ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Leo Abdul kakamatika lamamayeeππππππMuache huyo ni zuzu huyo πππ
πππππππππππMkuu huu mjadala wenu unanichekesha sana.Unachoandika unakielewa kweli? Ww umesema ni ujenzi wa reli km 700, Sasa ujenzi wa reli km 700 inahusiana vipi na kununua treni na mabehewa? Pia hizo treni na mabehewa zimenunuliwa kwa trillion 3?
Bangladesh wameandamana Wiki moja tu wamefanikiwa kumtoa Sheikh Hasina madarakani.Walienda maandamo kumtafutia joho kazi. πππ
Bwana watchman ebu tuambie hizo facilities za kuhandle A380 zenye JKIA haina but mabati rolling ziko nazo ni kama gani?πππ€£π€£.A380 unadhani mchezo kaka, imagine Kenya hawana facility ya ku handle A380 alafu wanakuambia eti battle bado haijaisha na kwamba wataendeleza battle mpk kieleweke.
Lugha ya mwarabu ni bora kuliko yako? Mbona umekazana na Kiswahili a language of the arabs?Kwahiyo hii inamaana gn, kwamba lugha ya mtu aliyeku colonize ni bora kuliko yako?
Nani kakwambia Kiswahili ni kiarabu??Lugha ya mwarabu ni bora kuliko yako? Mbona umekazana na Kiswahili a language of the arabs?
Wewe unamiliki nini? Unalishwa na mwanamke yet you are here opening that your big mouth about umiliki.Ordinary kenyan ndio hawawezi shindana na wabongo wa kawaida kabisa. Kwasababu nyie vima mtu wa kawaida huko ni yule hamiliki chochote, hadi Nyumba ni ya kupanga. ππππ
Nimegundua huwa hajui chochoteπππππππππππMkuu huu mjadala wenu unanichekesha sana.
Ila huyo jamaa atakuchosha tu.
Na ni mbishi kinyama akishikilia kitu kashikilia.Nimegundua huwa hajui chochote
Kama sio mfatiliaji wa mambo mengi, huyu jamaa atakua anakulisha sana matango pori
Wewe ni huwa unajua nini?πππ€£π€£ππNani kakwambia Kiswahili ni kiarabu??
Embu fafanua.
Anajua anavyosema basi kila mtu anamsikilizaNa ni mbishi kinyama akishikilia kitu kashikilia.
Unaona ulivyo matako!?
Huyu jamaa amejenga nyumba katikati ya mpakaπππ ππΎ
View: https://youtu.be/bPuOKHVsc7E?si=mV10l_FYRqiVEwcZ. Watu wa mombasa nimeishi nao nawajua vizuri sana, kuanzia ushoga, venye they are lazy, maneno yao maziiiito πππ. They speaking like them singing. πππ. I know them better. By the way mdogo wangu aliolewaga huko Mombasa (dingi alilengesha connection) ππ basi bwana huyo jamaa wa mombasa aliachwa becoz of his laziness.. βwazee wa maaa chapati ngumuβ huwa tunawadharau sana wakifika Tanga. πππ