joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu, kwani Mungu alianzilishwa na nani, au alijitokeza mwenyewe tu?. Sasa Kama kujitokeza kwenyewe kunawezekana kwa Mungu, vipi kwa wengine kusiwezekane?Hizo nguvu za kimazingira zimetokea wapi na nani muanzilishi wa hizo nguvu au zimejitokea zenyewe tu bila muanzilishi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app