Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You think this is a coincidence, we are world stake holders. Our calibre is beyond nigerian politics View attachment 2640035
Hata Burundi ni World stakeholder so it is nothing new.

Screenshot_20230531-063031_Opera.jpg
 
Huyo anayeweza kujitokeza mwenyewe ndiyo Mungu huyo, kama hizo nguvu za kimazingira zilijitokeza zenyewe bila muanzilishi basi ndiyo Mungu huyo ninayemuamini mm.
Sawasawa kabisa mkuu, kwa wale wenye Imani huyo ndiye Mungu, kwa wale wa upande wa pili huyo sio Mungu ni "Nature", Kila mtu awe huru kuamini kile anachoamini, tusilazimishane hizi Imani na kuona kwamba wengine wanapotoka.

Asili ya mjadala huu ni ushoga, ambapo wale wanaokataa ushoga hutumia kigezo Cha dini na Mungu kukataza hata wasiokua na Imani ya Mungu wasifanye ushoga, hili sio sawa mkuu.



Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Organized religion inaleta manufaa mengi lakini pia hasara kibao. Ukienda kanisani unaenda kusikiliza na kuondoka. Lolote atakalosema priest na Wewe unapokea bila ku-QUESTION. Religion imeondoa ability ya watu kuwa na critical thinking maana ni RADICALIZATION of the masses. Tofauti na shule, huwezi kuuliza maswali kanisani na Ndio Maana faith-based beliefs ni STRONG kwenye jamii ya evangelical Christians.

Kitu ambacho hawafahamu ni historia ya ukristo kwenye nchi zao na IMPLICATIONS Za dini. Wakoloni waliamini kuwa jamii zote duniani ambazo haziufahamu ukristo ni savages/uncivilized peoples. Lakini Afrika ilikuwa na civilizations zake kabla hata ya wazungu kuja na meli zao. Walikuwa na tamaduni zao na dini zao. Kuna jamii Afrika ushoga ilikuwa ni kitu cha kawaida. Na hii ni trend kwenye jamii nyingi zilizopitia ukoloni.

Lakini wakoloni wakaleta dini ya Ukristo na Sheria zao za serikali KUTENGUA tamaduni za watu wengine ili kuwatawala. Ndio Maana sehemu nyingi Afrika history was ERASED. Na sehemu ambayo ninakubaliana na Wewe zaidi ni kwenye BRAINWASHING kwasababu wakoloni waliitumia hii njia kwa juhudi sana Maana kuteka mtu kiakili ni more effective kuliko namna nyingine zote. Kwamba ukiwa Mkristo wakati huo ulikuwa unapata favors kama elimu, nguo, chakula kizuri, n.k. Kwa hiyo ilikuwa rahisi sana Kwa watu kukimbilia upande wao. Wao walichotaka ni kuondoa tamaduni walizozikuta na walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana Afrika.

Lakini mpaka leo brainwashing inaendelea japokuwa si wazungu wanahusika bali waafrika. Na dini ina nguvu sana kwenye jamii Za kiafrika kwasababu ya umasikini. Watu wasio na ajira Au pesa wanapenda kutafuta tumaini. Wakisikia mtu anawaambia Mungu atakupa kazi ingalau mioyo yao inapata faraja. Ndio maana hata religious cults kama ile ya Kenya ilikuwa ni rahisi sana kuwaambia watu wakatae chakula ili wafe waende “mbinguni” kwasababu ni brainwashing ya kuwapa tumaini kuwa japokuwa wanapitia shida wakifa kuna sehemu Nzuri inawasubiri.
Mkuu, umesema vizuri Sana, Africa na hizi nchi zinazoendelea bado tupo na shida Sana, na tatizo letu kubwa sio umasikini wa kipato tu, lakini zaidi ni umasikini wa akili(elimu). Yaani bado kabisa hatujaelimika, yaani mtu anajiita msomi lakini bado anaendelea kuendeshwa na Imani badala ya facts, hii ni hatari Sana.


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Haha wamezoea kutembelewa na kina Ndayisime sijui chakwera sijui mnagangwa maupuzi za SADC
Sadc huwezi fananisha na EAC .EAC ndio ya wapuuzi na sadc Ina faida kwetu kwenye biashara . raisi wa Zambia , malawi au Mozambique kututembelea ni kawaida hawapo sadc tu pia ni majirani tumepakana nao

Usijichekeshe bwana nyie hamna rafiki Uganda yenyewe Museveni anataka muondoke turkana bado mna trade war nae ..Rwanda hamjapakana akajitoa northern corridor DRC raisi wenu aliwadhiaki akasema hawana ng'ombe wanajua kuimba tu mpka ubalozi wenu uliomba msamaha... Somalia wanawachukia alshaab wamewasumbua sana. Mkienda south Sudan mnafanyiwa manyanyaso . Hamna jirani nyinyi labda wazungu maana nyinyi ni wazungu "wannabe "

Ila sisi huku southern ndio baba nchi za sadc tumesaidia kupata uhuru ,achana na hilo tu . Tukija eac watu wa Drc hasa eastern congo wengi tuko related nao na tuna share na mpka makabila .na utajiri na fursa alizonazo Drc licha ya changamoto ya vita baadhi ya maeneo bado urafiki ni faida kwetu kwenye biashara . Mmelazimisha urafiki kwa kutuma majeshi na sisi hatukutuma bado na kdf wametimuliwa . Huyo rwanda nishamzungumzia , Burundi Ni watoto kwetu wengi mnoo wapo Tz wengine wamezaa na kuoa hasa mkoa wa kigoma ukienda Burundi ni kama Tz ndogo tumeimeza kama tulivyoimeza malawi ila Burundi tumezidisha Ni soko letu kubwa na bado kuna Nickel kule na pia tuna target biashara na bandari that why tuna link nao na congo sgr. Endeleeni kutembelewa na wazungu muombe mikopo na hao wazungu wanatembelea kila mtu
 
Siyo kweli, mambo mengi sana bado hayana maelezo ya Kisayansi. Mfano bado watu hawajaweza kuelezea Mpemba effect .
Kwenye Imani ndio kabisaa, huko hakuna maelezo kabisa zaidi ya nadharia tupu, japo kwenye sayansi tunaweza kuonyesha vitu vilivyofanywa kwa ushahidi, na Kila siku vitu vipya vinaumbwa. Huko kwenye dini na imani, Kuna lipi linalofanyika zaidi ya maneno maneno na kupigana kwa tofauti za Imani, kutapeliana pesa katika Nyumba za dini na kudanganyana?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye Imani ndio kabisaa, huko hakuna maelezo kabisa zaidi ya nadharia tupu, japo kwenye sayansi tunaweza kuonyesha vitu vilivyofanywa kwa ushahidi, na Kila siku vitu vipya vinaumbwa. Huko kwenye dini na imani, Kuna lipi linalofanyika zaidi ya maneno maneno na kupigana kwa tofauti za Imani, kutapeliana pesa katika Nyumba za dini na kudanganyana?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ulisema kila kitu kinaweza kuelezwa kisayansi, nami nimekuonesha kuwa siyo kweli unless huijui sayansi vizuri, una donyoa donyoa tuu.
 
These nyanga'auz are really miserable!! Dah!!View attachment 2640726
Halafu kama umechunguza hawa jamaa wakileta data zao lazima watafute nafasi ya kutuchomeka au kututaja na sisi kwenye list

Ili mradi Kujua na sisi tukoje huwezi kuta page za Millard yao ,kitenge nk waki compare kila project tunayofanya na wao .

Ila sasa wao hizo media zao mfano juzi ile ikulu kwenye pages zao wali compare na yao nilishangaa sana .

Tunawanyima usingizi
 
Wewe ulisema kila kitu kinaweza kuelezwa kisayansi, nami nimekuonesha kuwa siyo kweli unless huijui sayansi vizuri, una donyoa donyoa tuu.
Soma posts zangu vizuri uelewe nilichozungumza, Wacha kudandia train kwa mbele, pia ninasisitiza ujadili mada kwa nidhamu na kuheshimiana, huu mjadala ulianzia Jana, hakuna mtu aliyeanza kufanya "personal attacks", tafadhali jiheshimu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nairobi expressway yenye 27 km imecost Tsh trillion 1.5

Dar - Moro expressway yenye 215 km itacost Tsh trillion 1.9

Surely $68B debt halijaja kwa bahati mbaya

View attachment 2640942View attachment 2640943
Wakenya ni washenzi sn, wana tamaa mno pia sio wazalendo, yn kila wakifanya vimiradi vyao tunawaumbua pakubwa mno. Sasa ka expressway way chao kame cost pesa nyingi hivyo wakati yetu ni ndefu na bila shaka itakuwa ya mfano hapa EA na Afrika kwa ujumla lkn cost yake ni almost less than 10 times ya shakahola.
 
Back
Top Bottom