Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But Kusema kweli Simba kwenye kuandaa matamasha na mpangilio wa events wako vizuri. Shida ya Yanga ni uswahili, uchawa na uchawi mwingi.

View attachment 3062103

View attachment 3062104
Bro sisi kwa sasa hatushindani na timu yoyote ile EA, tushatoka huko, nyie sio level zetu tena, kama unabisha subiri uone, kwani tarehe 8 mbali basiii, tukiwafunga chini ya goli 4 me naondoka jamiiforums for good 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wale matajiri watutu Kenya wahindi ni wakenya ??😂😂😂😂

Matajiri watutu Wana pesa sawa na wakenya million 21 😂😂😂😂😂
Kenya hakuna dollar billionaire vumbistan wako watatu. Wana hela swa na nusu ya wanabongolala. Na very soon wanachukua SGR kama ilivyo kwa vivuko 😂😂
 
Bro sisi kwa sasa hatushindani na timu yoyote ile EA, tushatoka huko, nyie sio level zetu tena, kama unabisha subiri uone, kwani tarehe 8 mbali basiii, tukiwafunga chini ya goli 4 me naondoka jamiiforums for good 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Duh!! Na wewe umeanza kuwa na mawazo ya Wakenya sasa. Tunaongelea Show ya Jumamosi na Jumapili wewe unaleta hoja tofauti.

Kinachonishangaza zaidi ni kuhusu Red Arrows mnawafunga kwenye bonanza kwa figisu

Yanga ni timu ya kawaida sana. CAF wanajua hilo. Ndio maana mnaanzia kwenye initial stage.

😀 😀 😀 😀
 
Kaka Tarehe nane itafika nayo tutaiongelea. Kwa sasa tunaongea tuliyoyaona. Wanaochenza uwanjani ni wachezaji but kwa events ilivyofanyika hakika yanga hamjawatendea haki mashabiki.

ACHA KUJIFARIJI Badilikeni acheni uchawi na uswahili
Yani unataka kulinganisha mwananchi day na simba day? Upo serious kweli bro? Mm nilikuwa uwanjani, hebu angalia, kuna timu yoyote duniani iliwahi kufanya hivii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
IMG-20240805-WA0002.jpg
IMG-20240804-WA0049.jpg
 
Duh!! Na wewe umeanza kuwa na mawazo ya Wakenya sasa. Tunaongelea Show ya Jumamosi na Jumapili wewe unaleta hoja tofauti.

Kinachonishangaza zaidi ni kuhusu Red Arrows mnawafunga kwenye bonanza kwa figisu

Yanga ni timu ya kawaida sana. CAF wanajua hilo. Ndio maana mnaanzia kwenye initial stage.

😀 😀 😀 😀
Bro mpira unachezwa uwanjani kila mtu anaona, kwa statistics tuliwazidi kila kitu, ni kama walikuja kukamia ili waifunge Yanga lkn sisi ni wakubwa kwa sasa, hatujaanzisha full mkoko na wamepata tabu kweli kweli, ilikuwa lazima tuwafunge mana tuliwazidi kotekote, ila kama huamini subiri na wewe zamu yako inakuja, mm nilikuwa uwanjani niliona jinsi Yanga inavyocheza, kwakweli inastahili kuwa gumzo barani Afrika, wanacheza kama timu ya ulaya aisee, yn shabiki huna wasiwasi kabisaa, nyinyi Simba bado mpo kizamani sn kama timu nyingine za East Africa.
 
As Kenyan police fight rebels in Haiti, Tanzanian police are rapping women in Tanzania.😂😂

1722886736082.jpeg
 
First leg Gor Mahia chased Yanga with proper beatings. Final score was 4-0.

1722887740846.jpeg
 
Una akili finyu sana wewe unaona hiyo pesa nyingi kwa project inayojengwa kwa miaka 10 na unajitapa mnakusanya trillion 2.5 kwa mwezi? Reasoning yako ni finyu sana, kila mwaka wakiweka trillion 3 tu mradi umeisha, ndio maana tunasema serikali inatakiwa iwe na wenye akili kubwa na uthubutu na wenye kujiamini caliber ya Magufuli, wenye moyo wa njiwa kama wewe mmbaki kwenye kufungua vizibo
 
Back
Top Bottom