Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

joto la jiwe lakini husikii nchi za asia zikiwekea vikwazo vya aina yoyote ila ni africa tu
Huko ndiko wanakosea lakini sio huku Africa, Kama ni kelele zipigwe kwa USA kushindwa kuingilia nchi za Asia kwa kuwa na sheria kandamizi, lakini sio kwa kuziadhibu nchi za Africa na Carrebian.

Yaani USA ipo sahihi kwa kuziadhibu nchi zenye sheria kandamizi, na inafanya makosa kwa kushindwa kuziadhibu nchi zenye sheria kandamizi.

Tunapaswa kuipigia kelele na kuwashinikiza USA waende kuwaadhibu hao waarabu, lakini hatupaswi kuwalalamikia Marekani wasituadhibu kwasababu tu waarabu bado hawajahadhibiwa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, hii ndio maana halisi ya kuwa "brainwashed". Mkuu hakuna kitu Kama hicho, hata wanaamini Sayansi pia wanaamini kwamba 'Nature ndio Alfa na Omega.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa uelewa wako mkuu unaona kabisa Nature ikachagua mwanadamu awe na akili atawale viumbe vyote sio , aka evolve , nini tungeweza ku control Death basi au tuchague kuzaliwa
 
Huko ndiko wanakosea lakini sio huku Africa, Kama ni kelele zipigwe kwa USA kushindwa kuingilia nchi za Asia kwa kuwa na sheria kandamizi, lakini sio kwa kuziadhibu nchi za Africa na Carrebian.

Yaani USA ipo sahihi kwa kuziadhibu nchi zenye sheria kandamizi, na inafanya makosa kwa kushindwa kuziadhibu nchi zenye sheria kandamizi.

Tunapaswa kuipigia kelele na kuwashinikiza USA waende kuwaadhibu hao waarabu, lakini hatupaswi kuwalalamikia Marekani wasituadhibu kwasababu tu waarabu bado hawajahadhibiwa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mmarekani ana bias ndo ujue kwmaba hata yeye ni mpuuzi
 
Kwenye Imani ndio kabisaa, huko hakuna maelezo kabisa zaidi ya nadharia tupu, japo kwenye sayansi tunaweza kuonyesha vitu vilivyofanywa kwa ushahidi, na Kila siku vitu vipya vinaumbwa. Huko kwenye dini na imani, Kuna lipi linalofanyika zaidi ya maneno maneno na kupigana kwa tofauti za Imani, kutapeliana pesa katika Nyumba za dini na kudanganyana?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Let me ask you , ushawai kushuhudia any un natural event ? Ukishuhudia ndo utajua , niambie kwanini watu wanakuta wachawi wameanguka kwenye mapaa asubuhi , anapata na majanga ambayo yako so un natural una explain hiyo ni forces zipi ?
 
Jana sikuamini baada ya kuona imefika Ksh 16.82 ilibidi nikaangalie vizuri mtandaoni maana zimepita kama siku 5 Tu tangu nifanye exchange kwa Ksh 18

Waache malumbano, akya Mungu hiyo vita ya siasa inakwenda kumpandisha mtu (TZ) kwa nguvu.... Na kuja kumshusha itawahitaji 25years

Ila hata Dollar naona inaporomoka kwa cents
Hawa wajinga wacha wadondoke ili wajue baba ni nani hapa EA.
 
Let me ask you , ushawai kushuhudia any un natural event ? Ukishuhudia ndo utajua , niambie kwanini watu wanakuta wachawi wameanguka kwenye mapaa asubuhi , anapata na majanga ambayo yako so un natural una explain hiyo ni forces zipi ?
Uchawi tena?..... Mkuu uchawi ni nini?... tunaomba ushahidi kuthibitisha kuwepo kwa uchawi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Embu rudini Kwenye lengo la uzi maana sijawahi ona ubishani kuhusu dini na hizo pigo za elejibitikiu zikiisha.
 
Back
Top Bottom