Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maboresho ya kawaida ya njia ya reli, mifumo na equipment
Kwani ikilazimu ku upgrade kuwa Sgr ya kawaida kama ya Wakunya ita cost kipi zaidi ya kubadili hizo rails, slippers na mifumo?

Maana tuta lipo ambalo ndio gharama ni maboresho madogo madogo yatahitajika.

Nahisi Tanzania na Zambia nao watachangia Kwa sababu nilisoma somewhere kwamba wata upgrade kuwa Sgr but hicho kiasi ndio Sina hakika nacho.
 
Just a Police Station in Rural Tanzania.

View: https://twitter.com/WizaraMNN/status/1723881722285023621?t=85gOdBe05WTlDtJ6mA_9IQ&s=19
20231113_071939.jpg
20231113_071942.jpg
 
Sasa basi tatu unapiga nazo kelele? Hata Mash poa has two buses registered in Uganda. That doesn't make it Ugandan company. Unajua penye yard ya Tahmeed? It's in Mombasa.
Sio tatu ziko nyingi sana ukiachana na hayo pia ana kampuni ya malori tanzania 😅😅
 
Back
Top Bottom