Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe umeshafika South Africa? Je unajua Marcopolo South Africa is one of the largest in Africa? Unajua almost all of South Africa brt wanatumia marcopolo? Kama brand.
Naona aurguments zako 0 kusema marcopolo tunazotumia fake unaonekana hauna exposure kabisa!

Sijasema South Africa hakuna Marcopolo assembly plant. What I'm saying is that whatever you are calling Marcopolo buses in Tanzania are just cheap and fake Marcopolo bodies from China.
 
Kama wewe umekuwa Nairobi utakubali kwamba, hata kama kuna mapungufu, Nairobi ni zaidi ya Dar kwa mengi.

Watanzania mbona unafiki na kujifariji!?

Nicxie umepost hiyo video na inaumbua Dar kuumbua.

Mfano, jamaa hapa kila saa Kenya kuna njaa ila ona vile wanavamia mzungu kumuuliza pesa na chakula 😳 na hapo ni Dar
View attachment 2812268

View attachment 2812270
View attachment 2812274

Eti vumbi Nairobi, ila CBD Dar sasa
View attachment 2812271View attachment 2812272View attachment 2812273
View attachment 2812275
Sasa hii ni nini!? 😳😳😳😳😳😳😳
Huyu mzungu naye!!!!
Aisee ni muda nyie mkubali Nairobi ilikua zamani njoo Tanzania sio Dar mpaka mikoani tuko vizuri!
 
Walitumia kina nani ?? Hzi bus zinatoka south africa direct hakuna mchina anaetengeza marcopolo sema ww roho inakuuma sana 😅😅😅😅😅😅

Eti fake marcopolo alaf sub scania waziuze 😅
Hapa ni South Africa?😂😂😂 Marcopolo za Tanzania zinatoka China. That's why I'm calling them fake.

1699856129120.jpg
 
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Tahmeed ana kampuni ya malori tanzania inaitwa hvohvo tahmeed na kampuni base yake iko tanga
Tumetoka kwa basi tumeingia kwa Lori? Nimekuambia Tahmeed buses are Kenyan. 99.9% of their buses are registered in Kenya and doing Kenyan routes.
 
Ati Marcopolo zenu zinatoka South Africa? Hapa ni South Africa ama China? No wonder they are fake😂😂😅
View attachment 2812281
Hebu subiri unataka kutuambia china hakuna sub scania?? Hvi ww unafkiri dunia ya sasa kuna kitu gani hakitoki china ??

Ikiwa mpaka mitungi yenu ya gongo inatoka china tena ni ya miaka 100 iliopita 😅😅

Ww hujui hata iphone zote zinatoka china ??au na hzo ni fake ??😅😅😅😅😅😅

Bus zote Ilizotumika world cup qatar, south africa na russia zilitoka china je ni fake au??

Leo ndio nimeamini akili inakaa kichwani 😅

Hvi wewe kwa akili yako unaona unaeza shindana na china kwenye kutengeza body za bus kweli?? Are u realy serious??

Body ikitengezwa kenya original ila ikitengezwa china fake 😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌
 
Sijasema South Africa hakuna Marcopolo assembly plant. What I'm saying is that whatever you are calling Marcopolo buses in Tanzania are just cheap and fake Marcopolo bodies from China.
Mbona unageuza geuza statement jirani? China/south Africa? Tupe japo hata city moja duniani inayotoa marcopolo fake? China is the largest producer of buses in the world wana brand nyingi za buses zinazouzwa all over the world including hiyo byd iliofungua branch Kenya.
Yaani nimekuelewa kitu kama hakipo kwenu ni fake au sio?
 
Sasa umekubali mabasi zenu mnaita Marcopolo ni fake na zinatoka China?😅😅😂😅 Again Scania and Marcopolo are two different things, Scania is not Marcopolo and Marcopolo is not Scania. Scania is just an engine and Chassis manufacturer, Marcopolo is bus body. Kuna Marcopolo za MAN, Isuzu, Mercedes, Volvo, Hyundai etc.
 
Ww ni fala wa aina yake iphone zote zinatengezwa china hebu nitaftie iphone fake na cheap inauzwa wapi??😅😅😅😅😅
 
Are these original Marcopolo? Let's start from there. We have Marcopolo, and ours are not fake.

1699822401381.jpg
 
Ww ni fala wa aina yake iphone zote zinatengezwa china hebu nitaftie iphone fake na cheap inauzwa wapi??😅😅😅😅😅
Bado tuko kwa mabasi, ama unataka kutoroka?😂😂😂. Nimekuambia Marcopolo za Tanzania ni fake.
 
Sasa umekubali mabasi zenu mnaita Marcopolo ni fake na zinatoka China?😅😅😂😅 Again Scania and Marcopolo are two different things, Scania is not Marcopolo and Marcopolo is not Scania. Scania is just an engine and Chassis manufacturer, Marcopolo is bus body. Kuna Marcopolo za MAN, Isuzu, Mercedes, Volvo, Hyundai etc.
Narudia kukwambia hvi ww hata ugaregare huwez mfikia china kwenye kutengeza bus au kutengeza body za bus mark my words

Dunia nzima sasa hvi inatumia kila kitu kinachotoka china iwe gari iwe spare parts iwe simu iwe technology iwe kitu chochote ndio maaba hata train zenu zinatoka china na ukiangalia manufacturing date utaambia ni 100yrs ago lakini kwasabbau akili zenu zimejaa upepo mukanunua hvo hvo 😁😁😁
 
Back
Top Bottom