babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Kinachotufelisha sisi ni human capital na uongozi mbovu inabidi tuboreshe elimu yetu na uongoziHahaha, wamehamishia kwenye Elimu, hawa watu ni wajinga Sana, wanakubali kwamba Kila kitu Tanzania inafanya vizuri kuliko wao, lakini bado hawakubali kwamba Tanzania itawapita na kuwa Superpower.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tunawabana kila sehemu . tatizo lao wanapenda shortcut na wizi wapo greedy sana walitufanyia upumbavu mwingi kwenye utalii na tanzaniteKabisa kaka hasa ile habari ya kusajili makampuni nayayonunua mahindi Tanzania ni nzuri sana unajua wakenya wakula sana vitu vya bure kwa kwa kupitia mgongo wa residential status. Watu wa Kodi wananielewa.

Mkuu, usikubali kunasa katika mtego wa wakenya, Kama wanakiri kwamba Kila kitu tunawapita kwa Kasi, ni kigezo gani kinawafanya waseme hatuna "human capital?", au kwamba Education system yetu ni mbaya wakati vigezo vyote vinaonyesha kwamba Tanzania tupo vizuri kuwazidi?Kinachotufelisha sisi ni human capital na uongozi mbovu inabidi tuboreshe elimu yetu na uongozi
Lakini tuna kila kitu cha kutufanya tuwe bora maradufu rasilimali kama zote
Yaani congo azunguke kote huko Kenya Uganda ndio afikiwe ...Congo Aingie loss kutengeneza train nyingine wakati kuna sgr link DRC -Brd na Tz aliopakana nao
Kama ni antilantic ocean wanaunga mpka port matadi au Angola ndio plan yao


Angalieni hii.
Kenua meno tu 😁😁😁👇👇👇
Ww ongea hvo hvo hata kwa iran walisema haiwezekani 😁😁😁 sasa nchi zote zimeshtuka misri na turkey wanajengewa na russiaBurundi na Nishati ya Nyuklia wapi na wapi 😁😁😁😁
GDP ya Burundi hata Kigoma imeizidi
Unaweza kuzitaja hizo bidhaa tunazoagiza toka Kenya zinazotokana na exports zetu?Tunawabana kila sehemu . tatizo lao wanapenda shortcut na wizi wapo greedy sana walitufanyia upumbavu mwingi kwenye utalii na tanzanite
Lakini Magufuli alianza nao mama anaendelea tu kwahyo siku zote ukitumia short cut na tamaa inaangukia pua pale utapodhibitiwa .
Naomba serikali yetu iwekeze kwenye viwanda tuanze kupunguza ku import products za wiwanda vyao ambazo zinatokana na exports zetu
Hapo tutakuwa tumemuweka mtu kati
"A pawn "