Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania shilling will remain steady
I see it getting stronger! Mpaka mwisho wa mwaka tutaona imefika wapi.bila sioni dollars ikishuka vs TZS maana demand ya dollar hapa Tanzania ni kubwa sana. Ila hizi hela zingine tutaziburuza sana!
 
Utaratibu wa matusi na lugha chafu ni wewe ndio unaupenda,
Napokua natoa hoja zangu mnanijibu kwa matusi kwahyo unategemea ntanyamaza kwakua nakuogopa wewe ?
Na ndio maana nilikuambia kama wewe Mama Huna endelea kutukana wala hayo matusi hayanisumbui.

Leta hoja zako achana kuketa mambo binafsi hapa,hili sio jukwaa la kutafuta marafiki

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sijawahi kujibu post yako hata Moja ndani ya miezi 7 iliyopita, unaonekana umechanganyikiwa kwasababu unagombana na watu wengi hapa JF, kwahiyo unahisi Kila mtu ni adui wako.

Weka ushahidi Kama ndani ya miezi 7 iliyopita wewe na Mimi tulishawahi kujibishana. Nilisha acha kujibishana na wewe baada ya kugundua kwamba tabia zako hatuendani, ila ninafuatilia jinsi unavyokwaruzana na watu hapa JF.

Kwahiyo Kama sijawahi kukujibu, vipi unasema nilishatumia lugha za matusi kwako?, Hiyo ni dalili kwamba umeanza kujichanganya. Kama unataka tujibishane, lazima utumie maneno ya kiungwana, Kama huwezi ni vizuri usijibu posts zangu Kama mwanzo. Jiheshimu utaheshimiwa.
 
Oneni taifa gas anavyo kimbizwa huku
IMG_20230226_123852.jpg
 
Sijawahi kujibu post yako hata Moja ndani ya miezi 7 iliyopita, unaonekana umechanganyikiwa kwasababu unagombana na watu wengi hapa JF, kwahiyo unahisi Kila mtu ni adui wako.

Weka ushahidi Kama ndani ya miezi 7 iliyopita wewe na Mimi tulishawahi kujibishana. Nilisha acha kujibishana na wewe baada ya kugundua kwamba tabia zako hatuendani, ila ninafuatilia jinsi unavyokwaruzana na watu hapa JF.

Kwahiyo Kama sijawahi kukujibu, vipi unasema nolishatumia lugha za matusi kwako?, Hiyo ni dalili kwamba umeanza kujichanganya. Kama unataka tujibishane, lazima itumie maneno ya kiungwana, Kama huwezi ni vizuri usijibu posts zangu Kama mwanzo. Jiheshimu utaheshimiwa.
Turudi kwenye mada ya msingi
Iliotuweka hapa Dar Vs NBO
Good day

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Sidhani Kama wewe ni mtu sahihi kujibishana na Mimi, kwa heshima kubwa ninakuomba tuachane kwa amani, ninakuomba uachane na posts zangu, na Mimi kamwe sitogusa posts zako. All the best my dear brother.
Man up and mind your business, no body cares about what you think or who your

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kuna Watz wachache wasiojitambua humu ndio wanawapa nguvu hawa kima, yn kiwango cha kutojiamini kwa hawa Watz kimevuka mipaka, just imagine shit hole country tumeipelekea LPG kwamba wana hali mbaya lkn kuna Watz hawajiamini kabisa, wallahi ujamaa umetuharibu kabisa. Mtu anaongea kabisa "Kenya kuna middle class kubwa kuliko Tz" alafu mtu huyo huyo baadaye anapost slums za Kenya aki claim kwamba Tz iko vzr, hivi mtu kama huyu anajielewa kweli? Wote humu tunajua kwamba Wakenya wana maisha magumu evidence zote zimeonesha hivyo lkn kuna Watz wachache wanatuangusha sn yn hawajiamini kabisa.

Hili suala la Rostam kama ingekuwa ni kampuni ya shit hole country imekuja kuwekeza Bongo wallahi tungekoma humu, lkn cc Watz kwasabu ujamaa umetuharibu tunaona kawaida tu wkt hili sio jambo la kawaida, hii ni zaidi ya kuuteka uchumi wa nchi jirani.
Kitu ambacho wewe na wenzako hamuelewi ni Rostam ametafutia Tz soko ya natural gas. You know very well ur country is blessed with natural minerals compared to Kenia. Lakini kwa sababu ya inferiority complex inakusumbua unaona ni mwisho wa dunia
 
Wakenya mko na matatizo Sana, Kenya na Tanzania zinajenga Bomba la kusafirisha gas ya Tanzania kuja Kenya kwa ombi la serikali ya Kenya, iweje tena Rostam ndiye anatafuta soko, kweli njaa husababisha matatizo ya akili
 
Hili ndio jibu rahisi kua muta import gas from tanzania so rostam anachofanya ni kujenga na kuboresha export ya gas from tanzania to kenya kwa asilimia 100 na sasa mumshukuru rostam kaja kuwapa nafuu kenya 😆😆😆

Total gas ksh.5,500
Taifa gas ksh.2,160
Hapa Kuna mtu anafunga biashara mapema sana wallahi
 
Kitu ambacho wewe na wenzako hamuelewi ni Rostam ametafutia Tz soko ya natural gas. You know very well ur country is blessed with natural minerals compared to Kenia. Lakini kwa sababu ya inferiority complex inakusumbua unaona ni mwisho wa dunia
Usipende ku comment kama hujui vitu vizuri. Tanzania hatuzalishi LPG. LPG inaagizwa toka nje inakuwa stored and then distributed nchini kote.
 
Back
Top Bottom