Unajua kwamba Kenya ndo wanaongoza kwa remittances na Business ya Nala Money ni remittance based , sasa kama kenya wanapata Remittance kubwa kuliko tourism at 4Bn usd last year while tourism kwao ni 2.1bn usd (2022)hauoni kama Nala money wana take adavantage of that ?
Sisi Tz Remittance last year ni 500mil usd
Sababu za Remittance kuwa ndogo ni Tz
1. Kenya wanaruhusu Dual Citizenship Tz hairuhusu
2.Wakenya wako nje wengi kuliko wa Tz
Issue sio hio kwamba angeweka HQ Tz cause hamna Tech, ki Techonoligia aseme Tech gani kaikosa Tz na ameifwata Kenya , its is purely business reason , kama Business Ya remittances ingekuwa kubwa Tz na anaona tuna lack Tech angeiweka Tz na Ku employ Kenyans if he thinks that way.
But i think Nala is in Kenya cause Kenya gets 8x remittances Than Tanzania
NairobiWalker