Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Kwamba hii ni slumKama huoni hiyo ni slum basi una safari ndefu ya kujitambua
Alafu hii hapa tuaambiwe si slum.
We must be living in two different worlds
Kwamba hii ni slumKama huoni hiyo ni slum basi una safari ndefu ya kujitambua
Hata hawajui medali ni nini😂😂🤣Ile footballing nation bado haijapata medali yoyote. 🤣 🤣 🤣
![]()
Unafeel freedom? Ile freedom ya eneo lote ni lako?Na ni nani alikuambia kwamba hauwezi ukamiliki nyumba kwenye apartment? Nairobi apartments nyingi zinazojengwa haswa in Kilimani, Kileleshwa, Westlands, Parklands, Hurlingham, Lavington, South C, na maneno mengi ni za kuuzwa
Unaposema nyumba za kumiliki mwenyewe sijui unamaanisha nini
Hata Hawa wanafanya watakavyo. Wanamiliki land na nyumba ndani ya Dar es SalaamUnafeel freedom? Ile freedom ya eneo lote ni lako?
Ukinunua apartment hapo alafu ulete kelele na kero kwa wenzako si unaondolewa?
Huwezi fananisha apartment ambayo mko wengi na kumiliki nyumba+land ambayo ni yako mwenyewe na unafanya utakavyo.
Do you have any proof that more than 60% ya watu wa Dar wanamiliki ardhi? Man, you'll have a hard time proving that even 20% of people in Dar own land even if I gave you the whole week to do so.Ukisema utafiti wanaomiliki ardhi Dar basi unaweza kuta more than 60% wanamiliki ardhi.
Kwasababu wengine waandishi Dar ila wanajenga Morogoro na Mkoa wa Pwani.
Huwenda labda hujui maisha ya bongo yalivyo,sio kama wakazi wote wa Dar ni wakazi wa kudumu.
Wengine wamepanga vyumba Dar kimakazi ila ana nyumba Morogoro,Kisiju au Bagamoyo.
Hizi Kima zinakula majani na Kimbo hela za investments zinatoa wapi?Alaf kumbe kampuni ya mzungu foreigner 😂😂
Ni slum hiyo mzeeKwamba Buru Buru na Westlands ni slums? 🤣🤣🤣
View attachment 3063199View attachment 3063200
Kama hizo sehemu mbili ni slums, hii hapa tutaitaje? Jehanamu?View attachment 3063202
Kunyan mzee wa fly toiletSawa bongolala. Happy now?
Halafu hawajui likina swali la mansions za kumilikiwa pia zipo nyingi ndani na nje ya Nairobi. Ndani ya Nairobi maeneo kama Karen, Runda, Muthaiga, Utawala n.k ni mansions za kumilikiwa. (Ikumbukwe eneo kama Karen pekee ni kubwa kuliko mitaa yote ya Kifahari Dar combined) Alafu Kuna maeneo nje ya Nairobi kama Kahawa Sukari, Runda ya juu, Kiambu, Syokimau, Ngong, Kiserian, Kitengela, Rongai, Athi River n.k nyumba ziko kibao mansions za kumiliki.Na ni nani alikuambia kwamba hauwezi ukamiliki nyumba kwenye apartment? Nairobi apartments nyingi zinazojengwa haswa in Kilimani, Kileleshwa, Westlands, Parklands, Hurlingham, Lavington, South C, na maneno mengi ni za kuuzwa
Unaposema nyumba za kumiliki mwenyewe sijui unamaanisha nini