ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,516
Nimesahau link but nilisoma somewhere kwamba pesa za csr zitaenda kutumika Morogoro na ni mabilioni ya Shilingi..CSR ya mradi wa dollars zaidi ya billion 3 (trillion 6)haiwezi kuwa Tsh billion 4
Hii ni ya Tanesco wao wenyewe