Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuanze na kilimo, kati ya Kenya na Tanzania. Ni nchi gani inayofanya vizuri katika kilimo "in general?", nani aliyekuambia kwamba kuwa na Ardhi kubwa yenye rutuba ndio kigezo Cha kuongoza katika kilimo?
1)Uholanzi ni nchi yenye Ardhi ndogo kuzidi France, mbona ndiyo inaongoza Ulaya ktk kilimo?
2)Israel haina hata 20% ya Ardhi ya Kenya yenye rutuba, lakini imeendelea katika kilimo kuzidi Afrika nzima
3)Egypt, nchi nzima ni Jangwa lakini kilimo kipo juu kuzidi hata sisi Tanzania

Conclusion: Humani capital ni muhimu zaidi katika kilimo kuzidi Ardhi, vipi hao wakenya wanaojipiga kifua kwamba Wana" human capital" kutuzidi lakini sisi ndio tunaongoza katika kilimo?.

Kuhusu Kenya kutuzidi katika baadhi ya mazao, mkuu Kila nchi Iko na vipaumbele vyake, nchi haiwezi kuongoza katika uzalishaji wa mazao yote, taja Kama Kuna nchi ya aina hiyo duniani. Ukiacha Chai, maua na parachichi, mazao mengine yote yaliyobaki, Tena mazao mama kwa uchumi wa nchi, tumewazidi Tena kwa mbali Sana.

Huwajui wakenya vizuri, ukiwazidi lazima watafute sababu ya kuhalalisha kushindwa kwao.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Vipi hapo kwenye bandari ?
 
Vipi hapo kwenye bandari ?
Swali zuri Sana; Bandari, viwanda na miundombinu mingine, Kenya ilikua inafanya vizuri kutuzidi kutokana na historia za hizi nchi.

Hata kabla ya Uhuru, wakoloni waliichagua Kenya Kama makao makuu Yao, Tanzania na Uganda zilikua ni Kama mashamba Yao, hivyo walijenga viwanda vingi Kenya, barabara na bandari Ili kuweza kuisafirisha bidhaa zao.

Hata baada ya Uhuru, bado Kenya ndiyo ilikua ni chaguo la nchi za Magharibi kwasababu wazungu hawakufukuzwa Wala kunyang'anywa viwanda, Nyumba au Ardhi yao Kama tulivyofanya huku Tanzani. Nchi za Ulaya ziliendelea kutumia bandari ya Mombasa na uwanja wa ndege wa Nairobi Kama milango Yao mikuu katika Kanda hii.

Vuguvugu la ukombozi wa kusini mwa Afrika nalo likawafanya wazungu kuzidi kuichukia Tanzania, kwahiyo bandari ya Dar ilikua inatumiwa na Zambia pekee kabla ya nchi za kusini mwa Afrika hazijawa huru, Mabutu na Kenyatta walikua ni vibaraka wa wazungu, Tanzania tulitengwa.

Baada ya hivyo vita kukamilika, Sasa taratibu tunaanza kuinyang'anya Kenya masoko yake. Rwanda, DRC, Uganda, na South Sudan, haya ni masoko ya Kenya ambayo tunayanyakua kwa Kasi kubwa Sana.

Hapo katikati tulizembea kidogo, ila Sasa tumeamka Sana, Kumbuka kuishawishi nchi kubadilisha njia waliyokwisha wekeza na kuingia mikataba kwa muda mrefu inahitaji muda, ila hivi Sasa Kila kitu kinakwenda vizuri.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Swali zuri Sana; Bandari, viwanda na miundombinu mingine, Kenya ilikua inafanya vizuri kutuzidi kutokana na historia za hizi nchi.

Hata kabla ya Uhuru, wakoloni waliichagua Kenya Kama makao makuu Yao, Tanzania na Uganda zilikua ni Kama mashamba Yao, hivyo walijenga viwanda vingi Kenya, barabara na bandari Ili kuweza kuisafirisha bidhaa zao.

Hata baada ya Uhuru, bado Kenya ndiyo ilikua ni chaguo la nchi za Magharibi kwasababu wazungu hawakufukuzwa Wala kunyang'anywa viwanda, Nyumba au Ardhi yao Kama tulivyofanya huku Tanzani. Nchi za Ulaya ziliendelea kutumia bandari ya Mombasa na uwanja wa ndege wa Nairobi Kama milango Yao mikuu katika Kanda hii.

Vuguvugu la ukombozi wa kusini mwa Afrika nalo likawafanya wazungu kuzidi kuichukia Tanzania, kwahiyo bandari ya Dar ilikua inatumiwa na Zambia pekee kabla ya nchi za kusini mwa Afrika hazijawa huru, Mabutu na Kenyatta walikua ni vibaraka wa wazungu, Tanzania tulitengwa.

Baada ya hivyo vita kukamilika, Sasa taratibu tunaanza kuwanyang'anya Kenya masoko yake, Rwanda, DRC, Uganda, na South Sudan, haya ni masoko ya Kenya ambayo tunayanyakua kwa Kasi kubwa Sana.

Hapo katikati tulizembea kidogo, ila Sasa tumeamka Sana, Kumbuka kumshawishi nchi kubadilisha njia walitokwisha wekeza na kuingia mikataba kwa muda mrefu inahitaji muda, ila hivi Sasa Kila kitu kinakwenda vizuri.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapo nimepata somo .

Kwa nini na sisi tusijiboreshe kwenye hivyo vipengele ? nakumbuka Magufuli alizungumzia Tanzania ya viwanda amekufa mpka leo kimya
 
Hapa ndio zipo zile modern stadiums na arenas
Screenshot_20230531-155946.jpg
 
Hapo nimepata somo .

Kwa nini na sisi tusijiboreshe kwenye hivyo vipengele ? nakumbuka Magufuli alizungumzia Tanzania ya viwanda amekufa mpka leo kimya
Mkuu, Tanzania hivi Sasa ni moto Kama pasi, japo bado tunayomapungufu, lakini hivi Sasa kwa huu ukanda wa kusini mwa Sahara, sidhani Kama Kuna nchi yoyote inayoendelea kwa Kasi Kama Tanzania, Magufuli alitubadilisha Sana watanzania, japo Kasi imepungua kidogo, lakini bado tunafanya vizuri Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom