Hahaha, wamehamishia kwenye Elimu, hawa watu ni wajinga Sana, wanakubali kwamba Kila kitu Tanzania inafanya vizuri kuliko wao, lakini bado hawakubali kwamba Tanzania itawapita na kuwa Superpower.A dream of Another tembo mweupe loading
![]()
President Ruto reveals plan to extend SGR to Uganda and Congo
Kenya has opened talks with Uganda, DR Congo and the Republic of the Congo to build a modern railway connecting the Indian Ocean to the Atlantic.www.businessdailyafrica.com
Sijakurupuka na hilo jibu, huwa nasoma kila bandiko hapa, naelewa fika mwenendo wa mjadala. Ila naona umekwazika, basi yaishe.Soma posts zangu vizuri uelewe nilichozungumza, Wacha kudandia train kwa mbele, pia ninasisitiza ujadili mada kwa nidhamu na kuheshimiana, huu mjadala ulianzia Jana, hakuna mtu aliyeanza kufanya "personal attacks", tafadhali jiheshimu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



Sasa wanaishi Kwa msaada 😁😁Wakuu, embu niambieni kinachoendelea kuhusu uchumi wa Kenya hasa shilling ya Kenya mbona inaporomoka namna hiyo....
Niliona hili kama miezi 4 iliyopita ilipoanza kushuka kutoka Ksh 20.1 dhidi ya ile ya TSH.... Mpaka Jana navyoongea imefika Ksh 16.82![]()
Au ndio Tz tunaibuka sasa?
For realA dream of Another tembo mweupe loading
![]()
President Ruto reveals plan to extend SGR to Uganda and Congo
Kenya has opened talks with Uganda, DR Congo and the Republic of the Congo to build a modern railway connecting the Indian Ocean to the Atlantic.www.businessdailyafrica.com
. Tumedumaa sana Kwa habari za ukombozi na tuliowakomboa wametupita na Wala hawajatusaidia chochote 🤣🤣For real.
But nafurahi kuona sasa hivi Serikali yetu ilivyo amka kibiashara na kuachana na mambo ya Ukombozi maana yametuzorotesha kwa muda mrefu sana
Hili ni pigo kubwa sana.... Kama Ksh inaweza kuporomoka haraka namna hiyo means baada ya miezi 4 ijayo au 8 ijayo itakwenda kufika Ksh 14.78Sasa wanaishi Kwa msaada
![]()
World Bank okays Sh138bn for Kenya budget support
The World Bank has approved a Sh138 billion ($1.0 billion) budget support loan for Kenya.www.businessdailyafrica.com
Saizi Ruto anaomba msosi Kwa Putin 😁😁😁Hili ni pigo kubwa sana.... Kama Ksh inaweza kuporomoka haraka namna hiyo means baada ya miezi 4 ijayo au 8 ijayo itakwenda kufika Ksh 14.78![]()
Means uchumi wao unakwenda jehanam waache malumbano.....
Being best of all times and ending being loser and crowds
Kabisa kaka hasa ile habari ya kusajili makampuni nayayonunua mahindi Tanzania ni nzuri sana unajua wakenya wakula sana vitu vya bure kwa kwa kupitia mgongo wa residential status. Watu wa Kodi wananielewaTumedumaa sana Kwa habari za ukombozi na tuliowakomboa wametupita na Wala hawajatusaidia chochote
Tumecheleweshqa sana ndugu zangu in Mwendazake's Voice

.Jana sikuamini baada ya kuona imefika Ksh 16.82 ilibidi nikaangalie vizuri mtandaoni maana zimepita kama siku 5 Tu tangu nifanye exchange kwa Ksh 18Saizi Ruto anaomba msosi Kwa Putin![]()
Kuna wakati ya kununua Huwa inafika 15Jana sikuamini baada ya kuona imefika Ksh 16.82 ilibidi nikaangalie vizuri mtandaoni maana zimepita kama siku 5 Tu tangu nifanye exchange kwa Ksh 18
Waache malumbano, akya Mungu hiyo vita ya siasa inakwenda kumpandisha mtu (TZ) kwa nguvu.... Na kuja kumshusha itawahitaji 25years
Ila hata Dollar naona inaporomoka kwa cents