Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Sasa kampuni zenu na mabasi za kichina pia unapiga nayo kelele? And most Marcopolo buses in Tz are fake cause they are China made😂😂😂Sasa haka ka Kampuni kamoja katawaongezea nini kwenye battle ya 100+ Tz bus companies.? 🤣🤣🤣