Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nabii kashasema ww mama mboga nani ubishe sasa 😁😁😁😁
20230530_205630.jpg
20230530_205632.jpg
20230530_205634.jpg
20230530_205636.jpg
 
Nilisema mwanzo sijui mnajadili nn.. lakn kwenye suala la upepo kusema ni kiumbe hai au sayansi haiwez kuelezea hapo ndo nilipoanzia
Kuhusu suala la upepo kuwa kiumbe hai hayo ni mawazo yangu, iko hivyo kila kitu kilianza kama wazo tu na wapo waliopinga na waliokubali lkn baadaye ufumbuzi unapatikana. Miaka mingi sn nyuma ilikuwa inafahamika kwamba dunia ipo pembe nne kama meza, kuna mnajimu alikuja akasema dunia ni duara watu walicheka sana ila baadae ikaja kugundulika dunia duara. Sasa mm sijifananishi na hao bali ni msimamo wangu kwamba sayansi haiwezi kitu mbele ya Mungu na ndiyo haijajua mambo mengi tu mpaka sasa japo imetusaidia lkn haikidhi haja bado.
 
Kwa wew, dunia imegundulika ni duara kwa sababu gan? Ya Biblia au Quran au sayansi au nn?
 
We jamaa usome Bro, otherwise usituletee story yoyote hapa whether umetuelezea vizur or not, kama utakataa kuhusiana na holy books, kwasababu hizo history books zote zimeandikwa na watu weupe..

By the way Qur'an imeeleza hadi ni nani alikua wa kwanza kuingiliwa kinyume na maumbile na ikapinga vikali matukio hayo.. unajua kwanini hizo story zilisimuliwa kwenye holy books.?

Je, hizo story zitatusaidia nini sisi kizazi cha wakati huu.? Kwa mwenye akili za kawaida kama zako anaweza kujiuliza swali hili..

Mungu anasema "Inna fii'dhalika li'ibratan liman'yaghshaa" hizo story zote zilisimuliwa Ili iwe ni mazingatio kwa wenye kumcha Mwenyezi Mungu..
Nani aliyeandika Qurani na anasifa zipi Ili tuweze kuamini kwamba alichosema ni kweli?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wanataka kupinga tu lkn vitabu vya dini vina ukweli kabisa ni sisi binadamu tu tunapindisha kwa kusema ni vya wazungu, kama vingekuwa vya wazungu si vingetaja miji yao tu, Paris, London n.k huyo Yesu kafika mpaka Africa lkn hakwenda ulaya, basi si wangejipendelea waseme alizaliwa na kuishi ulaya?
Mkuu, huko Nazareth alikuzaliwa YESU wanakataa kwamba story ya YESU imepindishwa hakuwa hivyo inavyosimuliwa katika biblia, na wao wenyewe hawamkubali.

Mkuu, dini na Imani zingine za kishirikina ni sehemu ya kukua kwa akili ya binadamu, akili changa na zinazokua huwa zinatawaliwa na Imani zaidi, wakati akili zilizoendelea zinatawaliwa na "Facts" zaidi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mungu fundi sana wallahi yani kuna vitu kavifumba hatuwezi na hatutokuja kupata majibu hata tufanyaje, mfano riziki, kifo yani hapo kamaliza kabisa.
Mkuu, Mungu yupi?, huyu aliyewatuma YESU na Mohammad, au hawa miungu wetu wa kiafrika tunaowaabudu kwa kufanya mazindiko kwa kuchinja wanyama chini ya miti na mapango?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, huko Nazareth alikuzaliwa YESU wanakataa kwamba story ya YESU imepindishwa hakuwa hivyo inavyosimuliwa katika biblia, na wao wenyewe hawamkubali.

Mkuu, dini na Imani zingine za kishirikina ni sehemu ya kukua kwa akili ya binadamu, akili changa na zinazokua huwa zinatawaliwa na Imani zaidi, wakati akili zilizoendelea zinatawaliwa na "Facts" zaidi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Walikataa sababu waliamini dini yao na si Mungu (Yesu)..
dini ni ujinga aliouleta mwanadamu ili kuwapumbaza wajinga wengine kwamba ukifanya hiv utaenda mbinguni kama huko kenya.. nashangaa kuona kuna dini nyingi na zote zinasema zao ndo sahihi, na kuwa wanayoiamini hio dini ndo wataenda mbinguni.. sasa huu kama sio ujinga wa binadam ni nn? Afu wengine wanasema Mungu ndo kaleta dini. How??? How Mungu mmoja alete dini tofauti tofauti na kila moja kivyake iseme yao ndo sahihi kuliko nyingine?
Kila dini kuna matendo ukifanya yanasema utaenda mbinguni.. ila kiuhalisia dini haikupeleki mbinguni.. ni matendo yako mema mbele za watu na kwa Mungu .. wew kwa akili yako ya kawaida (ambayo inakuja kwa njia mbalimbali either kuona, kusikia etc) kama unajua jambo flan ni hasi na nafsi inaridhia ni hasi na ukafanya hilo jambo, kwako ni dhambi na kama hautubu, mbinguni huendi 😎
 
Back
Top Bottom