Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo ni mfano halisia kabisa, lengo la kukataa uteja ni kutokana na athari zinazopatikana kwenye tabia hiyo, vivyo hivyo ushoga una athari kubwa kwa afya ya mwanadamu na ndiyo maana tunapinga ushoga, pia hata kimaadili sio sawa mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile sio tu mwanaume bali hata mwanamke sio vizuri kiafya.

Mkuu ngoja nikuulize swali la kizushi, hivi wewe uko ladhi mwanao aingiliwe kinyume na maumbile? Unajua tusiweke mijadala kwa minajili ya kuonekana tunashinda au kuonekana wazuri kwenye kujenga na kutetea hoja, je wewe ungefurahi mwanao kufanyiwa hivyo? Na kama hutofurahi kwnn usikemee japo kupunguza tabia hiyo?

Hatuwezi kumaliza tatizo lkn pia hatuwezi kukaa kimya tatizo linapotokea, ni lazima kupambana kulipunguza, Tanzania hairuhusu ushoga na ndiyo maana yule askari alipogundulika ni shoga alifukuzwa.
Mkuu, kuhusu mateja kukatazwa inatokana na kwamba biashara ya madawa ya Kulevya imepigwa marufuku duniani. Kabla ya hapo ilikua inafanyika Kama kawaida na watu walitumia, lakini baadae Dunia ilikubaliana kwamba kuuza na matumizi ya madawa ya Kulevya Kuna athari mbaya duniani(Usiniuliza ubaya gani kwasababu sikuwepo enzi hizo).

Kuhusu ushoga, ukiachana na maneno ya mitaani na Imani za kidini, hakuna ushahidi wowote wa kisayansi(Medical), unaotaja athari za ushoga ulkiacha athari za kawaida zitokanazo na tendo la "sex" ambazo pia hutokea kwa njia zingine(Vaginal).

Kwamba Mimi ninakubali au sikubali kuwa na mtoto au ndugu wa aina hiyo?. Sijui Kama jibu langu litakua na maana yoyote, kwasababu ninaweza Mimi nikawa sikubali, lakini kunao wale ambao wanakubali. Tunapaswa kuweka mazingira ambayo ni rafiki kwa Kila mtu, mwenye kukubali na asiyekubali ushoga

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
ichoboy01
Tunaelekea kutamu 😄😄😄
Mlizoea kupiga kiev Sasa mtafuatwa huko huko tuone Yale matakata mnaitaga s400 kama yatazuia mabomu.
Zele Kamatia hapo hapo 😁😁
 
Ok tumalize kwa kukubali kutokukubaliana, mm nafuata nchi yangu inapinga ushoga na nitabaki hivyo sitasikia la mtu katika hili iwe hadharani au kwa kificho.
 
Kwani mkuu, imeweka ushahidi wowote wenye kuonyesha kwamba ushoga ni laana?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ushahidi uko wapi?? Mm naona porojo
Kwani lengo la kuumbwa mwanamke na mwanaume lilikua nn ?? Au MUNGU sio mjuzi kuliko beberu?? Kwan shetani duniani yuko kwa kazi gani ?? Wapi uliona mbuzi dume akampanda dume wakapata watoto??😆😆

Kwann tunapindisha mstari wakat kila jambo liko wazi kabisa kwani lengo la ushoga hulijui au nikwambie?? Lengo la ushoga sio starehe kama ulivosema ww na kama ulidangangwa hvo pole sana

Lengo la ushoga ni kupunguza idadi ya binaadamu kwa kuwafanya wanaume waache majukumu yao na wanawake wasahau majukumu yao kwa kusagana ili kizazi kitoweke kibaki kizazi ambacho hata kuvunja biskuti kiwe hakiwezi 😆😆😆
 
Ww umejuaje kama ameikacha je akitoka burundi akaenda uganda alaf tanzania utasemaje?? Punguza ushakunaku mtoto wakiume jikaze kidogo
Kwani ratiba ni Siri yake Iko kwenye kimemo? 😁😁😁😁
Moto umeanza kuwaka Moscow ngoja tuone mwisho wake
 
ichoboy01
Tunaelekea kutamu 😄😄😄
Mlizoea kupiga kiev Sasa mtafuatwa huko huko tuone Yale matakata mnaitaga s400 kama yatazuia mabomu.
Zele Kamatia hapo hapo 😁😁

Waache wachochee moto wenyewe bakhmut ishachukuliwa sasa ni kiev unafkiri russia inapupa ndio maana ikatanfaza special operation kwao sio vita ila wanajua kabisa kua wanapigana na nato sio ukraine ndio maana unaona germany ishaingia kwenye mdororo wa uchumi taratibu kitaeleweka tu 😆😆😆😆😆😆

Ok tumalize kwa kukubali kutokukubaliana, mm nafuata nchi yangu inapinga ushoga na nitabaki hivyo sitasikia la mtu katika hili iwe hadharani au kwa kificho.
Hivyo ndivyo inavyotakikana, kwamba Kila mtu afuate kile anachokiamini. Uganda wanaamini katika kuwaadhibu wote wenye kujihusisha na ushoga, tuwaache waganda wafuate na watekeleze wanachokiamini.

USA inaamini kuziadhibu nchi zote zenye sheria kandamizi kuhusu mashoga, tuwaache watekeleze kile wanachokiamini bila lawama.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ratiba ni Siri yake Iko kwenye kimemo? 😁😁😁😁
Moto umeanza kuwaka Moscow ngoja tuone mwisho wake
Ratiba ni siri ndio ww ulijua anakwenda burundi?? Jikaze ww na tiba ndio ile niliokwambia asikudanganye mtu yoyote
 
Ushahidi uko wapi?? Mm naona porojo
Kwani lengo la kuumbwa mwanamke na mwanaume lilikua nn ?? Au MUNGU sio mjuzi kuliko beberu?? Kwan shetani duniani yuko kwa kazi gani ?? Wapi uliona mbuzi dume akampanda dume wakapata watoto??

Kwann tunapindisha mstari wakat kila jambo liko wazi kabisa kwani lengo la ushoga hulijui au nikwambie?? Lengo la ushoga sio starehe kama ulivosema ww na kama ulidangangwa hvo pole sana

Lengo la ushoga ni kupunguza idadi ya binaadamu kwa kuwafanya wanaume waache majukumu yao na wanawake wasahau majukumu yao kwa kusagana ili kizazi kitoweke kibaki kizazi ambacho hata kuvunja biskuti kiwe hakiwezi

Mkuu, ikikupendeza tuwekee ushahidi wa uwepo wa Mungu na Shetani, ukishapata ushahidi wao, tafadhali tunaomba ushahidi kwamba lengo la binadamu duniani ni kuzaa, nani aliyeweka hilo lengo na aliliweka lini?,,,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ratiba ni Siri yake Iko kwenye kimemo? 😁😁😁😁
Moto umeanza kuwaka Moscow ngoja tuone mwisho wake
Na nimeskia juzi saud arabia ananunua diesel russia alaf anawauzia tena europe 😆

Kama europe mwanzo walikua wananua diesel kutoka russia 60$ per barrel sasa hvi wananunua 120$ per barrel

Hii vita ya one world order walishajua ni ngumu sana wao kushindwa ila sasa wanakamilisha ratiba na usifkiri russia anapigana na ukraine no way anapigana na nato yote 😆😆😆😆
 
Ushahidi uko wapi?? Mm naona porojo
Kwani lengo la kuumbwa mwanamke na mwanaume lilikua nn ?? Au MUNGU sio mjuzi kuliko beberu?? Kwan shetani duniani yuko kwa kazi gani ?? Wapi uliona mbuzi dume akampanda dume wakapata watoto??

Kwann tunapindisha mstari wakat kila jambo liko wazi kabisa kwani lengo la ushoga hulijui au nikwambie?? Lengo la ushoga sio starehe kama ulivosema ww na kama ulidangangwa hvo pole sana

Lengo la ushoga ni kupunguza idadi ya binaadamu kwa kuwafanya wanaume waache majukumu yao na wanawake wasahau majukumu yao kwa kusagana ili kizazi kitoweke kibaki kizazi ambacho hata kuvunja biskuti kiwe hakiwezi
Mm sijaingizia suala la Mungu mana kwa mantiki ya waleta hoja hawaamini uwepo wa Mungu, na jambo hili linazidi kuota mizizi humu JF na ndiyo chanzo kikubwa cha ushetani siku hizi.
 
MEN OF STEEL -KDF
 
Attachments

  • kdf 7.jpg
    kdf 7.jpg
    93.1 KB · Views: 7
  • kdf-6.jpeg
    kdf-6.jpeg
    52.3 KB · Views: 10
  • kdf 4.png
    kdf 4.png
    191.9 KB · Views: 8
  • kdf 3.jpg
    kdf 3.jpg
    184.6 KB · Views: 6
  • kdf 1.jpg
    kdf 1.jpg
    180.3 KB · Views: 7
Ratiba ni siri ndio ww ulijua anakwenda burundi?? Jikaze ww na tiba ndio ile niliokwambia asikudanganye mtu yoyote
Hawajiamini Wanaogopa kulambishwa Ardhi 😁😁
Mwezi February walitangaza kwenda Mali,Mauritania,Senegal nk this time around Wanaogopa 🔥🔥🔥🔥 kutoka Kwa beberu Marekani
 
Back
Top Bottom