Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😁😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌
20231112_203714.jpg
20231112_203625.jpg
20231112_203727.jpg
 
Usinichoshe,Hakuna Tajiri wa Bongo atanunua mitungi ya Mama Ngina wa Nairobi.

Tunanunua Mabasi maana sisi ni VIp

View: https://www.instagram.com/p/CzgM_EhqH_x/?igshid=MWoweHhvNHdvOXkyYw==View attachment 2811794View attachment 2811795

Bongolala, ulileta picha humu ukadai ni kampuni ya Scania hapo Dar wakati ukweli ni kwamba ile picha ilikuwa ni ya Nairobi. Sasa hizi mipicha za mabasi zitaondoa ukweli kwamba hujui lolote kuhusu unachosema? Na kwamba Nairobi ndio baba lao ndio maana ukakosa picha hapo Dar ikabidi uibe ya Nairobi ujifariji nayo?
 
Bongolala, ulileta picha humu ukadai ni kampuni ya Scania hapo Dar wakati ukweli ni kwamba ile picha ilikuwa ni ya Nairobi. Sasa hizi mipicha za mabasi zitaondoa ukweli kwamba hujui lolote kuhusu unachosema? Na kwamba Nairobi ndio baba lao ndio maana ukakosa picha hapo Dar ikabidi uibe ya Nairobi ujifariji nayo?
Kwahiyo unamaanisha Scania haina branch Dar?


View: https://twitter.com/scania_Tanzania/status/1409803385587503104

 
Kwani nikisema Chinese boxes are cheap ni uongo? The cost of one Isuzu bus can buy two new Chinese buses that are in Tz.
ISUZU FOR REAL, unajua why hatuna ISUZU ni kwa sababu huwezi pata Abiria kabisa. Kitu gani hakina hata sehemu ya kuweka Maji, Body ya miaka ya 2000s, sasa hapa ni Mfanyabishara gani atalibeba, that factor ndio inafanya Tuchukue Scania, Marcopolo na Benzi, they need to look good. Na huyo Sauli wa Scania basi zake zikianza kuchakaa hatupandi.


Sikia Kwa sababu umezoea fuso kama bus, kwenda ISUZU unaona Anasa. Sisi huku tunaangalia huduma. Ndio maana hakuna mataka taka yenu huku, Even basi za ruti za Nje, anatakiwa kujipanga kweli.

Ndio maana kila mkoa standard za bus ni zile zile. Kingine mchina yupo na business nzuri ukiweka oda kuna zingine unaongezwa kama mkopo kuweza kujihimili vizuri, good for business.

Sasa tubebe ISUZU? spea wapi? Basi bayaa, tumezoea ISUZU yashapitwa na fashion yalikua zamani ndio utuletee leo, Nadhani ISUZU BUSES pekee tunazoweza kuvutiwa ni zile zilizo official website ya ISUZU sio hayo makarai yenu.


Alafu kuna kitu sielewi kila Marcopolo mnaropoka ni yenu. Alafu cha ajabu huko kwenu za kuhesabu, mostly ni makarai.
 
Mosi, Tahmeed is a Tanzanian Company ,
Secondly, the Entire Kunya got one Marcopolo ile huitwa ena sijui ana. Lie ?
In Tz even Schools got many of such .
Si mnahangaika sana😂😂😅 Again Tahmeed ni buses za Kenya that's why they are registered in Kenya and doing Kenyan routes.

1699820659502.jpg
 
Back
Top Bottom