Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kweli ichoboy01 naamini maneno yako kunyaland project nyingi white elephant hii hapa modern green bus park eco friendly terminus ukiingia unakutana na hiyo presentation View attachment 2812248View attachment 2812249πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Kama wewe umekuwa Nairobi utakubali kwamba, hata kama kuna mapungufu, Nairobi ni zaidi ya Dar kwa mengi.

Watanzania mbona unafiki na kujifariji!?

Nicxie umepost hiyo video na inaumbua Dar kuumbua.

Mfano, jamaa hapa kila saa Kenya kuna njaa ila ona vile wanavamia mzungu kumuuliza pesa na chakula 😳 na hapo ni Dar
Screenshot_2023-11-13-08-42-44-69_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg


Screenshot_2023-11-13-08-38-16-41_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg

Screenshot_2023-11-13-08-42-57-88_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg


Eti vumbi Nairobi, ila CBD Dar sasa
Screenshot_2023-11-13-08-33-48-65_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-11-13-08-33-57-94_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg
Screenshot_2023-11-13-08-36-31-22_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg

Screenshot_2023-11-13-08-39-43-15_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329~2.jpg

Sasa hii ni nini!? 😳😳😳😳😳😳😳
Huyu mzungu naye!!!!
 
Leo nimejua watanzania hawajui anything concerning buses. They are all clueless idiots.
 
Kwa Mabasi Tanzania bado mko nyuma. Ama kama mlikuwa mbele basi mshaachwa. Leo tu Mombasa Road jam ikashika. Ona Mabasi
Screenshot_2023-11-13-07-58-45-50_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb~2.jpg
Screenshot_2023-11-13-07-58-50-73_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb~2.jpg
Screenshot_2023-11-13-07-58-51-94_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb~2.jpg
 
Kasarani. Nitawaletea video baadaye jinsi seasons Kasarani imebadilika na Barabara zote kuwekwa lami.
IMG20231111121534.jpg
 
Ati Marcopolo zenu zinatoka South Africa? Hapa ni South Africa ama China? No wonder they are fakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…
View attachment 2812281
wewe umeshafika South Africa? Je unajua Marcopolo South Africa is one of the largest in Africa? Unajua almost all of South Africa brt wanatumia marcopolo? Kama brand.
Naona aurguments zako 0 kusema marcopolo tunazotumia fake unaonekana hauna exposure kabisa!

 
Kwa kweli ichoboy01 naamini maneno yako kunyaland project nyingi white elephant hii hapa modern green bus park eco friendly terminus ukiingia unakutana na hiyo presentation View attachment 2812248View attachment 2812249πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
Na nimemsikia ruto anataka kuivunja inamaana over 250m ksh imekwenda na maji watu wamepiga pesa πŸ˜…πŸ˜…

Mm nakupa 6 months kama utayaona yale ma bus 20 ya umeme barabaraniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Wao wanafkiri sisi hatuijui kenya nilishawaambia mm najua mpaka alama kwenye chupi zao
 
Scania presented the buses juu walitumia engine plus chassis za Scania. But that Marcopolo body is fake, hata Scania wenyewe wanaogopa kuita Marcopolo. Ama umeona wakitaja Marcopolo hapo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walitumia kina nani ?? Hzi bus zinatoka south africa direct hakuna mchina anaetengeza marcopolo sema ww roho inakuuma sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Eti fake marcopolo alaf sub scania waziuze πŸ˜…
 
Na nimemsikia ruto anataka kuivunja inamaana over 250m ksh imekwenda na maji watu wamepiga pesa πŸ˜…πŸ˜…

Mm nakupa 6 months kama utayaona yale ma bus 20 ya umeme barabaraniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Wao wanafkiri sisi hatuijui kenya nilishawaambia mm najua mpaka alama kwenye chupi zao
🀣🀣🀣🀣🀣aisee namahukuru mungu nimetembea nchi nyingi lakini shikamoo kunyaland kwa kweli🀣🀣🀣
 
Ni tatu pekee. Tahmeed will forever be a Kenyan company upende usipende.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Tahmeed ana kampuni ya malori tanzania inaitwa hvohvo tahmeed na kampuni base yake iko tanga
Tofautisha chassis na body. Scania is the chassis and what I'm saying is fake is the body which is a fake Marcopolo bodyπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom