Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The bus imekuwa registered on his name to avoid to auctioning. Last Gor Mahia bus was auctioned and that's what they are trying to avoid this time round.
Sasa mbona Unakua mkali ukiambiwa timu masikini. Hapo unaona timu ni tajiri imeshindwa hata lipa Madeni, mbona huku bongo Timu zinapelekwa Fifa 200m to 300m zinawatoka na assets bado zinakuwepo.
 
Duh! Naona ushakariri Daladala, Ruti za mikoani hakuna kusimama, mwendo wa kukaa na hawaruhusu kusimama kuna mizani, kuna traffic na sheria ni kali ukisimamisha unaondolewa sifa za kusafirisha masafa.

Sikia Usikalili Daladala. Daladala Ruti zao kubwa ni 30km
Huyo nyang'au Teargas bado anaishi enzi za Jomo Kenyatta, usimlaumu😁😁😁
 
Tanzanians don't understand the change in Nairobi. They keep posting outdated pic. Even that very same Kibera has changed. Look at this place à few years ago.
View attachment 2811433
And now, it is Garden City

View: https://youtu.be/OR_SYoLwdjg?si=NWEUZgAc0QW8H26a

Kibera has changed? Hebu angalia video ya huyu YouTuber katembelea kibera week hii na Bado Kuna nyumba za udongo...Mimi sijawahi ona nyumba ya udongo Dar nzima...

View: https://youtu.be/Xd1N8lQmj8E?si=BbFuZVnHIfxRbBN0
 
Kwahyo mwenyewe umeenda ku google magomeni akapata vipicha hivyo .? 🤣🤣🤣 Magomeni ni kubwa mno. 👇View attachment 2810604ambayo ndio hii 👇 nakusaidia ku zoom View attachment 2810606View attachment 2810608View attachment 2810609View attachment 2810611View attachment 2810612hapa nimekatiza Jana nikaona gorofa nyingi mpya zinakuja. Ukiachana na hizi popular iconic buildings of magomeni 👇View attachment 2810613View attachment 2810614View attachment 2810615View attachment 2810616magomeni isn't for ugly and cheap buildings like this 👇 of umojaView attachment 2810619View attachment 2810620View attachment 2810621
Magomeni iwe ndogo iwe kubwa the fact remains it's an ugly uswazi hovel
images - 2023-11-12T152057.500.jpeg
images - 2023-11-12T152032.071.jpeg
 
Tanzanians don't understand the change in Nairobi. They keep posting outdated pic. Even that very same Kibera has changed. Look at this place à few years ago.
View attachment 2811433
And now, it is Garden City

View: https://youtu.be/OR_SYoLwdjg?si=NWEUZgAc0QW8H26a

Nyinyi ni waongo sana... Tazama hii video vzr ya Chris alietembelea Nairobi week hii...tena wakati wa mvua
Nairobi CBD ina potholes kibao tena karibu na Kenya archives kabisa, mjini Kuna matope pavements ni za kizamani sana hadi zimekatika katika...Kuna mto hapo mjini maji ni meusi...
Msikilize vzr yaan Nairobi ukitembea na viatu vyeupe unarudi hutamaniki...
it is very sad kuwa ndo the only capital and commercial city in kenya lakin Bado City center yake ni ya ovyo...sipati picha harufu

View: https://youtu.be/jSxPJMvpNfQ?si=Bo_cxzlgm-hRJ-Gu
 
Hivi nyie watu akili huwa mnakalia matakoni ? What’s so special about assembling ? Hata mimi I can do assembling in my house ? Everyone can do it ,? Yaani kuunganisha parts ndio useme ni issue ? Karibu kila machine huja kwenye box then inaunganishiwa na mafundi wa kitaa tu, but anyway , Ukunya ni Laana.
😅😅😅😅 zwazwa anasema wao hawafanyi assemble ila wana fabricate bodies

Eti Teargas je ni kweli hamufanyi assembling??😅😅😅😅😅😅
 
Kwa hiyo umeungana na Wakunya kuichafua Nchi kisa chuki Kwa Samia au? 🤣🤣🤣🤣

Ila we Jamaa unatia huruma sana saizi
Nilitaka nikupotezee sababu hunaga akili.

Kila post inahusu mama?? kbla ya mama mafuriko hayakuwepo?
Mama kuwa Rais na mafuriko jangwan au msimbazi kuna uhusiano gan?
 
Nilitaka nikupotezee sababu hunaga akili.
Kila post inahusu mama?? kbla ya mama mafuriko hayakuwepo?
Umeweka hiyo picha ya Mafuriko Ili iwaje? Kwamba unawafurahisha Wakunya au unataka kusemaje?

Hapo awali kabla ya mama wakati Mafuriko yakitokea uliwahi weka picha humu?

Nimekuwa nakufuatilia posts zako nyingi zile Zenye unahisi zinaweza ku undermine reputation ya Serikali ndio unaziweka.

Umekuwa punguani wahi Mirembe kabla Hali haijawa uncontrollable.
 
Umeweka hiyo picha ya Mafuriko Ili iwaje? Kwamba unawafurahisha Wakunya au unataka kusemaje?

Hapo awali kabla ya mama wakati Mafuriko yakitokea uliwahi weka picha humu?

Nimekuwa nakufuatilia posts zako nyingi zile Zenye unahisi zinaweza ku undermine credibility ya Serikali ndio unaziweka.

Umekuwa punguani wahi Mirembe kabla Hali haijawa uncontrollable.
Nyingine hizi hapa

Ngoja nitoe comment 'sawasawa' na akili yako ilivyo.
Mama hafai kuwa Rais sababu anasababisha mafuriko jangwan na msimbazi. Tukutane 2025 😄

View: https://twitter.com/millardayo/status/1723660419288465511?t=S9g9afQTRiIGi6Jpl1_klA&s=19

View: https://twitter.com/millardayo/status/1723618836115509515?t=FnOL9lTWAH6fofAKV3GsTQ&s=19
 
Back
Top Bottom