Kenya Wana landmass ndogo na sio sehemu zote zina mvua na rutuba lakini utakuta kuna baadhi ya mazao wanaongoza ku export nje Kama avocado ,tea ,coffie etc sisi wenye ardhi kubwa yenye rutuba tungetakiwa tuwe na high productions output na tuuze kuliko nchi nyingi hapa central na east Afrika kwa almost madhao yote hadi ndizi ambazo Uganda anaongoza unajua ni kwa nini ?
Sababu hatuna skilled people na watu committed ambao wangeweza ku commercialize kilimo wenzetu wana eneo dogo kame ila wanatumia ipasavyo
Huo ni mfano wa kilimo
Tuje kwenye bandari mombasa kipindi kile isingetakiwa kutuongoza sisi tuna large coastline kubwa tupo startegically located tumezungukwa na majirani 8 ingetakiwa mizigo mingi iwe kwetu lakini ufanisi mbovu na rushwa bandarini imetuangusha huo ni uongozi mbovu bado hatuna wataalamu
Pamoja na madini tuliyokuwa nayo bado tungetakiwa tuwe mbali ila mikataba mibovu pamoja na kuibiwa hapa ni uongozi na elimu ..inshort tuna kila kitu cha kutufanya tuwe bora ila uongozi na elimu watanzania tunapelekwa tu pamoja na uoga ndio maana nyerere aliambiwa anaongoza wafu
Hapa juzi umeona ripoti ya cag ule wizi na ubadhirifu uongozi mbovu kabisa
Wako sahihi tukiweza kuwa na human capital nzuri na uongozi bora ni game over kwao
Tuanze na kilimo, kati ya Kenya na Tanzania. Ni nchi gani inayofanya vizuri katika kilimo "in general?", nani aliyekuambia kwamba kuwa na Ardhi kubwa yenye rutuba ndio kigezo Cha kuongoza katika kilimo?
1)Uholanzi ni nchi yenye Ardhi ndogo kuzidi France, mbona ndiyo inaongoza Ulaya ktk kilimo?
2)Israel haina hata 20% ya Ardhi ya Kenya yenye rutuba, lakini imeendelea katika kilimo kuzidi Afrika nzima
3)Egypt, nchi nzima ni Jangwa lakini kilimo kipo juu kuzidi hata sisi Tanzania
Conclusion: Humani capital ni muhimu zaidi katika kilimo kuzidi Ardhi, vipi hao wakenya wanaojipiga kifua kwamba Wana" human capital" kutuzidi lakini sisi ndio tunaongoza katika kilimo?.
Kuhusu Kenya kutuzidi katika baadhi ya mazao, mkuu Kila nchi Iko na vipaumbele vyake, nchi haiwezi kuongoza katika uzalishaji wa mazao yote, taja Kama Kuna nchi ya aina hiyo duniani. Ukiacha Chai, maua na parachichi, mazao mengine yote yaliyobaki, tena mazao mama kwa uchumi wa nchi, tumewazidi tena kwa mbali Sana.
Huwajui wakenya vizuri, ukiwazidi lazima watafute sababu ya kuhalalisha kushindwa kwao.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app