Mkuu, wakati vitabu vya dini vilikua vikisisitiza kwamba mtoto anatokana na kuchanganya damu kati ya baba na mama, sayansi ilikua kuwaonyesha kwamba mtoto hatokani na machanganyiko wa damu ya wazazi, dini zikabaki kuduwaa.
Wakati vitabu vya dini vinasisitiza binadamu kuzidisha ibada pale wanapokumbwa na matatizo makubwa ya Dunia Kama magonjwa Ili Mungu aweze kuwatatulia matatizo Yao, tumeshuhudia Vatican ikisimamisha ibada zote, na Saudia Arabia kufuta ibada muhimu kabisa ya Hijjah kwa kufuata maagiza ya wanasayansi na kuachana na maagizo ya Mungu ya kuzidisha ibada kwa kuogopa COVID-19.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app