abalance hii ya kusema Tanga ilikuwa janja ya nyani Lililopo tutabanana hapa east Africa mpaka kieleweke.Hadi huruma 😃,ruto anajuta kumualika mu7 kwenye refinery yake ya kisiasa 😃,aisee alivyoidandia ile refinery ya tanga 😃
hawa jamaa wanapitia kipindi kigumu sana
View: https://x.com/ivymuthe/status/2105859063762563531?s=20
there is always room for tough lessons
View: https://x.com/exclusivejojo/status/2105584848517681286?s=20
Alikua anajipenyeza kama ushuzi wa ngomani 😂😂😂😂 alijifanya eti ana akili kuliko wajukuu wa nyerere. Wahuni wakamstukia wakamwambia wewe jenga tu kimpango wako. Sisi pia tutajenga yetu.Ruto alirukia gari,walipokosa bomba la mafuta,sasa aweke kiwanda cha kusafisha mafuta ili abalance hii ya kusema Tanga ilikuwa janja ya nyani Lililopo tutabanana hapa east Africa mpaka kieleweke.
So that will stop the Lamu refinery from being built?Wanuka mavi wapo humu kujifariji baada ya kutoswa na mzee wetu 😂😂😂 mzee kanyooka yule balaa
Poleni sana ndugu.Ruto alirukia gari,walipokosa bomba la mafuta,sasa aweke kiwanda cha kusafisha mafuta ili abalance hii ya kusema Tanga ilikuwa janja ya nyani Lililopo tutabanana hapa east Africa mpaka kieleweke.
Nani kakwambia hamtajenga .? 😂😂😂 nyie jengeni upuuzi wenu,So that will stop the Lamu refinery from being built?
Wewe ni kama dwarfism is affecting your brain.
Punguza bangi.Nani kakwambia hamtajenga .? 😂😂😂 nyie jengeni upuuzi wenu,
Sisi na UG tutajenga refinery yetu, kwasababu mafuta ghafi tunayo.
Wewe ruka ruka weee muda utafika wa kulia. 😂😂😂😂.Punguza bangi.
UG inajenga refinery.
Tanga tanga mnajenga storage tanks.
Kwanini unashikilia jina ya Uganda? Stand on your own. Bongolala wewe.
LAMU
View attachment 3682415
TANGA TANGA
View attachment 3682416
ofcourse kwan wamekuja kupiga tu ela na kuondoka 🤣 🤣 🤣 infact he is controlling the whole economy by tapping into the main economic machine 🤣🤣🤣 and whats worse you have to buy 30% of itI thought ulisema ni private tena unataka private company to disclose their documents?🤣🤣🤣
Fumbo mfumbie mjinga,jiongeze sio lazima atafune kila kitu hadharaniMuseveni didn't say he will invest in Tanzania, kama alisema then leta Clip😂😂🤣.
The old man only said he will focus on his Hoima refinery first.
Kumbe mpango wa Kasongo ni mafuta crude oil from Turkana. 😂😂😂.
View: https://vt.tiktok.com/ZSbPVVQwa/. Hii project ni Tembo mweupe.
ilikua ni Teargass 🤣 🤣 walikua bado hawajajiandaa na premium tearsAlikua anajipenyeza kama ushuzi wa ngomani 😂😂😂😂 alijifanya eti ana akili kuliko wajukuu wa nyerere. Wahuni wakamstukia wakamwambia wewe jenga tu kimpango wako. Sisi pia tutajenga yetu.
Kuna fala mmoja NairobiWalker alipost picha za M7 na Kasongo asubuhi na mapema huku akitucheka kwamba M7 katutosa. 😂😂😂 sahii wamebadili gia angani baada ya kusanuka kwamba mchizi hawezi tia mia mbovu kwenye kamradi kao kakufikirika. 😂😂😂.
Mnuka mavi mwingine amekuja na mada ya kwamba ati “ni nani atatoa hela awekeze Tanga.?” 😂😂😂 what a stupid question..
nenda kauze maziwa uraise ela za kumchangia dangote, shauri yakoSo that will stop the Lamu refinery from being built?
Wewe ni kama dwarfism is affecting your brain.
take time you will heal 🤣🤣Poleni sana ndugu.
Naelewa Tandale ni kumoto, lakini, know you will always have an omba omba home in Kenya. 😂