Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya mnachekesha sana. Tanzania kuna zaidi ya makampuni 5 ya gas majumbani halafu unaendelea kulalamika eti watumiaji wachache. Hizi ni akili au matope?

Mpaka vijijini matumizi ya gasi ni makubwa tu.
Hawana sehemu nyingine za kushindanis, lazima watafute vitu vya uongo vya kuweza kuwafanya waonekane kwenye mjadala
 
Usijali, atarudi tena.

* Dec. 2014 - Appointed DG of TPDC

* Aug. 2016 - Suspended

* July 2019 - Reinstated

* April 4, 2021 - Dismissed

* April 5, 2021 - Reinstated

* February 2023 - Dismissed
Saiz kula mtori tu mkuu, nyama utazikuta chin baadae.. huyo harudi tena, katafutiwa angle yake mda sana. Afu watu 'wanarecord' tu mzenji kujaza wazenji.. afu maneno kimyaa.. wakenya wana msemo wao saiz 'sisi sio wajinga' 😅
 
Kidogo naona uko misinformed, unless ulimaanisha tzsh na pia hio ni too much.
Kama unaongelea kenya shillings then hauna habari
This one is in a gated community goes for ksh 50m

Actually 50M is the selling price - that is land+construction cost + profit. Otherwise this one will cost just about 15M to built. Generally in Kenya developers sell for double the amount they spent hence for this one we can give it 25M. Let's say the land cost 10M, you remain with 15M for construction.
 
🤪🤪🤪🤪

Tanzania shilling will remain steady 💪💪
 
Saiz kula mtori tu mkuu, nyama utazikuta chin baadae.. huyo harudi tena, katafutiwa angle yake mda sana. Afu watu 'wanarecord' tu mzenji kujaza wazenji.. afu maneno kimyaa.. wakenya wana msemo wao saiz 'sisi sio wajinga' 😅
Wacha majungu fala wewe! Tofauti ya mimi na wewe hauko objective hata siku moja na Usukumagang wako kuamini mwendazake hawezi kukosolewa! Unafikiri mama akikosea sitamkosoa? BTW Sikushangai!
 
Nimekutaja?
Nimekuquote?
Nimemtaja mwendazake?
Matusi yako yatanikosesha kula leo?
Maajabu haya!
Again Wacha unyoko! Tabia yako na mrengo wako naujua! Unakuwa na vi-comments vya kikekike nikiweka opinions humu!
 
Saiz kula mtori tu mkuu, nyama utazikuta chin baadae.. huyo harudi tena, katafutiwa angle yake mda sana. Afu watu 'wanarecord' tu mzenji kujaza wazenji.. afu maneno kimyaa.. wakenya wana msemo wao saiz 'sisi sio wajinga'
Huyu mama anajaza wazenji tu kwenye serikali ya Tanzania bara lkn kule Zanzibar kwenye serikali ya Mapinduzi hakuna mtz bara, huu muungano ni moja kati ya miungano ya kisenge kuwahi kutokea duniani, Watz bara kule zenji hawana nafasi kabisa, juzi rais wao katangaza kwamba kwa mtz bara anayetaka ardhi Zanzibar atakuwa treated kama foreigners, ni muungano wa kimbwa kabisa.

Hawa mbwa kutoka zenji wanapewa kila kitu huku bara lkn wa bara akienda kule hahesabiki kama mtz anaonekana ni mgeni, kwnn tunawaonea huruma namna hii hawa watu, ufike kipindi Zanzibar uwe mkoa haya mambo ya kuwa na Rais ndiyo yanafanya wajione wana maamuzi, Zanzibar uwe mkoa kama hawataki waachane na muungano alafu tuone kama kutakuwa na Zanzibar duniani, pumbavu kabisa.
 
Pale mtu anapojipa umuhimu kwenye maisha ya mtu mwingine
el-risitas-juan-joya-borja.gif
 
Saiz kula mtori mkuu 😅😅.. nyama utazikuta baadae
 
Zanzibar ni colony la Tanganyika

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mpya wa TIPIDISI kumbe alikuwa anatafuta kazi huko LinkedIn 😂
(Open to Work)
Screenshot_20230226-112153_LinkedIn.jpg
Screenshot_20230226-112309_LinkedIn.jpg

alinitumiaga connection request zaman, mda si mrefu leo nimeenda kucheck profile yake, nakuta request, ndo imebidi niiaccept 😀
Huyu ndo kaaminiwa kuongoza TIPIDISI
Screenshot_20230226-113121_LinkedIn.jpg

el-risitas-juan-joya-borja.gif
 
Hukatazwi kujibu, unapaswa utumie lugha ya staha, lete hoja ujibu hoja, Sasa ukianza kutumia maneno ya dharau, lazima yarudishwe kwa mama yako, Kama unadhani maneno uliyotumia ni mazuri, mbona yakirudishwa kwa kutumia anuani ya mama yako unakadirika?.

Kwa mfano nikisema mjinga ni mama yako hutokasirika?, kwamba aliyekosa adabu ni baba yako unajisikiaje?. Lini nikikuambia Mimi ni mzalendo, nani anayethinitisha uzalendo wa mtu?,.

Wewe Jenga hoja utajibiwa kwa hoja, ukileta maneno ya ajabu ajabu, tutayafunga katika vifurushi na kutumia mama yako, utayakuta huko, sawasawa?
Utaratibu wa matusi na lugha chafu ni wewe ndio unaupenda,
Napokua natoa hoja zangu mnanijibu kwa matusi kwahyo unategemea ntanyamaza kwakua nakuogopa wewe ?
Na ndio maana nilikuambia kama wewe Mama Huna endelea kutukana wala hayo matusi hayanisumbui.

Leta hoja zako achana kuketa mambo binafsi hapa,hili sio jukwaa la kutafuta marafiki

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom